Polisi Dar warushiana mpira Mkutano wa CHADEMA kuhusu Kibali cha ‘Bandari Day’!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,107
Gazeti la Mwananchi lilipomuuliza Kamanda Muliro wa Kanda maalumu kuhusu kama ameshatoa kibali kwa Chadema Kufanya Mkutano wa Bandari Day huko Temeke Kesho Kamanda alisema vibali hutolewa wilayani

Hata hivyo alipofuatwa RPC Kungu Malulu wa Temeke alisema aulizwe Kamanda Muliro

Source: Mwananchi
 
Fuateni ushauri wowote unaotolewa na vyombo vya usalama..tiini Sheria bila shuruti wakati wote ili mkae kwa Amani na upendo..Awiiiiiiiiiiii........!!!!!...Awaaaaaaa...!!!
 
Fuateni ushauri wowote unaotolewa na vyombo vya usalama..tiini Sheria bila shuruti wakati wote ili make kwa Amani na upendo..Awiiiiiiiiiiii........!!!!!...Awaaaaaaa...!!!
Huko arusha leo uwanja mnajaza maboda boda ikija kutetea raslimali za Taifa mnasema fuateni sheria.

Kesho jengeni vituo vya polisi vipya ya kutosha watu 2.5m na magereza za kutosha.
 
Gazeti la Mwananchi lilipomuuliza Kamanda Muliro wa Kanda maalumu kuhusu kama ameshatoa kibali kwa Chadema Kufanya Mkutano wa Bandari Day huko Temeke Kesho Kamanda alisema vibali hutolewa wilayani

Hata hivyo alipofuatwa RPC Kungu Malulu wa Temeke alisema aulizwe Kamanda Muliro

Source: Mwananchi
Zile enzi za giza zinaanza kurejea, uzuri Mwenyezi Mungu hakawii kuamua kesi
 
Gazeti la Mwananchi lilipomuuliza Kamanda Muliro wa Kanda maalumu kuhusu kama ameshatoa kibali kwa Chadema Kufanya Mkutano wa Bandari Day huko Temeke Kesho Kamanda alisema vibali hutolewa wilayani

Hata hivyo alipofuatwa RPC Kungu Malulu wa Temeke alisema aulizwe Kamanda Muliro

Source: Mwananchi
Sasa kama vinatolewa wilayani kam walivyoeleza wakutfutwa si ilibidi OCD kulikoni RPC
Au mimi ndo sijelewa hapa???🤔
 
F1m_276XgAExcXK.jpeg

KONGAMANO HILI LINAVIASHIRIA VYOTE VYA KUHATARISHA AMANI NA UTULIVU WA TAIFA LETU,TULIZUIA LA VIJANA WA CCM ,NA HILI NALO LIZUIWE HAKUNA KUPEPESA MACHO JUU YA HILI.
-Kutokana na baadhi ya viongozi kuonyesha udini,ukabila,ubinafsi,uzanzibar,utanganyika,sioni afya yake kwa taifa juu kusanyiko hilo.!
NENO ZURI HUJENGA,NENO BAYA HUBOMOA,TATIZO MANENO HAYARUDI NYUMA,TUSICHEZEE SHILINGI CHOONI.
 
Hawa mapolisi Wana matatizo gani ? Maandamano ya Kwanza wilayani waliruka na kwa mliro wakaruka sasa tuwaeleweje
 
Samia anafanya mchezo kwenye mambo ya msingi, sijawahi kuona kiongozi asiyejielewa kama huyu.
Haogopeshwi mtu, viashiria vyote vibaya vipo wazi,udini,ubinafsi,uzanzibar,utanganyika wapi na wapi?,serekali ikikosea tu hapa,TAIFA litagawanyika,hufahamu MANENO ni sumu,tunataka kuishi kwa Amani,wapo walioolewa huko ngambo,nchi ikipasuka watakimbilia kwa waume zao,sisi wengine kwetu ndipo hapahapa.
 
thubutu, niache kwenda kutafuta ugali wa familia yangu niende kupoteza muda kuwasikiliza walio shiba.

Lisu pale alipo watoto wake wanasoma nje ya nchi, yeye mwenyewe ana uhakika, viongozi wote wa chadema matumbo yao yameshiba wanao uhakika wa kula.
hatuwezi kwenda kupoteza muda wetu.
 
Kuna waliomuhongwa $100,000 ili project yetu hii ife kisa itawabana,hawatakuwa huru tena .
 
Gazeti la Mwananchi lilipomuuliza Kamanda Muliro wa Kanda maalumu kuhusu kama ameshatoa kibali kwa Chadema Kufanya Mkutano wa Bandari Day huko Temeke Kesho Kamanda alisema vibali hutolewa wilayani

Hata hivyo alipofuatwa RPC Kungu Malulu wa Temeke alisema aulizwe Kamanda Muliro

Source: Mwananchi
Waziri wa mambo ya ndani ambaye ni mzanzibari atakuwa anahusika kwenye hilo sakata
 
Back
Top Bottom