Tetesi: Kwanini CHADEMA wanamtenga Naibu Katibu Mkuu

Billal Saadat

Senior Member
Nov 30, 2022
169
356
Mikakati mingi sana inapangwa bila Salum Mwalimu kuhusishwa amekuwa mpokeaji wa mambo au kuyasikia kwenye mitandao kama wengine, kurudi kwa Dkt Slaa kamati kuu ikae muamue lisiwe swala la mtu mmoja pekee. Naibu katibu Mkuu apewe nafasi.

Mbowe anawapigia simu kila mtu aongee kama amekula Pesa mwenyewe si kila mmoja aongee CHADEMA nyinyi ni chama cha Demokrasia waacheni waliokaa kimya siyo wasaliti kama baadhi yenu mnafahamika wapi mnatoa Pesa.

Timu ya Mbowe kamati kuu ni hawa (Lema, Heche na Msigwa) Mnyika bado ni Neutral haelewi Dkt. Slaa akirudi atakuwa nani maana anataka kuwa mjumbe wa kamati kuu kupitia nafasi ipi…? Mauzauza ndani ya Chadema Dkt. Slaa mapendekezo yake aingie kwenye vikao kamati kuu.!

Msisitizo wa Lissu kuwa Dkt Slaa aombe msamaha hadharani kurudi CHADEMA kama alivyokituhumu chama katika mikoa yote ambayo ni ngome yao. Huu ni mtego mgumu kwa mahasimu hawa wawili wa miaka yote ndani ya CHADEMA chanzo ntawaeleza Kwanini.

Ule mkutano wa Buliyaga ulipangwa na Dkt. Slaa ukabebwa na CHADEMA kwenye maandalizi yote fungu walipewa la kutosha bahati mbaya wakaangukia pua.

IMG_8331.jpg
 
Salim Mwalimu ni naibu Katibu Mkuu upande wa Zanzibar so tukienda kihalali kabisa hapaswi kuorganise au kusimamia chochote upande wa Tanganyika however yeye ndio alikua kasimu Katibu mkuu kipindi Dr Slaa ametelekeza chama na ndio maana alikua active sana before 2020.

Kingine yeye ndio mastermind wa Chadema digital so muda mwingi hiyo ndio kazi yake ku organise na ku coordinate usajili na technicallities za Chadema digital maana yeye ndio ana uzoefu wa masuala ya mitandao tokea akiwa Vodacom.

Otherwise hakuna mpasuko Wala Nini Chadema, mwanzoni mlidai Lissu na Mbowe hawaivi mlivyoumbuka mnakimbilia kwa Mwalimu??

Grow up
 
View attachment 2700256
Kama mnamtaka mchukueni mfaidi pesa za DP World
 
Salim Mwalimu ni naibu Katibu Mkuu upande wa Zanzibar so tukienda kihalali kabisa hapaswi kuorganise au kusimamia chochote upande wa Tanganyika however yeye ndio alikua kasimu Katibu mkuu kipindi Dr Slaa ametelekeza chama na ndio maana alikua active sana before 2020.

Kingine yeye ndio mastermind wa Chadema digital so muda mwingi hiyo ndio kazi yake ku organise na ku coordinate usajili na technicallities za Chadema digital maana yeye ndio ana uzoefu wa masuala ya mitandao tokea akiwa Vodacom.

Otherwise hakuna mpasuko Wala Nini Chadema, mwanzoni mlidai Lissu na Mbowe hawaivi mlivyoumbuka mnakimbilia kwa Mwalimu??

Grow up

Lisemwalo lipo linaonekana kabisa kwamba Chadema kimejigawa pande mbili wana katiba inayotambua Tanganyika na visiwa vya Unguja na Pemba …???

Umekiri kabisa mgawanyo upo kuwa mambo ya Bara hayamuhusu safi sana
 
Ukiwa si muumini wa maaskofu na wachungaji wanakutenga hali ndivyo ilivyo.
Wale Maaskofu wamekishika chama wanaenda majukwaani na kwenye press conferences na majoho....
Kama mpagani Tu inabidi utafute chama kingine
 
Back
Top Bottom