Tuangalie namna ya kuipunguzia hii nchi hasara za mikataba mibovu na uvunjivu holela wa mikataba

winnerian

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
335
530
Kuna kesi zinaunguruma nyingi za kubana Nchi kwa mikataba mibovu iliyolazimika kuvunjwa kiholela.

Almost $1.5bilion sawa na TZS 3,682,500,000,000.00. Trillion 3.6 sawa na bajet ya Wizara ya ujenzi uweke hapo na vijiwizara vinne vichovu zinatarajiwa kuwa fidia halali kwa waathiria wa uzembe wa taifa kuwa makini katika mikataba yake.

Sababu kubwa ni kwamba wanaosimama kwenye hizi kesi kama Mawakili wa Serikali wengi wao ndio wanaopiga sana hii nchi. Hawana msaada kabisa.

Nashauri tuunde mfumo mpya wa uwatala.
 
Tatizo ni ujinga basi kuanzia wanaoingia mkataba mpaka wanaopelekwa kusimama badala ya serikali huko kwenye mahakama za kimataifa.
Sometimes ni ubishi
Yoda alisema humu ...kuhusu English..

Why tusiwe tunajifanya hatujui kabisa kuhusu English kwenye mikataba...
Itasaidia tuwe na msaada wa watafsiri wa lugha na kisheria...
 
Kuna tatizo kubwa mno pia la UBINAFSI. Yaan mtu anapewa jukumu la kusimamia au kutetea nchi! Anaangalia yeye kwanza anapata nini? Hivi prof mruma ni wa kusema " yaaa yaaa! " kweli? Hata cjui nani katutupia hii laana
 
Sometimes ni ubishi
Yoda alisema humu ...kuhusu English..

Why tusiwe tunajifanya hatujui kabisa kuhusu English kwenye mikataba...
Itasaidia tuwe na msaada wa watafsiri wa lugha na kisheria...
Mimi huwa naamini mjinga hufanya maamuzi kwa hisia hatumii akili kwasababu uwezo wake mdogo huunyima ubongo wake kutafakari kwa kina na kuchakata mambo ili kupata cost benefit analysis za jambo lililo mbele yake. Mjinga hajazoezwa kufanya hivyo.
 
Tatizo ni katiba mbovu, wanaofanya maamuzi hawawajibishwi, Hawa watu waliotufikisha hapa ingebidi wawajibishwe.
 
Sometimes ni ubishi
Yoda alisema humu ...kuhusu English..

Why tusiwe tunajifanya hatujui kabisa kuhusu English kwenye mikataba...
Itasaidia tuwe na msaada wa watafsiri wa lugha na kisheria...
Kama kuna DHAMIRA nzuri kwa viongozi wetu ata kama mikabata ingeandikwa kwa lugha ya Kifaransa, nchi ingeweka kuiweka sawa tu na manufaa ingepatikana.
Kinachoanza kwanza ni DHAMIRA, kwani unadhani hawajui kuwa mikataba hizo ni mibovu? Kwavile wameshatambua kuwa wananchi ni wajinga then .....ujaza.
 
Back
Top Bottom