Zembwela ajutia kuingia sakata la DP World

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,335
24,232
Haya si yangu. copy n paste toka twitani (sasa X):

"Mtangazaji wa Kipindi cha Good morning kinachorushwa kwenye kituo cha Wasafi FM anayetambulika kwa jina maarufu la Zembwela ameelezea masikitiko yake kufuatia matusi na maneno yasiyokuwa ya kiungwana anayoshambuliwa yeye binafsi na familia yake iliyomzunguka kwa kile kinachodaiwa kusababishwa na uwepo wa sakata la DP World linaloendelea kushika kasi hapa nchini kwa sasa.

Akizungumza kwenye Kipindi hicho leo, Jumanne Julai 25.2023 Zembwela ambaye hivi karibuni aliambatana na Watangazaji wenzake Maulidi Kitenge na Gerald Hando kufanya ziara ya kutembelea nchini Dubai kwa lengo la kujionea jinsi kampuni ya DP World inayotajwa kuingia mkataba wa makubaliano ya uwekezaji Bandarini baina yake na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia mamlaka ya usimamizi wa Bandari, amesema walichokifanya Watangazaji hao ni kuonesha ubunifu wa kuandaa Kipindi chao ili kutengeneza maudhui yatakayowavutia watu wengi zaidi kuwafuatilia kwakuwa uendeshaji wa vipindi na vyombo vya Habari kwasasa unahitaji ubunifu mkubwa ili 'kuteka' watu, jambo ambalo ni tofauti na vile ambavyo baadhi ya watu wameitafsiri safari hiyo.

Ametolea mfano uwepo wa baadhi ya makampuni ambayo yaliwahi kutajwa kufanya uwekezaji hapa nchini huko nyuma lakini baadaye makampuni hayo yalikuja kugundulika kuwa ni hewa na yaliisababishia taifa hasara ya mabilioni ya fedha hivyo moja ya jambo walilolenga kulifanya kwenye ziara hiyo ni pamoja na kwenda kujionea na kujiridhisha kama kampuni ya DP World ipo na kama inajishughulisha na masuala ya bandari au la, jambo ambalo amethibitisha kuwa wamejionea na kujiridhisha baada ya kuunganishwa na baadhi ya Watanzania wanaoishi Dubai"
...kuna wale jamaa ambao wanamiliki klabu ya Kikapu kule wakatusaidia kutuunganisha, kwahiyo tukaenda tukaiona DP, kweli tukakuta wana Ofisi na sio richmond style, tukakuta kweli wanafanya shughuli za Bandari, tukatembelea Bandari yao, ila walikataa kuzungumzia hiki kinachoitwa makubaliano sijuwi mkataba kwasababu sio level yetu na wale tuliowakuta Ofisini sio level yao...""

...return yake ilikuwa Watanzania wanataka sisi ambao hatujuwi vifungu vya sheria tukifika pale DP tuwaulize kwenye mkataba pale kifungu cha 3C, kifungu kidogo cha 4D ibara ya 5 mmesema mtachukua Bandari kwa upana gani..., matokeo yake Mimi, walionizunguka, Wazazi wangu, Viungo vya mwili vya Wazazi wangu na mimi mwenyewe, wote tuliingia katika vinywa na maandishi ya Watanzania na nadhani mpaka sasa bado wanaendelea kututusi, kwahiyo njia pekee ambayo mimi niliichukua ni hiyo ya kukaa kimya".

"

MY TAKE
Zembwela na kina Kitenge na waandishi wengine waliosombwa msobe msobe kuingia sakata la DP World, wajijue kuwa wana upeo finyu sana.
Sakata hili waliingia kulipigia tafu sasa wanaona matokeo yake kwao binafsi.

Waendelee na comedy zao na hakuna mtu atawasumbua,
Siasa wawaachie wajuvi, ama sivyo wataumia.
 
Hizi ziara za kimchongo za waandishi wa habari zilikuja kwa kasi baada ya bush doctor kasheku kutoa shudu zake mbele ya vyombo vya habari akipendekeza waandishi wa habari wapelekwe dubai ili wajionee ufanisi na kurudi kuwaelimisha wadanganyika.​
 
Awe makini kujiweka kimbelembele kwenye vitu asivyovijua, siku nyingine ataalikwa na kufirwa au kuvunwa figo huko uarabuni.
 
Hela za DP world walizozibugia zitawatokea sehemu yeyote penye tundu
 
Amechungulia mapendekezo ya Sekretarieti ya bunge akaona yapo tofauti na ambacho amekuwa akizungumza, so anatafuta namna ya kupunguza gap la hiyo tofauti
 
Tabia ya uchawa imejikita sana kwa sasa hapa nchini, sijui sababu ya hali ngumu na tamaa ya kutusua kimaisha! katika wale maadui wanne wa taifa uchawa unakuwa adui namba tano.
Hali ngumu ilikuwapo tangu zamani, tena zaidi ya hii, watu tumenunua unga wa muhogo kwa lazima maduka ya kaya, kwa kuandikiwa kilo kwenye kitabu kwa mujibu wa ukubwa wa familia.

Kwenda Nairobi ilikuwa big deal kwa sababu watu walikuwa wanarudi na dawa ya kupigia mswaki na sabuni.

Kuna wakati mpaka wa Tanzania na Kenya ulikuwa umefungwa. Nyerere alivyotangaza mpaka kufunguliwa watu wakapumua.

Nakuelezeni habari tulizoishi, watoto waliozaliwa 1992 wengi hawazijui.

Mtu aliyekuwa anajielewa 1980 mpaka 1985 atajua naondika nini.

Mpaka Mzee Rukhsa Alhaji Ali Hassan Mwinyi "Nzasa" akatutoa katika lindi lile la fedheha.

Lakini hatukuwa na uchawa wa kiwango hiki.

Ni watu tu kujiachia.
 
Hali ngumu ilikuwapo tangu zamani, tena zaidi ya hii, watu tumenunua unga wa muhogo kwa lazima maduka ya kaya, kwa kuandikiwa kilo kwenye kitabu kwa mujibu wa ukubwa wa familia.

Kwenda Nairobi ilikuwa big deal kwa sababu watu wanarudi na dawa ya kupigia mswaki na sabuni.

Mtu aliyekuwa anajielewa 1980 mpaka 1985 atajua naondika nini.

Lakini hatukuwa na uchawa wa kiwango hiki.

Ni watu tu kujiachia.
Ni kweli Nyerere pekee ndo alikuwa na TV? Anaangalia BBC weather na kuwatabiria mazuzu kesho mvua itanyesha. Na inanyesha kweli na mazuzu wanashangilia na kumsifu eti Nyerere ni nabii.
 
BBC Weather walikuwa wanatoa utabiri wa hali ya hewa ya Tanzania?
 
Ni kweli Nyerere pekee ndo alikuwa na TV? Anaangalia BBC weather na kuwatabiria mazuzu kesho mvua itanyesha. Na inanyesha kweli na mazuzu wanashangilia na kumsifu eti Nyerere ni nabii.
Hapana, hizo ni urban legend tu.

Mbona sisi tulikuwa na TV mtaani 1983, tumeangalia video za Thriller za Michael Jackson na movies za Indiana Jones kuanzia "Raiders of The Lost Ark".

Nyerere hata bila ya TV alikuwa anawashinda Watanzania wengi, kwa sababu alikuwa analala huku anasikiliza BBC World Service.
 
Back
Top Bottom