Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba: Ukosefu wa ajira umepungua nchini

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,115
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba utafiti wa Nguvukazi wa mwaka 2020/21 ulibaini kuwa ukosefu wa ajira Tanzania kwa Watu wenye umri wa kuanzia miaka 15 au zaidi ulipungua hadi 9.3% kutoka 10.5% mwaka 2014.

“Pamoja na hatua kubwa zilizochukuliwa za kujenga uchumi wa Nchi yetu bado Vijana wengi hawana ajira, kiwango cha ukosefu wa ajira nchini Tanzania kimekuwa kikipungua katika miaka ya hivi karibuni”

“Utafiti wa Nguvukazi wa mwaka 2020/21 ulibaini kuwa ukosefu wa ajira Tanzania kwa Watu wenye umri wa kuanzia miaka 15 au zaidi ulipungua hadi asilimia 9.3 kutoka asilimia 10.5 mwaka 2014, kupungua kwa kiwango hiki ni matokeo ya juhudi mbalimbali zilizotekelezwa na Serikali, ingawa viwango vya ukosefu wa ajira bado ni vya juu na vinahitaji juhudi zaidi kuvipunguza”

“Aidha, hali ya ukosefu wa ajira kwa Vijana wenye umri wa miaka 15 hadi 35 nchini Tanzania imekuwa ikiongezeka kutoka asilimia 12.1 kwa mwaka 2014 hadi aslimia 12.6 kwa mwaka 2020/21, tatizo hili la ajira ni kubwa zaidi hasa kwa vijana wa kike (asilimia 16.7) ikiwa ni mara mbili ya kiwango kwa Vijana wa kiume (asilimia 8.3), tatizo hili ni la kihistoria tangu uhuru wa Nchi yetu”
 
Kama hujui uliza ,mtu akiwa kwenye nafasi kama uwaziri basi ishi zote anaziona zinanyooka

USSR
 
Mwigulu amejua kuitendea haki nafasi yake kama Waziri wa fedha na mipango wakati huo hutuba yake ilijaa ukweli na mengi hakuyasema
 
Mbwa kabisa huyu
 
MWIGULU Kwa post hii inayokuhusu kuwa na comments 6 Kwa Muda wa siku 40 ikukumbishe kuwa Watanzania wanachukizwa si Kwa màtendo yako tu Bali hata maneno yako ni chukizo masikioni mwao.
 
Kama hujui uliza ,mtu akiwa kwenye nafasi kama uwaziri basi ishi zote anaziona zinanyooka

USSR
Tatizo ni namna takwimu zinaandaliwa, mfano kukosa ajira means mtu anayeajirika ila akakosa kazi kwahiyo kama hauna elimu au ni mgonjwa/mlemavu na hauna kazi basi hauhesabiki kama "HAUNA KAZI" maana "HAUAJIRIKI".

Kingine ajira sio mpaka uajiriwe yaani hata ukiamua kujiajiri kwa kuuza ice cream basi NBS wanakuhesabu una ajira!!

Kingine serikali ikijenga mfano Barabara inahesabu imezalisha ajira 100 so hata kama hamna Lori litakatiza hapo au lodge itakayojengwa wao kwenye makabrasha watanakili kuwa watu 100 wameajiriwa!!

So nadhani tatizo la ajira ni kubwa kuliko takwimu zinavyoonyesha
 
Back
Top Bottom