Salamu wanajamvi,
Leo napenda nizungumzie jambo moja ambalo elimu ya vitabuni imeshindwa kumkomboa Mwafrika miaka na miaka. Kuna wakati unaweza ukadhani tumelogwa na hatujitambui kabisa...
Namsikia Lema akiwakoromea viongozi wa dini kwa maneno ya dhihaka na dharau kwa kuwa tu hawajahudhuria mkutano wa siasa, kana kwamba na wao ni wanasiasa au wanalazimika kufanya hivyo.
Wana hiyari...
Huyu bwana mkubwa yuko Chato na viongozi wa mkoa.
Haijulikani kwanini ziara yake kaifanya moja kwa moja Chato na haitangazwi katika vyombo vya habari.
Wanamkakati wanadai ni mkakati wa Magogoni...
Katibu wa Baraza la Habari la Waislam Shehe Mwaipopo ameshangaa kumuona Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Padre Dr Charles Kitima akiwa muongeaji Kwenye mkutano wa Chadema
Shehe Mwaipopo...
Sauti ya Rais ni faraja,
Rais, kwa sauti yake, ni dira ya nchi na wananchi
Lakini pia, yeye ndiye kocha mkuu, kunapotokea wasaidizi wake wameelemewa uwanjani, yeye hutokea kubadili upepo wa...
Ukiutazama mkataba wa bandari kati ya DP na Tanzania, ni vigumu sana kuamini kuwa waliouandaa na kuusaini walikosa uelewa wa mapungufu yote yaliyo dhahiri kiasi ambacho hata asiye na uelewa mkubwa...
Ninashauri kwa nia njema kabisa kwasababu hawa viongozi wawili wa CHADEMA kwa siku za karibuni wamekuwa wakionge vitu vinavyoleta ukakasi na hasira kwa wapiga kura nchini Tanzania. Hii inafanya...
"Kabla sijaanza kuongea kuhusu bandari,nizungumzie mambo matatu,la kwanza,mpuuzi na mpumbavu tutamkabili kwa upuuzi na upumbavu wake" Wakili Boniface Mwabukusi.
"Kabla sijaanza kuongea kuhusu...
Umaskini wa mwafrika uko kwenye kushindwa kutumia siasa katika kuamua mambo yetu.si kila kitu utatumia siasa.kwa mfano ukitumia siasa hovyo kwa mambo ya afya ujue utaua wengi. Kosa letu zinpokuja...
Naandika kwa uchungu sana. Saa nyingine naona hata bora ningekuwa mhadzabe nisijue chochote kinachoendelea kufanywa na wenye mamlaka. Huu ufisadi unaovuja au kusikia kupitia CAG ni sehemu tu ya...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt Florence George Samizi ameendelea na ziara yake ya kufanya mikutano ya hadhara kuelezea utekelezaji wa Ilani ya CCM ambapo leo alikuwa Kata ya...
Moja kwa moja kwenye mada. Tunapaswa kujua kuwa hakuna tukio kubwa linaloipata nchi yoyote bila mkuu wake kuonyeswa mapema ndotoni. Wengi wenu nadhani mlishawahi kusoma au kusikia kisa cha Yusufu...
MBUNGE AESHI HILALY MGENI RASMI KAMATI YA CCM KATA YA MAFULALA
Kata ya Mafulala iliyopo Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa leo imefanya mkutano mkuu wa CCM Kata na kuhudhuriwa na mgeni rasmi...
Mtangazaji mahiri Salim Kikeke siku ya jana aliaga rasmi, akitoa taarifa ya kuondoka katikaShirika la Habari la Uingereza baada ya kufanya kazi kwa kipindi cha miongo miwili (Miaka 20)
Kikeke...
Kati ya watu wamekuwa mstari wa mbele kuupigia debe mkataba wa kishenzi wa bandari, kwa upande wa wanahabari, ni bwana Kitenge. Huyu jina lake linajitokeza miongoni mwa wanaotajwa kupokea hongo...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa wingi wetu kwa maelfu na mamilioni tunaendelea kusimama na Rais samia, tunaendelea kumtetea, kumsemea na kuwa upande wake ambao ndio upande wa nchi na Taifa letu kwa...
Rais samia usisahau mwaka jana Rais wa Malawi Chakwera alibaki mdomo wazi baada ya kupigwa na kitu kizito wajanja walimuingiza mjini walimpoteza maboya yeye mwenyewe, waziri wa kiliimo na waziri...
Wataalamu wa sheria wanaowakilisha kamuni ya Indiana wametuma barua kwa Wakili Mkuu wa Tanzania, ikidai malipo hayo ifikapo tarehe 17 Agosti 2023. Barua hiyo imetumwa tarehe 20 Julai 2023, Wito wa...
Soma Comments za Watanzania kwenye Live Streaming ya Mkutano wa Chadema kwa Sasa. Maaskofu wanashambulia Jukwaa. Ukiwa huijui hujafika Tanzania halafu mtu akakushusha kwenye Mkutano huu utafikiri...
Kwa muda mrefu John Heche pekee emekuwa akizunguka nchi nzima kuinadi Chadema. Binafsi nimewahi kukutana naye Lindi akifanya kazi katika mazingira magumu sana.
Ilikuwa hakuna ruzuku kilipita...