GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,866
- 11,100
Vijana hakuna kitu cha bure kwenye maisha ,lazima ulipe gharama kwa unachokihitaji
Anayeandaa mtaala mpya wa elimu kwa vijana yeye mwenyewe hauamini mtaala kama unatekelezeka na wala hana uhakika kama utawafaa vijana bali anawafanyia majaribio vijana
Nothing goes for nothing and value goes for value au wengine husema nothing for nothing and value for value
Mkono mtupu haulambwi,Mambo unayakumbana nayo ndio mambo uliyoyachagua na kuyapigia kura huna haja ya kumlaumu mtu au serikali
Vijana wa kitanzania wanapitia mengi sana na mengi waliyachagua wenyewe na kuyapigia kura ili kupata furaha ya muda
Vijana bado wanaendelea kupiga kura na kuyachagua mambo yale yale ambayo yamewafanya kuonekana msomi hana tofauti na mtoto wa chekechea
Vijana yawapasa kumshukuru muhindi aliyewaletea kamali ingawa muhindi hawakumchagua au kumpigia kura lakini muhindi na kamali yake ameonekana wa maana kuliko wale vijana waliowachagua na kuwapigia kura