Shujaa Hayati Magufuli na Ubabe wake wote aliyaogopa sana Malumbano ya Kidini!

Shujaa Magufuli alikuwa anayaogopa sana Malumbano ya Kidini na alijitahidi sana kuwafanya Watu wa Dini zote wawe marafiki

Pale Kinya udini unawasumbua sana ukienda Nairobi Wagalatia ukija Mombasa Islam ila Mungu amewajalia jambo Moja Viongozi wa Dini wanaheshimiana sana

Jehovah ndiye Allah, amen!
Mbona yeye alikuwa mdini?

Nimekuwa naandika mara nyingi kwamba Kwa observations zangu,Kila mara Rais akiwa Muislamu Wakristo Huwa wanaleta chokochoko zinazoaa hicho unachosema malumbano ya Kidini

Ukweli ni kwamba kikinuka Wakristo mtasagwa sana maana mnajua ujasiri walionao Waislamu haijalishi uwingi wenu..

Mwisho Wakristo wakome kuwaingilia Waislamu na kujifanya wanawafundisha kuongoza Nchi ilhali Wakiwa wao hakuna mtu anawaingilia licha ya kuvurunda na kuleta maisha magumu kama huyo kichwa kubwa wako akili kisoda unaemuita Shujaa.
 
Bakwata walimualika Shujaa Magufuli ( mwanasayansi) akaukague Msikiti mkuu wa Bakwata pale Kinondoni Muslim kabla haujafunguliwa rasmi

Shujaa aliongoza a na RC DSM alhaj Abubakar na akatoa Ushauri kadhaa ambao Mufti aliuzingatia😀
 
Haiondoi ukweli kwamba Uongozi wa Wakristo Huwa ni makatili na waharibifu wa Maisha ya watu
 
Bila Ukatili dunia isingekuwepo

Leo mmewaita akina Kitila Mkumbo kuokoa jahazi 😂😂 vijana waliopikwa na Shujaa

Ole Sabaya anapiga jalamba kuja kumpokea kijiti Chalamila dadeki😀😀🔥🔥🔥
Ukatili wa kisenge hautakiwi,ukatili unaotakiwa ni WA kuleta maendelea na Ustawi sio kuharibu.

Ndio maana Samia atawashughulikia mdogo mdogo huku maisha yanazidi kuwa matamu.

Shida Jiwe alikuwa hana akili,Kila mtu adui yake isipokuwa maskini wasio na Msaada.

Samia maadui wake ni Wanasiasa hasa wa upinzani na nyie sukuma gang ambao ni rahisi kuwadhibiti ila sio Wananchi Wala wafanyabiashara au Jumuiya ya Kimataifa
 
Hao Sukuma Gang ndio wanalamba Teuzi nyie Wasafwa mnamwimbia mapambio mtumishi wa Mungu Dr Tulia Mwansasu wa Tukuyu na Mtume Mwamposa Mwekezaji mpya Mbeya

Wasafwa ni Manamba kwenye Mashamba ya Masanja Mkandamizaji🤣🤣
 
Mbona yeye alikuwa mdini?

Nimekuwa naandika mara nyingi kwamba Kwa observations zangu,Kila mara Rais akiwa Muislamu Wakristo Huwa wanaleta chokochoko zinazoaa hicho unachosema malumbano ya Kidini

Ukweli ni kwamba kikinuka Wakristo mtasagwa sana maana mnajua ujasiri walionao Waislamu haijalishi uwingi wenu..

Mwisho Wakristo wakome kuwaingilia Waislamu na kujifanya wanawafundisha kuongoza Nchi ilhali Wakiwa wao hakuna mtu anawaingilia licha ya kuvurunda na kuleta maisha magumu kama huyo kichwa kubwa wako akili kisoda unaemuita Shujaa.
Wewe mnduku kweli yani muuze nchi ya umbumbumbu wenu tuwavumile karibuni vitani nyau nyie
 
Mbona yeye alikuwa mdini?

Nimekuwa naandika mara nyingi kwamba Kwa observations zangu,Kila mara Rais akiwa Muislamu Wakristo Huwa wanaleta chokochoko zinazoaa hicho unachosema malumbano ya Kidini

Ukweli ni kwamba kikinuka Wakristo mtasagwa sana maana mnajua ujasiri walionao Waislamu haijalishi uwingi wenu..

Mwisho Wakristo wakome kuwaingilia Waislamu na kujifanya wanawafundisha kuongoza Nchi ilhali Wakiwa wao hakuna mtu anawaingilia licha ya kuvurunda na kuleta maisha magumu kama huyo kichwa kubwa wako akili kisoda unaemuita Shujaa.
Wewe mwenye akili zilizojaa na kutoshea kipimo ninini umewahi kuifanyia nchi hii?
Kwa kua hapa una id usiotaka kujulikana taja hata kwa code chochote ulichoifanyia nchi hii kwa kadri ya wingi wa akili yako.
 
Mbona yeye alikuwa mdini?

Nimekuwa naandika mara nyingi kwamba Kwa observations zangu,Kila mara Rais akiwa Muislamu Wakristo Huwa wanaleta chokochoko zinazoaa hicho unachosema malumbano ya Kidini

Ukweli ni kwamba kikinuka Wakristo mtasagwa sana maana mnajua ujasiri walionao Waislamu haijalishi uwingi wenu..

Mwisho Wakristo wakome kuwaingilia Waislamu na kujifanya wanawafundisha kuongoza Nchi ilhali Wakiwa wao hakuna mtu anawaingilia licha ya kuvurunda na kuleta maisha magumu kama huyo kichwa kubwa wako akili kisoda unaemuita Shujaa.
Umeshasema observation zako!!! Sa unadhani tutakupinga?
 
Haiondoi ukweli kwamba Uongozi wa Wakristo Huwa ni makatili na waharibifu wa Maisha ya watu
Yeyote alie imara huonekana katili. Huwezi mlinganisha Shoga na Mwanaume lijali. Shoga huonekana mpole, kumbe ni mdhaifu. Ndivyo ilivyo, wanaopambana na wala rushwa na majizi siku zote huonekana katili. Waislam kazi yenu ni kutujazia madeni sio mwinyi, kikwete wala Samia, hamtaki shuruba, mnaongoza kimlwndamlenda
 
Back
Top Bottom