Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Pasi na kupepesa macho dhidi ya wahuni sikia mambo: "Kama si fitna, zengwe au kurogwa tegemea kujikuta ana kwa ana na wasiojulikana." Ama kwa hakika wahuni si watu wazuri! Tumesikia...
13 Reactions
79 Replies
6K Views
Rais Samia amesema wenzetu wanakimbilia fursa afu sisi tunalumbana kuikimbia fursa ya waarabu, amesema wanafanya chapuchapu na bendera yao imepeperushwa katika mnara ule wa Dubai, je hii...
1 Reactions
4 Replies
767 Views
MBUNGE TAUHIDA GALLOS - WATANZANIA MSIKUBALI KUTIKISWA KWA MUUNGANO Mbunge wa Viti Maalum Zanzibar Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo amewataka Watanzania kuhakikisha kuwa hawakubali wala...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Haya Mabeberu yameamua kutuchezesha shele Watanzania,lakini ukweli ni kwamba mkataba wa bandari hauna tija kwa Tanzania na hauna tija kwa Wakenya,wanatuchezesha shele ili kile wanachokitaka toka...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zangu watanzania, Binafsi nimekuwa nikifuatilia Sana na kwa ukaribu mkubwa Sana mijadala mbalimbali inayoendelea na kufanyika hapa nchini katika majukwaa na vyombo mbalimbali vya habari...
9 Reactions
104 Replies
5K Views
Baada ya ripoti ya CAG kuonyesha watumishi WA umma na mashirika yanayomilikiwa na serikali yameshindwa kufanya vizuri na hivyo kuiletea hasara nchi wanasiasa wapo busy kusoma ripoti na kutengeneza...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Watu wengi walitegemea Tume ya Haki Jinai inapokabidhi itaelezea walichogundua kuhusiana na namna DPP alivyoshughulikia swala zima la Plea bargain Lakini tumemsikia tu maRC.na maDC wanavyotumia...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jana, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mnyaa Mbarawa, pamoja na viongozi waandamizi wa wizara na taasisi zake, alikutana na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) kuzungumzia suala la mkataba...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Madeleka ulisema kwamba Bunge halina mamlaka ya Kujadili au kupitisha Makubaliano, lakini lina mamlaka ya kufanya hivyo kwenye mikataba tu. Huu sio ukweli, Bunge linauwezo pia wa kujadili mpango...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Ezekiel ‘The Wolf’ Kamwaga @ezekiel_kamwaga Hamza JohariWakati wa utawala wa @jmkikwete huyu bwana alikuwa sehemu ya watu walioshiriki kwenye majadiliano ya kuepusha vita kati yetu na Malawi...
0 Reactions
1 Replies
485 Views
Nakusalimu kwa jina la UKAWA, itikia "nilikataa ushenga" Wewe ni mtu ambaye ulitukosesha ushindi mkubwa zidi ya CCM mwaka 2015. Ulitukimbia katika hatua za mwisho na kama haitoshi ulidiriki...
9 Reactions
54 Replies
3K Views
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi aka Sugu emejibu hoja ya kugawanywa kwa jimbo la Mbeya mjini kuwa pamoja na kuwa jimbo hilo likigawanywa bado atamfata Tulia atakako gombea...
32 Reactions
165 Replies
11K Views
MBUNGE JULIANA MASABURI ACHANGIA UJENZI NYUMBA YA KATIBU UVCCM TARIME, AAHIDI MAKUBWA KWA VIJANA KIUCHUMI Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa, Mhe. Juliana Didas Masaburi tarehe 14 Julai, 2023...
0 Reactions
4 Replies
852 Views
Amebainisha hayo jana Julai 14,2023 wakati akizungumza na Wananchi alipotembelea kituo cha Afya Negezi wilayani Kishapu. Alisema ni marufuku mwananchi kulipia kipimo cha malaria kile cha...
0 Reactions
2 Replies
536 Views
Ndo desturi yetu watanzania na waafrika kwa ujumla, kufungua mdomo wakati wa kula ama kutafuna. Ni nadra sana utamkuta mtanzania anatafuna huku akiongea, huyo labda atakuwa anatafuna big g au...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
WITO WA KUHUDHURIA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA: BANDARI ZETU! URITHI WETU! Kwa viongozi wa dini zote na Madhehebu yote nchini Tanzania! Sisi Watanzania tulioko ndani na nje tumeamua kulinda...
12 Reactions
69 Replies
6K Views
Salute, mie ninajiuliza, ni kweli watanzania hatuwezi kuendesha mashirika yetu ya umma? Kama tunakiri wazi hatuwezi kuendesha bandari, je tunawezaje kuendesha nchi? Najiuliza kwanini kwa Hayati...
2 Reactions
8 Replies
995 Views
Akiwasilisha Mapendekezo mbele ya Rais Samia, Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed O. Chande amesema kuwa tume inapendekeza Mifumo ya huduma za kijamii na kibiashara zifungamane na...
1 Reactions
3 Replies
664 Views
Kama wenye nchi ni wananchi kwanini tunaaminishwa tunaweza kuendesha nchi lakini watu hao hao wanaotambia nchi inaenda vizuri wanashindwa kuendesha bandari? Kwanini waziri mwenye dhamana anakiri...
3 Reactions
3 Replies
517 Views
"Hili jambo la bandari limeshakwenda serikalini na bungeni, raia tukaulizwa maswali kidogo na tukajibu. Baada ya hapo jambo hili la bandari lilirudi bungeni na kupitishwa na Bunge. Kwa mujibu wa...
11 Reactions
28 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…