Dude limegoma kulala!

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,215
56,855
Lilianza kama masihara hivi likapigiwa kura chap chap, wananchi nao wakalipokea chap chap. Sasa dude linawasumbua wapiga kura na wale waliotia saini!

Kila likitaka kulazwa halilali, kama ni mboga basi hii imechacha! Inamuumbua mpishi na inamsumbua mlaji ambae kagoma na sio kugoma tu bali kashika na bango.

Dude hili limeibua mengi hata wale waliokuwa kimya wamenena, tena wanatapika nyongo haswa. Kuonyesha kuwa dude hili ni imara limeanza hadi kuzingua misimamo ya kiimani!

Majukwaani hawalali, dude hili limewapa baadhi yetu uwezo wa kupiga msamba kama sio sogodati. Mbaya mbovu, dude limegonga mlango mpaka kwa akina Tanzania intelligence security huduma, wakereketwa wanahoji "Mlikuwa wapi wakati dude linaingia?"

Hao jamaa nao huwa hawaju kitu, kawaida yao huwa ni kukaa kimya ila vitendo ndio vitajibu. Wao hawapendi vipaza sauti lakini dude ndio hilo limewatazama wao kwasasa.

Ilipofikia sio wakumtafuta mchawi ni nani, bali ni lazima apatikane komando kipensi wakulituliza hili dude. Waswahili walisema usipoziba ufa utajenga ukuta. Hili dude ni aidha litaenda na watu au mtu au jitu.

Mipango bila pesa ni kelele!
 
Lilianza kama masihara hivi likapigiwa kura chap chap,wananchi nao wakalipokea chap chap!... Sasa dude linawasumbua wapiga kura na wale waliotia Saini!.

Kila likitaka kulazwa halilali,kama ni mboga basi hii imechacha! Inamuumbua mpishi na inamsumbua mlaji ambae kagoma na sio kugoma tu bali kashika na bango!.

Dude hili limeibua mengi hata wale waliokuwa kimya wamenena Tena wanatapika nyongo haswa!.
Kuonyesha kuwa dude hili ni imara limeanza hadi kuzingua misimamo ya kiimani!!..
Majukwaani hawalali,dude hili limewapa baadhi yetu uwezo wa kupiga msamba kama sio sogodati!.

Mbaya mbovu dude limegonga mlango mpaka kwa akina Tanzania intelligence security huduma!.. wakereketwa wanahoji "mlikuwa wapi wakati dude linaingia...?"
Hao jamaa nao hawajibugu kitu kawaida yao huwa ni kukaa kimya ila vitendo ndo vitajibu,wao hawapendi vipaza sauti lkn dude ndio hilo limewatazama wao kwasasa!.

Ilipofikia sio wakumtafuta mchawi ni nani bali ni lazima apatikane komandoo kipensi wakulituliza hili dude!.. waswahili walisema usipoziba ufa utajenga ukuta!!..
Hili dude ni aidha litaenda na watu au mtu au jitu!..

MIPANGO BILA PESA NI KELELE!.
Dude laweza kwenda na mtu 2025.
 
CCM hovyo ya Tanzania.
 
Bandari inaenda kubadilisha upepo wa kisisasa nchini
 
Back
Top Bottom