Mwanasheria wa serkali ameongea km lissu kukwepa jinai

vibesen xxx

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2022
Posts
3,185
Reaction score
6,644
Mwanasheria mkuu wa serkali kaogopa mkate wake usimponyoke

Ameamua kujibu kama Tundu lissu

Sioni mkataba wa miaka 100
Hakuna mkataba usiovunjika
Hakuna mkataba uliosaniwa

Mwanasheria ameongea kisheria kujitoa kwenye jinai siku zijazo

Nakusihii Rais Samia achana na huu mkataba wa kuuza nchi
 
Ha ha 😂😂 ila Watanzania wajuaiii. Ebu tumpe Mama nafasi atuletee Maendeleo
 
Mwanasheria mkuu wa serkali kaogopa mkate wake usimponyoke

Ameamua kujibu kama Tundu lissu

Sioni mkataba wa miaka 100
Hakuna mkataba usiovunjika
Hakuna mkataba uliosaniwa

Mwanasheria ameongea kisheria kujitoa kwenye jinai siku zijazo

Nakusihii Rais Samia achana na huu mkataba wa kuuza nchi
Bora ungesema kaongea kama Msukuma
 
Mwanasheria mkuu wa serkali kaogopa mkate wake usimponyoke

Ameamua kujibu kama Tundu lissu

Sioni mkataba wa miaka 100
Hakuna mkataba usiovunjika
Hakuna mkataba uliosaniwa

Mwanasheria ameongea kisheria kujitoa kwenye jinai siku zijazo

Nakusihii Rais Samia achana na huu mkataba wa kuuza nchi
Hakuna mkataba usiovunjika
Hakuna mkataba uliosaniwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom