Chongolo simamisha ziara yako fanya tathmini msimdanganye Rais

Shakari

Senior Member
Jul 6, 2022
157
440
Katibu Mkuu Chongolo ni vizuri ukasimamisha ziara yako ukapata muda wa kufanya tathmini ili kujua kama hiyo mikutano yako iko connected na wananchi kwa kiasi gani. Msitafute picha za mahudhurio feki na kumtumia DP World na Mh. Rais Samia mkimdanganya kwamba wana CCM wamekubali mkataba huo.

PITIA HIZO LINK UANGALIE WATAZAMAJI NI WANGAPI WALIOFUATILIA MKUTANO WAKO WA SINGIDA. UKITOKA HAPO RUDI WA MBEYA, MTWARA, ARUSHA NA WA LEO KIGOMA NAAMINI KAMA UTAKUWA UNATAKA KUJIFUNZA UTAJUA UKWELI

HII NI TATHMINI YA MIKUTANO YA SINGIDA

Hizi gharama za kuwaelimisha watu mambo ya ajabu (hata vingine bado havisainiwa kwa kuwalisha maneno kwamba vitakuwa vizuri) Ni bora gharama hizo wangewaelimisha TICTS mwaka juzi huenda mwaka huu tusingewahitaji DP World....

Na kama issue ni wizi hio dawa ya wizi tutaipata wapi ? (Au wizi unafanyika Bandarini pekee na DP World ni Immune kwenye Wizi)?
 
Katibu Mkuu Chongolo ni vizuri ukasimamisha ziara yako ukapata muda wa kufanya tathmini ili kujua kama hiyo mikutano yako iko connected na wananchi kwa kiasi gani. Msitafute picha za mahudhurio feki na kumtumia DP World na Mh. Rais Samia mkimdanganya kwamba wana CCM wamekubali mkataba huo.

PITIA HIZO LINK UANGALIE WATAZAMAJI NI WANGAPI WALIOFUATILIA MKUTANO WAKO WA SINGIDA. UKITOKA HAPO RUDI WA MBEYA, MTWARA, ARUSHA NA WA LEO KIGOMA NAAMINI KAMA UTAKUWA UNATAKA KUJIFUNZA UTAJUA UKWELI

HII NI TATHMINI YA MIKUTANO YA SINGIDA

Uko sahihi. Huwezi kwenda Arusha ukasomba watu wilaya zote za mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro halafu ukapiga picha na kudanganya watu eti mwitikio ni mkubwa. Mkutano mmoja mikoa 3?
 
Sijui kw Nini watu wanajioisha upepo namna hii...nipo Halmawhauri Fulani ktk Mikoa ya Kasikazin.Hapa.kuna watu walienda Arusha kuhudhuria huo.mkutano Kwa kulinda status quo tu ,ila.ka Bandari tupo nao Pamoja kupinga! Njaa mbaya sana!
 
Mimi nimekutana na waliosombwa toka Njombe, Iringa, Mbeya na wilaya zake, Songwe na Rukwa na kurundikwa Mbeya waonekane wengi. Wamerudi na wao hawakuelewa walichoelezwa.
 
Mtu una akili unawambia binadamu tena mbele ya nyomi ya watu kuwa ni MUNGU?.(usipojiendesha utaendeshwa tu hamna namna)
 
Back
Top Bottom