Yuko wapi James Mbatia atie neno kwenye Sakata la DP World na Bandari?

James Mbatia Yuko wai? Hii ndio fursa Yako ya kutia neno kwenye Sakata la Bandari na DP World Ili kujisafisha Kisiasa.

Mara ya mwisho ulifukuzwa NCCR Mageuzi
Mwendazake alimuingiza mjini kuwa angempa wabunge wa majimbo 20 ili chama chake kiwe chama kikuu cha upinzani. Nakumbuka alivyopewa mapokezi ya heshima na RC wa Mbeya wakati anaenda kuwapokea madiwani walionunuliwa toka Chadema akaamini kabisa kuwa safari ya kuwa KUB imewadia. Wacha asote ajue kuwa usaliti haulipi
 
Mbona Dk Mihogo yeye alipewa cheo?
 
Mwendazake alimuingiza mjini kuwa angempa wabunge wa majimbo 20 ili chama chake kiwe chama kikuu cha upinzani. Nakumbuka alivyopewa mapokezi ya heshima na RC wa Mbeya wakati anaenda kuwapokea madiwani walionunuliwa toka Chadema akaamini kabisa kuwa safari ya kuwa KUB imewadia. Wacha asote ajue kuwa usaliti haulipi
Ukweli aliuzwa pamoja na Lipumba
 
Mwendazake alimuingiza mjini kuwa angempa wabunge wa majimbo 20 ili chama chake kiwe chama kikuu cha upinzani. Nakumbuka alivyopewa mapokezi ya heshima na RC wa Mbeya wakati anaenda kuwapokea madiwani walionunuliwa toka Chadema akaamini kabisa kuwa safari ya kuwa KUB imewadia. Wacha asote ajue kuwa usaliti haulipi
We jinga Sana pimbi wew ina maana hujui kama Joseph 30 alivuruga we jamaa sijui kama inaweza kupita dakika hujamtaja mwanapinduzi wa kweli shujaa WA nyakati zote
 
Wajinga ni wale waliokaliana uchi wakailetea dunia bwabwa kama wewe,wewe ulitakiwa uwe chooni tu sasa hivi
Imekuuna sivyo? Jifunze sasa, unajitangaza muda wote kuwa hamnazo Mimi Sina shida na waliokaliana uchi wakakuleta wew kwa sababu hawakujua kama mweupe kiasi hicho
 
Ndiyo unazidi kujjtangaza kuwa wewe ni mdau, mpaka vitendea kazi unajua vinapouzwa. Umelaaniwa duniani na mbinguni,sodoma na gomora walitiwa kiberiti
Ni kiungo chako Mzee endelea kupigwa mzigo Ila ujue wew ni kenge kichaa unalegeza tambara zako mbele za watu bila aibu halafu baadaye eti unarudi kula ugali Kwa limsela
 
Back
Top Bottom