Tanzania inavyotawaliwa

Motowntzjpm

Senior Member
Jun 16, 2023
118
191
Matabaka na % ya sensa

No 1 -Chama madarakani na marafiki 1%
No 2-Watumishi serikalini, sekta binafsi wenye hadhi na 2% ushawishi wa fedha
No 3-Wananchi wa kawaida 97%

Hawa namba 1wanahodhi madaraka na kutumia mbinu chanya na hasi kubakia madarakani

No 3 wanatumika na no1 bila kulifahamu hilo. Huridhika na mfupa wanaorushiwa na Bunge au wanasiasa Kwa maneno kama mfupa Kwa mbwa mfano Tanzania ni ya watanzania wote
Tunalinda ajira za watanzania

No 2 wanaendeshwa na matakwa ya no 1

Namba 3 ni Hatari kwakuwa nguvu Yao ipo Kwa wingi wao na Ndio maana no 1 huwaachia ima dhidi ya wawekezaji Kwa kauli hatutaki wawekezaji uchwara.

Kwenye mjadala wa DeePeeWeldi , hili la matabaka limedhihiri. No1wanataka wlitakalo , namba mbili watanufaika no3 wanarushiwa mfupa ajira elf 70000mpya zitazalishwa

Ni mtizamo nini maoni yako mdau
 
Back
Top Bottom