fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,269
kama kuna mtu ana taarifa za chama cha wachagga dodoma naomba anipe mawasiliano nao.natanguliza shukrani
Duh...!. Hivi Tanzania ya leo bado kuna vyama vya makabila?. Nyerere si alivifutaga na kuufuta uchifu?. Mangi wa mwisho wa Wachagga alikuwa ni Mangi Mkuu, Thomas Marealle.kama kuna mtu ana taarifa za chama cha wachagga dodoma naomba anipe mawasiliano nao.natanguliza shukrani
Mbona umetumia nguvu nyingi kumjibu huyu mjinga mwambie sasa hiv tuko bize na bandari kwanza hata katiba mpya hatutaki ni bandari kwanza full stop.Duh...!. Hivi Tanzania ya leo bado kuna vyama vya makabila?. Nyerere si alivifutaga na kuufuta uchifu?. Mangi wa mwisho wa Wachagga alikuwa ni Mangi Mkuu, Thomas Marealle.
Hakuna chama cha kabila lolote Tanzania ya leo, vilivyopo ni vikundi vya umoja wa watu wa sehemu mbalimbali wakiwemo wa Marangu, Machame, Wasiha, Rombo, Kibosho etc lakini hakuna chama!.
P
Kiufupi tupo bize na wahuni wanajiita DP World!Mbona umetumia nguvu nyingi kumjibu huyu mjinga mwambie sasa hiv tuko bize na bandari kwanza hata katiba mpya hatutaki ni bandari kwanza full stop.
Duh...!. Hivi Tanzania ya leo bado kuna vyama vya makabila?. Nyerere si alivifutaga na kuufuta uchifu?. Mangi wa mwisho wa Wachagga alikuwa ni Mangi Mkuu, Thomas Marealle.
Hakuna chama cha kabila lolote Tanzania ya leo, vilivyopo ni vikundi vya umoja wa watu wa sehemu mbalimbali wakiwemo wa Marangu, Machame, Wasiha, Rombo, Kibosho etc lakini hakuna chama!.
P
Mtafuta watu wenye uhusiano na anakotoka ama asili yake anafanya jambo la heri. Itoshe tu kusema, yule mwenye fununu juu ya uwepo wa vikundi kama hivyo jijini Dodoma basi na amtonye.kama kuna mtu ana taarifa za chama cha wachagga dodoma naomba anipe mawasiliano nao.natanguliza shukrani