Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama ni kweli Professor Mruma alikiri mbele ya kamati ya alimas kuwa alisaini nyaraka bila kusoma na kusababisha serikali kupata hasara kwa wizi uliokuwa unaendelea kwenye almasi kwa nini ile...
76 Reactions
212 Replies
30K Views
Inaelekea mama alienda kwa mishe zake binafsi. --- Baada ya kuwapo kwa taarifa ya Rais wa Tanzania Samia Hassan Suluhu kwenda nchini Kenya hivi karibuni kwa ajili ya kusuluhisha mgogoro...
7 Reactions
66 Replies
6K Views
Naona wanaibuka masheikh wakitoa kauli za uchochezi moja kwa moja dhidi ya wakristo Naomba nichukue nafasi hii kuiomba serikali isichekee kauli hizo ikidhani hao masheikh wana isaidia serikali...
80 Reactions
202 Replies
12K Views
Siasa zetu na nyomi huwa haziachani. Wataalamu wa mambo wanadai chama kinachojaza nyomi kwenye mikutano yake ndio chenye uwezekano mkubwa wa kushinda kwenye uchaguzi. Sasa hivi nyomi si la...
0 Reactions
2 Replies
716 Views
Mikakati mingi sana inapangwa bila Salum Mwalimu kuhusishwa amekuwa mpokeaji wa mambo au kuyasikia kwenye mitandao kama wengine, kurudi kwa Dkt Slaa kamati kuu ikae muamue lisiwe swala la mtu...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
TUENDELEE KUJADILI MAPUNGUFU YA MKATABA. Baina ya Tanzania na Dubai wa uwekezaji wa Kampuni ya DPW katika bandari zetu zote. Tusitolewe kwenye mstari na kukubali Kujadili Udini. Naomba...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi karibuni, kampuni ya maendeleo ya mali isiyohamishika ya Uingereza imedai fidia ya dola bilioni moja (sawa na Trilioni 2.45) dhidi ya Tanzania kupitia Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi...
21 Reactions
175 Replies
16K Views
Kwanza kabisa ili kuweza kuelewa dhana hii kwa ufasaha, ni LAZIMA upate fursa japo kwa uchache kusoma nyaraka zifuatazo 1. Katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977(The...
0 Reactions
2 Replies
633 Views
Nimesikiliza kupitia BBC na VOA taarifa kuwa Rais Samia alisafiri kwenda Nairobi kwa minajili ya kuwapatanisha mahasimu wa siasa za Kenya ambao ni Rais Ruto na Raila Odinga. Sijajua undani kama...
13 Reactions
51 Replies
4K Views
Tukiwagusa Acacia tutashitakiwa MIGA alisikika Lissu msomi aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania lakini badala yake tukaja kulipwa billion 700 na Acacia ikafutwa na ikaundwa kampuni mpya ya Twiga...
15 Reactions
121 Replies
9K Views
"Hii biashara ya Rais wetu na maswaiba zake wa Dubai imekataliwa na watu wengi sana wenye akili na ambao hawajahongwa. "Bandari zetu zimeuzwa zote zilizopo na zitakazokuwepo. "Hao watu...
8 Reactions
15 Replies
2K Views
Fuatilia hapa kile kinachoendelea huku Urusi na viongozi wetu
2 Reactions
0 Replies
1K Views
KESI YA KIKATIBA NA.5/2023: Majaji wameingia ukumbi Na. 04 muda huu saa 6:05 MAWAKILI WANAJITAMBULISHA UPANDE WA SERIKALI: 1. Mark Muluambo - Wakili wa Serikali mkuu 2. Edson Mweyunge 3. Alice...
5 Reactions
63 Replies
11K Views
Mbunge wa Jimbo la Nkenge Mhe. Florent Kyombo, tarehe 26 Julai, 2023 ameendelea na ziara yake ya Jimbo. Katika ziara yake amehudhuria Mkutano wa ndani wa CCM Kata ya Nsunga na kugawa vitendea...
0 Reactions
0 Replies
585 Views
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu Antipas Lissu atawasili nchini leo mchana na moja kwa moja ataelekea Ofisini kwa DCI kuitika wito wa Polisi. Tumuombee 😀
10 Reactions
73 Replies
5K Views
Ndugu zangu watanzania, Ni kazi juu ya kazi, ni bandika Bandua, hivyo ndivyo inavyoweza ukasema,kwa sasa CCM inashambulia kila kona ya nchi kwa mikutano mfululizo inayotoa majibu ya Masuala...
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Kuna campaign nchi nzima na mikutano ya usiku na mchana kutetea uwekezaji Bandari ya Dar es salaam na uwekezaji wa baadae kwa Bandari zote za Tanzania kwa kampuni Moja tu ya DP World. Hizi pesa...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe. Charles Makongoro Nyerere, Wilayani Kalambo tarehe 27 Julai, 2023.
1 Reactions
0 Replies
953 Views
Proffessor Maruma ametetemeshwa na wasomi wenziwe huko duniani hadi anasikitisha. Amelowa! Na Tanzania kiuchumi tunapigwa kisawasawa, tumepambana na Economic Hit Men. Wasomi wengine mlioko...
12 Reactions
33 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…