Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 5,280
- 8,005
Kwenye suala la Makinikia na ile ripoti ya professorial rubbish ni sawa kumlaumu Profesa Abdulkarim Mruma. Lakini kwa hiyo clip nakataa.
Waliosaini BIT na Canada wanajulikana. Waliofuta leseni hodhi za Bafex Tz Ltd (Kampuni tanzu ya Winshear) wanajulikana. Yamkini tunazo sababu lukuki za kumshambulia Prof. Mruma ila sio kwa hili la kutoa ushahidi wake mbele ya ICSID. Tunamkosea Mruma. Turushe mawe kwa watu sahihi.
Kiini cha madai ya Kampuni ya Winshear ni Kanuni za Madini za Mwaka 2018 zilizopelekea kufutwa kwa leseni zao.
Kwa mujibu wa Sheria, Kanuni hizo zilitungwa na Waziri wa Madini; wakati huo Angellah Kairuki. Sio Prof. Mruma.
Alichofanya Mruma ni kutetea Nchi yake. Mtendeeni haki.
Pia soma
- Mahakama ya ICSID: Professional bullying anayofanyiwa Profesa Mruma inafedhehesha jamii ya Wanazuoni