Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa katika Uwanja wa Mashujaa, Mji wa Serikali Mtumba mkoani Dodoma. Rais Samia...
8 Reactions
83 Replies
10K Views
Baada ya ahadi ya nyongeza ya mshahara kupitia vyombo vyote vya habari nchini Kuna mengi yanasemwa na ikizingatiwa kuwa hakuna chanzo sahihi cha taarifa. Inapofikia michakato inatendeka...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wana JF, Tunaendelea na hili jambo ambalo sasa lipo katika ngazi ya familia kabisa. Tunaulizwa majumbani mwetu. Kuna mambo kadhaa ambazo ni facts kabisa katika mkataba huu na...
31 Reactions
149 Replies
10K Views
Kila nikifungua kituo chochote cha TV ni huduma za maji tu. Nikafikiri labda ni hivi vituo vilivyozoeleka ambavyo haters huvihusisha na CCM wakati mwingine lakini kumbe sivyo kwani hata...
4 Reactions
56 Replies
2K Views
Nawasalimia kwa Jina la Jamhuri ya Nchi yetu. Wote tunatambua kuwa wanawake ni watu makini sana na waoga linapokuja jambo lisilo la maslahi kwa Nchi. Hivi Karibuni mkataba wa Tz Bara na Dubai...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Miongoni mwa Wabunge wa Tanzania waliobahatika kuteuliwa kufanya ziara ya siri huko Dubai, yumo mbunge wa Jimbo la Msalala la Mkoani Shinyanga. Taarifa zinaonyesha kwamba Mbunge huyu alivyorudi...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Naomba wale Wajuzi wa historia mnielimishe kidogo ilikuwa Watu wa DSM walimuomba Julius Nyerere awasaidie katika mapambano ya kudai Uhuru Mzee Mohamed Said na Wakili Pascal Mayalla karibuni...
0 Reactions
9 Replies
800 Views
Nchi jirani yetu ya Kenya imekumbwa na matatizo makubwa ya balaa la njaa tangia lock downs za COVID na ukame mfululizo. Pia tangia vita vya Ukraine imekubwa na balaa la upungufu na kupanda sana...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema anesema wakati DP World wakishughulikia yajayo zaidi ya miaka 100 mbeleni Viongozi wetu wanafikiria Uchaguzi mkuu wa 2025 Hapo ndio...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Suala hili linapotoshwa sana bwana Peter Madeleka ni mwanasheria asiyejua kwamba Dubai ni Kati ya state tano zinaunda muungano wa UAE, Nyingine ni Abu Dhabi, Sharjah, Ajman, Umm Al-Quwain, na...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Serikali ya India na Tanzania zimekubaliana kushirikiana katika upatikanaji wa dawa za gharama nafuu ili kuwezesha wananchi kumudu na kupata dawa hizo kwa gharama nafuu zaidi. Hayo yamesemwa na...
2 Reactions
5 Replies
676 Views
Robert Denison joined LALIVE in 2019 and specialises in international commercial and investment treaty arbitration, as well as public international law. He has a particular focus on the energy and...
4 Reactions
59 Replies
10K Views
Ninachojiuliza, kwanini viongozi wa serikali hawataki kubadilisha mapungufu hayo ya mkataba wa DP world au kuufuta kabisa na wanaendelea kuaminisha umma mambo ya uongo? Hivi wabunge hawa...
3 Reactions
2 Replies
977 Views
Kama ni mfuatiliaji wa mijadala mingi ya wazanzibar, Muungano Wana uchukulia kama ukoloni. Hawaupendi, hawautaki na hawako tayari kuendelea nao hata lisaa lkn hawana namna ya kufanya kwani hata...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Mwaka 2016/17 Serikali ikifanya maamuzi rasmi ya kuhama Dar es Salaam na kuhamia Dodoma. Uhamaji huu umepelekea majengo mengi sana ya Jiji la Dar hasa katikati ya Jiji na maeneo ya Jirani kuwa...
1 Reactions
8 Replies
802 Views
Ziara ya Mbunge Jimbo la Nkenge Mhe. Florent Kyombo katika Kata ya Kanyigo iliyopo Wilaya ya Missenyi, Kagera. Tarehe 25 Julai, 2023.
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Mhe. Florent Kyombo, tarehe 25 Julai, 2023 ameendelea na ziara yake ya Jimboni. Katika ziara yake amehudhuria Mkutano wa ndani wa CCM Kata ya Kanyigo na kugawa vitendea...
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Kusema CCM inamuenzi Hayati Baba wa Taifa Mwl. Nyerere mimi binafsi napinga kauli hiyo kuwa sio kweli. CCM haina ubavu wa kumuenzi Mwl. Nyerere kwa vitendo, labda kwa maneno ya majukwaani. Hayati...
3 Reactions
1 Replies
733 Views
Yaonekana ndiyo mtindo anaoutumia adui wa upinzani hapa nchini. Mrema hakuiacha NCCR mpaka alipoisambaratisha. Lipumba hakupachoka Buguruni mpaka alipopasafisha. Zitto hajaiacha ACT mpaka...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu Watanzania! Tumeongea Ahobokile Mwaitenda ikiwa ni siku moja baada ya kunusurika kuuawa au kutekwa na watu wasiojulikana. Mwaitenda ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Taifa CHADEMA na alikuwa ni...
26 Reactions
107 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…