Karibuni DP World, tunahitaji majengo marefu Posta na Kariakoo

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,100
DP world, Tanzania tumefurahishwa na ujio wenu kwani hata matajiri wakubwa Dar wana asili ya uarabu na uhindi,Tunategemea mji kubadilika na watu kuhama katikati ya mji kupisha majengo ya kisasa ya ghorofa kuanzia ishirini na zaidi

GSM au Ghalib, Mo Dewji, Azam au Bakhresa na Rostam Aziz hawa ndio matajiri wa Dar na wote wana damu ya uarabu na uhindi

Pesa ni kila kitu, Waarabu wana pesa za mafuta,Mji wa Dar bado katikati kuna majengo na vijumba uchwara vingi kutokana na umaskini wa watanzania kushindwa kuwalipa baadhi ya watu ili kubomoa na kujenga upya

Waarabu hawashindwi kuwanunua watu kariakoo yote ile na kujenga majengo yao ya kisasa,

Leo wachezaji wa mpira wanaolipwa mabilioni wapo uarabuni kwa waarabu

Leo timu kubwa za uingereza wenye hisa nyingi ni waarabu

Karibuni Dp World,Tunahitaji muitanue bandari yetu iwe kubwa mpaka maeneo ya kariakoo karibu na Muhimbili hospital muongeze pia kuelekea Posta mpaka maeneo ya Salender

Tunahitaji mji mpya wa Dar iwe kama Dubai,Nina hakika waarabu wataipenda Tanzania

Wawekezaji wanaweza ,Maamuzi ya kuivunja NBC Bank yalikuwa magumu na watu walitukana sana lakini ikaanzishwa NMB Bank ambayo leo ipo kila kona ya nchi mpaka vijijini na wamekuwa wakombozi wa mikopo kwa wafanyakazi wa serikali na wafanya buashara

Vijana ambao hawakuwepo wakati NBC inapunguzwa nguvu na kuachia baadhi ya majengo kwa NMB hawawezi kuelewa haya,Mjadala ulikuwa wa moto sana na wale waliotukana sasa wana mikopo NMB Bank

Waliopinga uwekezaji wa NMB bado wapo na wana ona aibu kubwa

Hata kwa hili la bandari wanaopiga kelele sasa ,Watoto wao wataajiriwa na waarabu na wataona aibu na kujificha

Kuna waliopinga NBC kuachia majengo kwa wawekezaji wa NMB Bank mfano jengo la Bank house pale mjini lilikuwa ni NBC Bank

Hofu ya uwekezaji ipo tu hatuwezi kukwepa
 
Dp world ,Tanzania tumefurahishwa na ujio wenu kwani hata matajiri wakubwa Dar wana asili ya uarabu na uhindi,Tunategemea mji kubadilika na watu kuhama katikati ya mji kupisha majengo ya kisasa ya ghorofa kuanzia kumi ishirini na zaidi

GSM au Ghalib ,Mo Dewji,Azam au Bakhresa na Rostam aziz hawa ndio matajiri wa Dar na wote wana damu ya uarabu na uhindi

Pesa ni kila kitu,Waarabu wana pesa za mafuta,Mji wa Dar bado katikati kuna majengo na vijumba uchwara vingi kutokana na umaskini wa watanzania kushindwa kuwalipa baadhi ya watu ili kubomoa na kujenga upya

Waarabu hawashindwi kuwanunua watu kariakoo yote ile na kujenga majengo yao ya kisasa,

Leo wachezaji wa mpira wanaolipwa mabilioni wapo uarabuni kwa waarabu

Leo timu kubwa za uingereza wenye hisa nyingi ni waarabu

Karibuni Dp World,Tunahitaji muitanue bandari yetu iwe kubwa mpaka maeneo ya kariakoo karibu na Muhimbili hospital muongeze pia kuelekea Posta mpaka maeneo ya Salender

Tunahitaji mji mpya wa Dar iwe kama Dubai,Nina hakika waarabu wataipenda Tanzania
WAJE SANA ILA MIKATABA NA TERMS ZIWE NZURI , WATANZANIA HAWAJALI NANI KAJA KUWEKEZA SEMA KAJAJE NA MIKATABA IWE MIZURI TULISHALIZWA SANA KNYE MADINI INATOSHA JAMANI
 
Una akili ya kitumwa na kipumbavu.
Watanzania wote ni watumwa

Kama sisi sio watumwa mbona kila kitu tunatumia toka nje ya nchi

Wewe unatumia simu ya mabwana zako nje badala ya kutengeneza Tanzanua

Wewe unatumia magari ya mabwana zako nje badala ya kutengeneza Tanzania

Unatumia komputa na program zao

Sasa nani mwenye akili za kitumwa ?

Hauna akili ndio maana tunaomba wawekezaji watusaidie kuendeleza na kutujengea mazingira kama ya kwao huko Dubai au china
 
Amepewa bure?
 
Dp world ,Tanzania tumefurahishwa na ujio wenu kwani hata matajiri wakubwa Dar wana asili ya uarabu na uhindi,Tunategemea mji kubadilika na watu kuhama katikati ya mji kupisha majengo ya kisasa ya ghorofa kuanzia ishirini na zaidi

GSM au Ghalib ,Mo Dewji,Azam au Bakhresa na Rostam aziz hawa ndio matajiri wa Dar na wote wana damu ya uarabu na uhindi

Pesa ni kila kitu,Waarabu wana pesa za mafuta,Mji wa Dar bado katikati kuna majengo na vijumba uchwara vingi kutokana na umaskini wa watanzania kushindwa kuwalipa baadhi ya watu ili kubomoa na kujenga upya

Waarabu hawashindwi kuwanunua watu kariakoo yote ile na kujenga majengo yao ya kisasa,

Leo wachezaji wa mpira wanaolipwa mabilioni wapo uarabuni kwa waarabu

Leo timu kubwa za uingereza wenye hisa nyingi ni waarabu

Karibuni Dp World,Tunahitaji muitanue bandari yetu iwe kubwa mpaka maeneo ya kariakoo karibu na Muhimbili hospital muongeze pia kuelekea Posta mpaka maeneo ya Salender

Tunahitaji mji mpya wa Dar iwe kama Dubai,Nina hakika waarabu wataipenda Tanzania

Wawekezaji wanaweza ,Maamuzi ya kuivunja NBC Bank yalikuwa magumu na watu walitukana sana lakini ikaanzishwa NMB Bank ambayo leo ipo kila kona ya nchi mpaka vijijini na wamekuwa wakombozi wa mikopo kwa wafanyakazi wa serikali na wafanya buashara

Vijana ambao hawakuwepo wakati NBC inapunguzwa nguvu na kuachia baadhi ya majengo kwa NMB hawawezi kuelewa haya,Mjadala ulikuwa wa moto sana na wale waliotukana sasa wana mikopo NMB Bank

Waliopinga uwekezaji wa NMB bado wapo na wana ona aibu kubwa

Hata kwa hili la bandari wanaopiga kelele sasa ,Watoto wao wataajiriwa na waarabu na wataona aibu na kujificha

Kuna waliopinga NBC kuachia majengo kwa wawekezaji wa NMB Bank mfano jengo la Bank house pale mjini lilikuwa ni NBC Bank

Hofu ya uwekezaji ipo tu hatuwezi kukwepa
Safiiii. Natumaini tutajadili hoja kwa hoja.
Wengine hatupingi huu mkataba. Tunataka uwazi, muda wa mkataba, tuachane na vificho, tusome yale maandishi madogo madogo ya mkataba ambayo wasomi wetu nguli wa mikataba wanakuwa hawayaoni kwasababu ya mlungula, ahadi, zawadi na fadhila.
Ni hayo tu kwa wanaoutaka huu mkataba na WAARABU WA DP WORLD
 
Yaani wewe unawaza maghorofa ambayo siyo yako, unaacha kupigania revenue sharing ambayo itakusaidia kama mwananchi!

Tuna watu wa ajabu sana nchi hii.
Wewe pambana na hali yako mkuu,Pambana na maisha yako

Revenue sharing ni too academical mkuu
Achana na elimu uliyodanganywa darasani ,Tupo kwenye data na Facts

Revenue sharing ni theoretical za command econony au Planned economy,Ni mambo ya ujamaa na kijamaa ambao sera zake zilifeli Tanzania

Wewe mwananchi kazi yako ni kulipa kodi tu ,Mengine waachie wataalam

Maamuzi sasa Yanafanywa kwa data sio kwa hisia ,Wewe unahisi tumeuzwa

Hata ukiuzwa wewe una faida gani ?
 
Dp world ,Tanzania tumefurahishwa na ujio wenu kwani hata matajiri wakubwa Dar wana asili ya uarabu na uhindi,Tunategemea mji kubadilika na watu kuhama katikati ya mji kupisha majengo ya kisasa ya ghorofa kuanzia ishirini na zaidi

GSM au Ghalib ,Mo Dewji,Azam au Bakhresa na Rostam aziz hawa ndio matajiri wa Dar na wote wana damu ya uarabu na uhindi

Pesa ni kila kitu,Waarabu wana pesa za mafuta,Mji wa Dar bado katikati kuna majengo na vijumba uchwara vingi kutokana na umaskini wa watanzania kushindwa kuwalipa baadhi ya watu ili kubomoa na kujenga upya

Waarabu hawashindwi kuwanunua watu kariakoo yote ile na kujenga majengo yao ya kisasa,

Leo wachezaji wa mpira wanaolipwa mabilioni wapo uarabuni kwa waarabu

Leo timu kubwa za uingereza wenye hisa nyingi ni waarabu

Karibuni Dp World,Tunahitaji muitanue bandari yetu iwe kubwa mpaka maeneo ya kariakoo karibu na Muhimbili hospital muongeze pia kuelekea Posta mpaka maeneo ya Salender

Tunahitaji mji mpya wa Dar iwe kama Dubai,Nina hakika waarabu wataipenda Tanzania

Wawekezaji wanaweza ,Maamuzi ya kuivunja NBC Bank yalikuwa magumu na watu walitukana sana lakini ikaanzishwa NMB Bank ambayo leo ipo kila kona ya nchi mpaka vijijini na wamekuwa wakombozi wa mikopo kwa wafanyakazi wa serikali na wafanya buashara

Vijana ambao hawakuwepo wakati NBC inapunguzwa nguvu na kuachia baadhi ya majengo kwa NMB hawawezi kuelewa haya,Mjadala ulikuwa wa moto sana na wale waliotukana sasa wana mikopo NMB Bank

Waliopinga uwekezaji wa NMB bado wapo na wana ona aibu kubwa

Hata kwa hili la bandari wanaopiga kelele sasa ,Watoto wao wataajiriwa na waarabu na wataona aibu na kujificha

Kuna waliopinga NBC kuachia majengo kwa wawekezaji wa NMB Bank mfano jengo la Bank house pale mjini lilikuwa ni NBC Bank

Hofu ya uwekezaji ipo tu hatuwezi kukwepa
Wewe ni mjinga mmoja hivi unayefurahishwa na material things ambazo haufadiki nazo. Unamkaribisha mtu ambaye atamiliki ardhi yako na chochote kitakachogundilika kwenye hiyo ardhi mfano mafuta au madini hautakuwa na sauti(mamlaka) nayo? Nikisema wewe ni fala nakosea?
Unamkaribisha mtu nyumbani kwako kwa makubaliano ya yeye kuchukua faida yote ya nyumba yako, wewe na watoto wako hawapaswi kujua faida na gawiwo litakuaje?
Unamkaribisha mtu nyumbani kwako bila kujua atakaa kwa muda gani, yaani akiamua kukaa milele uwamuzi ni wake. Nikikuita jinga wewe nakosea?
Kwa haya tu machache, nikisema kwamba umeuza umiliki wa nyumba yako kwa mgeni nitakuwa nimekosea?
Mbaya zaidi unalinganisha Mkataba huu na issue ya bank ambayo serikali inaubia seriously?
Kweli kuna watu wamesoma lakini shule hazijawakomboa kifikra.
 
hawaji kujenga maghorafa unayosema , watafanya biashara wataondoka na wataiacha dar Kama walivyoikuta.

Na hili ndo tatizo la waswahili , elewa kitu kinaitwa mkataba !!, anatembea na kufanya Yale yaliyondani ya mkataba tu. Usidanganyike Kama chief mangungo wa msovelo & chief hangay wa matumbi .
 
Watanzania kwa kuzua hamjambo hebu rudia kusoma ulichoandika.
 
hawaji kujenga maghorafa unayosema , watafanya biashara wataondoka na wataiacha dar Kama walivyoikuta.

Na hili ndo tatizo la waswahili , elewa kitu kinaitwa mkataba !!, anatembea na kufanya Yale yaliyondani ya mkataba tu. Usidanganyike Kama chief mangungo wa msovelo & chief hangay wa matumbi .
Wataondoka kwenda wapi tena na mmesema bandari imeuzwa? Hivi mnajitambuwa kweli nyie watu au ni pinga pinga FC?
 
DP world, Tanzania tumefurahishwa na ujio wenu kwani hata matajiri wakubwa Dar wana asili ya uarabu na uhindi,Tunategemea mji kubadilika na watu kuhama katikati ya mji kupisha majengo ya kisasa ya ghorofa kuanzia ishirini na zaidi

GSM au Ghalib, Mo Dewji, Azam au Bakhresa na Rostam Aziz hawa ndio matajiri wa Dar na wote wana damu ya uarabu na uhindi

Pesa ni kila kitu, Waarabu wana pesa za mafuta,Mji wa Dar bado katikati kuna majengo na vijumba uchwara vingi kutokana na umaskini wa watanzania kushindwa kuwalipa baadhi ya watu ili kubomoa na kujenga upya

Waarabu hawashindwi kuwanunua watu kariakoo yote ile na kujenga majengo yao ya kisasa,

Leo wachezaji wa mpira wanaolipwa mabilioni wapo uarabuni kwa waarabu

Leo timu kubwa za uingereza wenye hisa nyingi ni waarabu

Karibuni Dp World,Tunahitaji muitanue bandari yetu iwe kubwa mpaka maeneo ya kariakoo karibu na Muhimbili hospital muongeze pia kuelekea Posta mpaka maeneo ya Salender

Tunahitaji mji mpya wa Dar iwe kama Dubai,Nina hakika waarabu wataipenda Tanzania

Wawekezaji wanaweza ,Maamuzi ya kuivunja NBC Bank yalikuwa magumu na watu walitukana sana lakini ikaanzishwa NMB Bank ambayo leo ipo kila kona ya nchi mpaka vijijini na wamekuwa wakombozi wa mikopo kwa wafanyakazi wa serikali na wafanya buashara

Vijana ambao hawakuwepo wakati NBC inapunguzwa nguvu na kuachia baadhi ya majengo kwa NMB hawawezi kuelewa haya,Mjadala ulikuwa wa moto sana na wale waliotukana sasa wana mikopo NMB Bank

Waliopinga uwekezaji wa NMB bado wapo na wana ona aibu kubwa

Hata kwa hili la bandari wanaopiga kelele sasa ,Watoto wao wataajiriwa na waarabu na wataona aibu na kujificha

Kuna waliopinga NBC kuachia majengo kwa wawekezaji wa NMB Bank mfano jengo la Bank house pale mjini lilikuwa ni NBC Bank

Hofu ya uwekezaji ipo tu hatuwezi kukwepa
Wewe ni zaidi ya wale wenzetu waliokuwa wanaibiwa madini yetu na wakoloni then wanatuletea shanga tunafurahi na kuwatungia hadi nyimbo za kuwasifu. Pumbavu kabisa!
 
DP wanahusika na ujenzi wa magorofa?
 
nimecheka aisee majengo kwako kamtanzania ya nini utanufaika vp na majengo
 
Lipumbavu kazini
 
historia yako ilianzia hapa kabla ujaingia JF
FB_IMG_1684735566583.jpg
 
Back
Top Bottom