Viongozi wa serikali ya Tanzania wameamua kujitoa ufahamu ili kuibeba kampuni ya DP world. Yaani sote tunajua shughuli za bandari zinahitaji usalama wa hali ya juu na madhubuti kwa sababu ya...
Alberto Mdando naona amekazana kuwajibu watu wanaopinga mkataba kisheria zaidi vizuri na anasema ni hoja kwa hoja.
Mtazamo.
Mtandao sio ofisi ya kazi ya wakili yoyote, ofisi ya wakili ni...
Mnamo tarehe 19.05.2023 Makamu wa Rais Dkt. Mpango uliweka Jiwe la msingi kwa ujenzi wa barabara kiwango cha lami Mianzini mpaka Ngaramtoni yenye urefu wa kilomita 18 Wilaya ya Arumeru Mkoani...
Kiongozi wa Amani ambaye pia ni Shehe mkuu wa Wilaya ya Temeke amemtaka Lema wa Chadema kuacha kuwasema vibaya Viongozi wa Dini
Shehe anesema Mikutano ya Siasa wanaipenda na kuifuatilia ila...
Prof. Mbarawa amesema Watanzania pale Bandarini hawana uwezo wa kuendesha Bandari ni wazembe na wala Rushwa.
Sasa Walimu wa Vyuo vikuu ndio hawa na waliofaulu kwa First class pale UDSM The Hill...
Hili ni jambo la ajabu sana. Yaani ukiongea na wana CCM tena wale wazito ndani ya chama, wanakwambia huu mkataba ni wa kipuuzi na kuwa sisi kama nchi tumepigwa.
Ila wakiwa public kwenye majukwaa...
ABBAS MTEMVU AWAONYA VIONGOZI WASIOFANYA KAZI ZA ILANI
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa Dar Es Salaam Abbas Mtemvu, amesema Diwani yoyote wa chama cha Mapinduzi katika Mkoa huo na...
Star wa mchezo katika awamu ya nne anaendelea kula mijeledi, naona baada ya kumtoa kwenye baraza kihekima hawamtaki tena bungeni 2025. Nikikumbuka nafasi yake ya ushawishi na maamuzi awamu...
Mwanasheria Msomi Tundu Lissu ameendelea kulichambua swala la madini nchini huku akionesha kutokubaliana na namna Serikali inavyoliendea swala hili. Akizungumza katika mahafali ya CHASO Dodoma...
Kwanini bodi ya mikopo imeendelea kukata wanufaika retention fees wakati Rais aliishaifuta?
Hii sio dharau kwa Rais au ndo yale kwamba maagizo ya kisiasa hayafanyiwi kazi?
Haya si yangu. copy n paste toka twitani (sasa X):
"Mtangazaji wa Kipindi cha Good morning kinachorushwa kwenye kituo cha Wasafi FM anayetambulika kwa jina maarufu la Zembwela ameelezea...
Kuna kesi zinaunguruma nyingi za kubana Nchi kwa mikataba mibovu iliyolazimika kuvunjwa kiholela.
Almost $1.5bilion sawa na TZS 3,682,500,000,000.00. Trillion 3.6 sawa na bajet ya Wizara ya...
Rais wa Samia Suluhu Hassan ameyasema hayo wakati akihutubia katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere (JNICC), Julai 26, 2023 Jijini Dar es...
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu Jijini Dar es salaam leo July 26,2023 ambapo amewasihi Viongozi wenzake kuwekeza...
Yanayofanyika Chato; Yanafanyika Kote Nchini Tanzania
Na: Mzalendo wa kweli (ellyskywilly)
Serikali ya awamu ya tano imekuwa ikifanya kila liwezekanalo katika kuhakikisha Tanzania nzima inakuwa...
Baraza la Sanaa la Taifa limewataka Wasanii Wasitumie Lugha za Uchochezi
Agizo limetolewa kwa njia ya mtandao huko twitani
Mungu wa mbinguni awabariki Sana!
Suala la Mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Jamhuri wa Tanzania na DP World umejadiliwa sana na wananchi kuhusu changamot zote zilizopo kwenye mkataba huo.
Huku nje wengi wa wananchi ni...
Kwenye suala la Makinikia na ile ripoti ya professorial rubbish ni sawa kumlaumu Profesa Abdulkarim Mruma. Lakini kwa hiyo clip nakataa.
Waliosaini BIT na Canada wanajulikana. Waliofuta leseni...
Katibu Mkuu Chongolo ni vizuri ukasimamisha ziara yako ukapata muda wa kufanya tathmini ili kujua kama hiyo mikutano yako iko connected na wananchi kwa kiasi gani. Msitafute picha za mahudhurio...