"Hii biashara ya Rais wetu na maswaiba zake wa Dubai imekataliwa na watu wengi sana wenye akili na ambao hawajahongwa.
"Bandari zetu zimeuzwa zote zilizopo na zitakazokuwepo.
"Hao watu...
KESI YA KIKATIBA NA.5/2023:
Majaji wameingia ukumbi Na. 04 muda huu saa 6:05
MAWAKILI WANAJITAMBULISHA
UPANDE WA SERIKALI:
1. Mark Muluambo - Wakili wa Serikali mkuu
2. Edson Mweyunge
3. Alice...
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Mhe. Florent Kyombo, tarehe 26 Julai, 2023 ameendelea na ziara yake ya Jimbo.
Katika ziara yake amehudhuria Mkutano wa ndani wa CCM Kata ya Nsunga na kugawa vitendea...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu Antipas Lissu atawasili nchini leo mchana na moja kwa moja ataelekea Ofisini kwa DCI kuitika wito wa Polisi.
Tumuombee 😀
Ndugu zangu watanzania,
Ni kazi juu ya kazi, ni bandika Bandua, hivyo ndivyo inavyoweza ukasema,kwa sasa CCM inashambulia kila kona ya nchi kwa mikutano mfululizo inayotoa majibu ya Masuala...
Kuna campaign nchi nzima na mikutano ya usiku na mchana kutetea uwekezaji Bandari ya Dar es salaam na uwekezaji wa baadae kwa Bandari zote za Tanzania kwa kampuni Moja tu ya DP World.
Hizi pesa...
Proffessor Maruma ametetemeshwa na wasomi wenziwe huko duniani hadi anasikitisha.
Amelowa!
Na Tanzania kiuchumi tunapigwa kisawasawa, tumepambana na Economic Hit Men.
Wasomi wengine mlioko...
NDUGU MARY CHATANDA - PUUZENI WAPINZANI WANAOICHAFUA CCM JUU SUALA LA BANDARI
Mwenyekit wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa Ndugu Mary Chatanda na Makamu Mwenyekiti wa UWT Ndugu...
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Mhe. Florent Kyombo akipokea zawadi ya Ng'ombe, Mbuzi na Kuku kutoka kwa Wananchi wa Kata ya Nsunga mara baada ya Mkutano wa hadhara uliofanyika tarehe 26 Julai, 2023.
Kadiri teknolojia inavyoendelea kusonga mbele na dunia inavyozidi kukua kidigitali, umuhimu wa Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Faragha unazidi kuongezeka. Hili ni jambo muhimu sana, hasa katika...
Viongozi wa serikali ya Tanzania wameamua kujitoa ufahamu ili kuibeba kampuni ya DP world. Yaani sote tunajua shughuli za bandari zinahitaji usalama wa hali ya juu na madhubuti kwa sababu ya...
Alberto Mdando naona amekazana kuwajibu watu wanaopinga mkataba kisheria zaidi vizuri na anasema ni hoja kwa hoja.
Mtazamo.
Mtandao sio ofisi ya kazi ya wakili yoyote, ofisi ya wakili ni...
Mnamo tarehe 19.05.2023 Makamu wa Rais Dkt. Mpango uliweka Jiwe la msingi kwa ujenzi wa barabara kiwango cha lami Mianzini mpaka Ngaramtoni yenye urefu wa kilomita 18 Wilaya ya Arumeru Mkoani...
Kiongozi wa Amani ambaye pia ni Shehe mkuu wa Wilaya ya Temeke amemtaka Lema wa Chadema kuacha kuwasema vibaya Viongozi wa Dini
Shehe anesema Mikutano ya Siasa wanaipenda na kuifuatilia ila...
Prof. Mbarawa amesema Watanzania pale Bandarini hawana uwezo wa kuendesha Bandari ni wazembe na wala Rushwa.
Sasa Walimu wa Vyuo vikuu ndio hawa na waliofaulu kwa First class pale UDSM The Hill...
Hili ni jambo la ajabu sana. Yaani ukiongea na wana CCM tena wale wazito ndani ya chama, wanakwambia huu mkataba ni wa kipuuzi na kuwa sisi kama nchi tumepigwa.
Ila wakiwa public kwenye majukwaa...
ABBAS MTEMVU AWAONYA VIONGOZI WASIOFANYA KAZI ZA ILANI
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa Dar Es Salaam Abbas Mtemvu, amesema Diwani yoyote wa chama cha Mapinduzi katika Mkoa huo na...
Star wa mchezo katika awamu ya nne anaendelea kula mijeledi, naona baada ya kumtoa kwenye baraza kihekima hawamtaki tena bungeni 2025. Nikikumbuka nafasi yake ya ushawishi na maamuzi awamu...