DP World haitahusika na Mambo ya Usafirishaji Nje ya Bandari

DP World haitahusika na Mambo ya Usafirishaji Nje ya Bandari

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
578
Reaction score
2,614
Maeneo ambayo Serikali imeelewana kushirikiana na DP World ni yale yanayohusu Bandari pekee.

Mkataba hautahusu mambo mengine nje ya Bandari ikiwemo usafiri.

Kazi hizo ikiwemo za usafirishaji zitafanywa na watu wengine, uwekezaji wa DP World hautayahusika kwa kuwa mwekezaji wa Bandari huwekewa udhibiti ili kuepusha mgongano wa kimaslahi.

Haya yamesemwa na Wakili Mohamed Salum aliyealikwa kujibu maswali kwenye Clubhouse ya Msemaji wa Serikali
 
Hatutaki tunataka Bandari yetu sw.chawa
 
Back
Top Bottom