HelcopterChopa
Member
- Sep 13, 2023
- 35
- 46
Pilikapilika na vishindo vya upinzani nchini vimepoa mno kwa sasa.
Ni aina mpya ya kijipanga ama ni maandalizi ya comeback ya tofauti na kivingine?
Tutegemee muendelezo wa madai yaleyale ya tume huru ya uchaguzi, katiba mpya au bandari? Ama kuna jingine jipya? Ni matokeo ya reporti ya CAG au?
Takwa la siku 30 dhidi ya serikali kufuta mkataba wa bandari walizotoa akina dr slaa, Adv. mwambukusi na nyagali zinayoyoma tayari.
Upinzani watajipanga nyuma ya hawa wangwana na kuichachafya serikali kuja na majawabu na majibu muafaka juu ya wanachodai na kukipambania?