Kati ya wanasiasa wa upinzani ninaowaheshimu mbowe ni namba moja ni mtu muungwana kwa kiasi chake
Lakini kwenye hoja ya bandari kusema Samia na Mbarawa wanauza bandari kisa ni wanzazibar hapa...
Huwa nawashangaa sana Watu wanaodai nchi hii kuna udini
Ukiwauliza wanakimbilia kwenye MoU ya Lowasa au ile Taasisi ya Kimataifa ya Muslim waliyotaka kujiunga Zanzibar
Mungu wa mbinguni...
MBUNGE SEIF GULAMALI AZIDI KUIPA NGUVU SEKTA YA MICHEZO JIMBONI MANONGA
Mbunge wa Jimbo la Manonga Wilaya ya Igunga Mhe. Seif Khamis Gulamali ameanza ziara rasmi kwenye Kata ya Igoweko na Vijiji...
MHE. NANCY NYALUSI ACHANGIA MILIONI 6 UJENZI WA NYUMBA YA KATIBU UWT, ATOA KADI 1500 KWA WANACHAMA WAPYA WA CCM
MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa Mhe. Nancy Nyalusi amenunua Kadi za uanachama...
5 July 2023
Lilongwe, Malawi
RAIS SAMIA HASSAN AWASILI NCHINI MALAWI KWA ZIARA YA SIKU 3
Alipowasili amepokelewa uwanja wa ndege wa Kamuzu International Airport (KIA) na mwenyeji wake Rais...
MBUNGE DANIEL BARAN SILLO AKABIDHI MASHINE ZA KUCHAPISHA MITIHANI KWENYE SHULE ZA SEKONDARI
Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini (Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti) Mhe. Daniel Sillo ametimiza ahadi...
Dodoma. Ungedhani baada ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuwaonya wateule wake kuhusu kuendekeza migogoro kazini, hali hiyo pengine ingekoma. Lakini hali sivyo ilivyo.
Migogoro isiyokwisha ya...
Kiukweli Kabisa haya ndio majabali ya Siasa za Dunia Hawanaga Bei Mgongoni
Mungu wa mbinguni mbariki Tundu Antipas Lisu
Mungu mrehemu Shujaa Magufuli
Maendeleo hayana Chama!
Ilikuwa kwenye Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Shule na mambo mbalimbali ambapo mgeni rasmi alikuwa Dr Mwigullu Nchemba PhD aliyeongozana na wabunge kadhaa
Askofu wa KKKT Dayosisi ya Singida...
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ameonesha kukerwa na utaratibu wa Kuhamisha Watumishi wanaonekana kushindwa kumudu Majukumu yao au kutuhumiwa kufanya vitendo vinavyoenda kinyume na sheria na...
Kuna kundi dogo faidika la utawala uliopita ile taharuki ya msiba wa bygone inawaisha sasa na kujikuta tayari mambo ni moto fire, wanashuhudia live jinsi mtandao wao unavyopukutishwa kwa kasi ya...
Lissu endelea hivyo hivyo nimeona wafanyabiashara wamerelax na kujisikia huru zaidi pale Kariakoo. Kero zao zimesikika vizuri sana na wameonesha utulivu mkubwa Lissu alipokuwa anaongea nao...
Akizungumza kwenye Mkutano wa Hadhara Mjini Arusha , Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini Godbless Lema , amewashangaa watu ambao hadi sasa hawana kadi ya CHADEMA huku wakiwa na uwezo wa kununua...
Tanganyika tunalipa Trillion 12 kila mwaka ikiwa ni pamoja na riba za madeni tuliyokopa. Sasa najiuliza katika mikopo yooote hii tunayolipa, hakuna hata trillion 1 iliyotumika kununua Crane kubwa...
Hii nchi kuna wakati unawasikiliza watu wanaotoa sababu kwa nini mkataba wa bandari yetu, kati ya Tanzania na DP World, ni mzuri wakati umekaa hovyo kabisa, majibu wanayotoa, unajiuliza na...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, tarehe 5 Julai 2023 saa...
SG wa zamani wa CCM, CS wa zamani ambaye ni Mbunge wa Bunge la Tanzania kwa sasa ndugu Bashiru Oktoba 2018 alisema "Madalali wa mali za umma kamwe hawawezi kupendezwa na hoja za kutaka uwazi...
Ndugu zangu Wananchi, kuna jambo tunasahau kuhusiana na mkataba wa DP World. Malalamiko ya mkataba huo yamekuwa mengi sana lakini tatizo letu wananchi tumeshindwa kujua kuwa Rais Samia Suluhu...