Pesa anazogawa Mwigulu jimboni kwake Iramba, katoa wapi?

Yusuph Jr

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
217
Reaction score
49
Wadau nimestushwa na hichi ninachokiona Iramba hivi sasa!Kwa takriban wiki moja mbunge wa Iramba na naibu waziri wa fedha Mwigulu Nchemba anazunguka kwenye kata na vijiji vya Iramba akiwa na msafara wa magari zaidi ya matano,akiyagharimia mwenyewe na rundo la wapambe.

Kibaya zaidi ni pale anapogawa pesa kama njugu kwa kila anayekuwepo kwenye mikutano yake.Nimepiga hesabu za haraka haraka amegawa zaidi ya milion 200,kwa watu badala ya kujenga vituo vya afya au kuboresha barabara huduma za maji au kuhakikisha wawekezaji kwenye machimbo ya dhahabu ya Sekenke,mampanta yananufaisha Iramba.

Swali kubwa zaidi pesa hizi anazochezea kwa misafara na kugawa hovyo,amezitoa wapi? Au ni mmoja wa wale walioiba pesa za ESCROW?
 
acha wivu wabongo umaskini ndo unawatesa waza wapi upate zako na wewe ugawe WENE Busara wanawaza jinsi ya kutengeneza pesa bali wajinga wanajadili watu jali yako weww
 
Wadau nimestushwa na hichi ninachokiona Iramba hivi sasa!Kwa takriban wiki moja mbunge wa Iramba na naibu waziri wa fedha Mwigulu Nchemba anazunguka kwenye kata na vijiji vya Iramba akiwa na msafara wa magari zaidi ya matano,akiyagharimia mwenyewe na rundo la wapambe.

Kibaya zaidi ni pale anapogawa pesa kama njugu kwa kila anayekuwepo kwenye mikutano yake.Nimepiga hesabu za haraka haraka amegawa zaidi ya milion 200,kwa watu badala ya kujenga vituo vya afya au kuboresha barabara huduma za maji au kuhakikisha wawekezaji kwenye machimbo ya dhahabu ya Sekenke,mampanta yananufaisha Iramba.

Swali kubwa zaidi pesa hizi anazochezea kwa misafara na kugawa hovyo,amezitoa wapi? Au ni mmoja wa wale walioiba pesa za ESCROW?

Mtashindana nae lakini kamwe hamtashinda
Mungu yupo upande wa watenda haki na Mwigulu ni mtenda haki
 
Mbunge wa jimbo la IRAMBA mkoani Singida ambae ni naibu waziri wa fedha MH.MWIGULU RAMEKI NCHEMBA amehitimisha ziara yake jana aliyoifanya jimboni humo kwa lengo la kukagua shughuli za maendeleo ikiwa ni pamoja na miradi mbalimbali iliyofanywa kwa utekelezaji wa chama cha mapinduzi ccm.
Akizungumza na wananchi kwa nyakati tofauti apotembelea kijiji cha Kidalu,Luono,Tulya,na Dolomoni amesema kuwa changamoto mbalimbali zilizokuwa zinalikabili jimbo la IRAMBA zimeweza kutatuliwa kwa asilimia kubwa na kusema kuwa anaendelea kutekeleza ili kuhakikisha jimbo hilo linapiga hatua kimaendeleo.
Aidha MH.MWIGIULU amesema kuwa miundombinu kama barabara,umeme,na maji vinaendelea kutekelezwa ambapo barabara ya kutoka Ndulungu kuunganisha Singida Ndago imeanza kutekelezwa kwa ujenzi,ambapo amesema kuwa vijiji vyote vilivyopo jimbo la IRAMBA vitaendelea kunufaika na umeme ambapo kuanzia kijiji cha Kaselya hadi Ndago nyaya zimeshaanza kuwekwa.
Pia MH.MWIGULU katika ziara hiyo amesema kuwa kutoka kijiji cha Shelui,Kidalu,Mingela,Mankente,Urungu umeme utakutanisha barabara kiomboi kwenda kidaru na kuunganisha meatu.
 
Mbunge wa jimbo la IRAMBA mkoani Singida ambae ni naibu waziri wa fedha MH.MWIGULU RAMEKI NCHEMBA amehitimisha ziara yake jana aliyoifanya jimboni humo kwa lengo la kukagua shughuli za maendeleo ikiwa ni pamoja na miradi mbalimbali iliyofanywa kwa utekelezaji wa chama cha mapinduzi ccm.
Akizungumza na wananchi kwa nyakati tofauti apotembelea kijiji cha Kidalu,Luono,Tulya,na Dolomoni amesema kuwa changamoto mbalimbali zilizokuwa zinalikabili jimbo la IRAMBA zimeweza kutatuliwa kwa asilimia kubwa na kusema kuwa anaendelea kutekeleza ili kuhakikisha jimbo hilo linapiga hatua kimaendeleo.
Aidha MH.MWIGIULU amesema kuwa miundombinu kama barabara,umeme,na maji vinaendelea kutekelezwa ambapo barabara ya kutoka Ndulungu kuunganisha Singida Ndago imeanza kutekelezwa kwa ujenzi,ambapo amesema kuwa vijiji vyote vilivyopo jimbo la IRAMBA vitaendelea kunufaika na umeme ambapo kuanzia kijiji cha Kaselya hadi Ndago nyaya zimeshaanza kuwekwa.
Pia MH.MWIGULU katika ziara hiyo amesema kuwa kutoka kijiji cha Shelui,Kidalu,Mingela,Mankente,Urungu umeme utakutanisha barabara kiomboi kwenda kidaru na kuunganisha meatu na mikoa jirani
 
Wadau nimestushwa na hichi ninachokiona Iramba hivi sasa!Kwa takriban wiki moja mbunge wa Iramba na naibu waziri wa fedha Mwigulu Nchemba anazunguka kwenye kata na vijiji vya Iramba akiwa na msafara wa magari zaidi ya matano,akiyagharimia mwenyewe na rundo la wapambe.

Kibaya zaidi ni pale anapogawa pesa kama njugu kwa kila anayekuwepo kwenye mikutano yake.Nimepiga hesabu za haraka haraka amegawa zaidi ya milion 200,kwa watu badala ya kujenga vituo vya afya au kuboresha barabara huduma za maji au kuhakikisha wawekezaji kwenye machimbo ya dhahabu ya Sekenke,mampanta yananufaisha Iramba.

Swali kubwa zaidi pesa hizi anazochezea kwa misafara na kugawa hovyo,amezitoa wapi? Au ni mmoja wa wale walioiba pesa za ESCROW?

Duh yaan Kumbe wanafiki hamkosi. Unafikiri tutakuamini kwa kutoa povu zakijinga? Umelala nakuota eti Mwigulu anagawa hela. Huna evidence na wewe ulikuwa unafanya nn wakati anagawa hizo hela? ulifata nn Iramba. Jipange upya then urudi hii ni ya kitoto sana.
 
Hazina, Benki Kuu zote zipo chini yake!! jimbo lake lazima ligeuke kuwa Dubai ya TZ kabla ya 2015.
 
Amegawa wapi zaidi niliona pesa wamepewa wale vijana walioambiwa wajiunge katika vikundi na kupewa mitaji ya kuendeleza biashara/miradi yao.
 
Wadau nimestushwa na hichi ninachokiona Iramba hivi sasa!Kwa takriban wiki moja mbunge wa Iramba na naibu waziri wa fedha Mwigulu Nchemba anazunguka kwenye kata na vijiji vya Iramba akiwa na msafara wa magari zaidi ya matano,akiyagharimia mwenyewe na rundo la wapambe.

Kibaya zaidi ni pale anapogawa pesa kama njugu kwa kila anayekuwepo kwenye mikutano yake.Nimepiga hesabu za haraka haraka amegawa zaidi ya milion 200,kwa watu badala ya kujenga vituo vya afya au kuboresha barabara huduma za maji au kuhakikisha wawekezaji kwenye machimbo ya dhahabu ya Sekenke,mampanta yananufaisha Iramba.

Swali kubwa zaidi pesa hizi anazochezea kwa misafara na kugawa hovyo,amezitoa wapi? Au ni mmoja wa wale walioiba pesa za ESCROW?
Hahaaaa ndio tatizo la kijana kushikiwa akili na Mzee sasa ona alichokutuma uandike hapa ----- mtupu.sioni chakujibu hapa.
Mods tafadhali ondoa huu upumbavu hapa jukwaani
 
Hazina, Benki Kuu zote zipo chini yake!! jimbo lake lazima ligeuke kuwa Dubai ya TZ kabla ya 2015.

Mbunge wa Iramba Magharibi Mh Mwigulu ametekeleza ahadi zake kwa kiwango kikubwa sana katika miaka takribani mitatu ya ubunge wake. Maji sasa wananchi wa Ndago wanapata maji ya uhakika, na Maeneo mengine ndani ya Jimbo lake.

Sekta ya umeme unatekelezwa kwa vijiji 22 vipya hivyo kufanya Iramba baada ya kukamilika itakuwa na umeme zaidi ya asilimia 75. Kilimo tayari kuna kiwanda kikubwa cha Alizeti kinajengwa Ndago ambacho jumla ya vijana 3000 watapata ajira, na kingine ambacho kitafunguliwa Ulemo tarehe mosi Sept kitaajiri vijana 300. Hii itasaidia sana ajira kwa vijana.

Najua wee utakuwa wa kwanza kutukana nakaribisha pia matusi
 
kama anafanya kazi wizara ya fedha bila shaka anazitoa hukohuko

Ndio matatizo ya kufanya kwa hisia mnataka kutimiza ndoto za kuwa rais wa nchi abadani kamwe hawezi kwanza ulishakataliwa na waasisi toka kitambo kile ubishi wetu tukakupa nafasi ulichoweza kutupa ni EPA na Richmond na watoto zako hawa wakina iptl na escrow
 
Uadilifu ni kipimo tosha cha kuitwa kiongozi bora
Mwigulu ni mwadilifu

Uadilifu upi ndugu?
1. Alipokuwa mtumishi BOT ukafanyika wizi wa fedha za EPA
2. Ameteuliwa kushika nafasi ya unaibu waziri wa fedha kabla ajamaliza hata miezi 3 zimeibiwa billion 200.
 
Duh yaan Kumbe wanafiki hamkosi. Unafikiri tutakuamini kwa kutoa povu zakijinga? Umelala nakuota eti Mwigulu anagawa hela. Huna evidence na wewe ulikuwa unafanya nn wakati anagawa hizo hela? ulifata nn Iramba. Jipange upya then urudi hii ni ya kitoto sana.

Ukitaka kufahamu kuwa mtu ni mzinzi ni pale anapotetewa kwa wingi na wanawake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom