Utaratibu wa kuteua Chawa wa UVCCM kuwa DED na DAS aliuasisi Hayati Magufuli, ni vyema Rais Samia akaachana nao hauna tija!

Shujaa Magufuli alituomba tumkumbuke kwa mazuri yake siyo mabaya na Uteuzi wa makada wa CCM kuwa DED na DAS siyo Sehemu ya mambo mazuri aliyoyafanya

Ni Vema Mpendwa Wetu Rais Dr Samia akaachana nao

Nawatakia Dominica Njema 😄
Ni rais gani aliyeteua watu nje ya mfumo?
Tena afadhali hata JP aliibua baadhi ya watu ambao hawakupitia kwenye mfumo wa uv na hadi kupingwa na wanachama wenzake kwamba anaweka watu wasiojua chama!
 
Shujaa Magufuli alituomba tumkumbuke kwa mazuri yake siyo mabaya na Uteuzi wa makada wa CCM kuwa DED na DAS siyo Sehemu ya mambo mazuri aliyoyafanya

Ni Vema Mpendwa Wetu Rais Dr Samia akaachana nao

Nawatakia Dominica Njema
Hela zikiliwa na miradi kusuasua wana anza kuwa laumu. Wakati ameteua vilaza
 
Shujaa Magufuli alituomba tumkumbuke kwa mazuri yake siyo mabaya na Uteuzi wa makada wa CCM kuwa DED na DAS siyo Sehemu ya mambo mazuri aliyoyafanya

Ni Vema Mpendwa Wetu Rais Dr Samia akaachana nao

Nawatakia Dominica Njema 😄
Samia kwa asilimia kubwa anaowateua huwa hawajui! Anachota tu majina anapachika mahala! Rejea uteuzi wake wa kwanza mara baada ya kula kiapo alipomteua Mkurugenzi wa TPDC kada wa chama watu wakapiga kelele usiku uleule akamtengua akamrudisha aliyepo!
 
Shujaa Magufuli alituomba tumkumbuke kwa mazuri yake siyo mabaya na Uteuzi wa makada wa CCM kuwa DED na DAS siyo Sehemu ya mambo mazuri aliyoyafanya

Ni Vema Mpendwa Wetu Rais Dr Samia akaachana nao

Nawatakia Dominica Njema
Naunga mkono hoja. Hivi mtu kama eti kwa kushiriki kukimbiza mwenge unampa nafasi ya kuwa DED ambako anapaswa kutenda kazi kwa mujibu wa sheria na kanuni ataweza wapi?
Awali ili kuwa DED ilikuwa ni promotion on merit, watu wenye nafasi kwenye halmashauri kama maafisa mipango, maafisa elimu, Kilimo, Maendeleo ya jamii nk wakafanya kwa ufanisi na kuzijua nafasi hizo ndio walikuwa wanapewa nafasi hizo za uDED. Lakini toka kazi hiyo uwe uteuzi wa makada basi imekuwa hakuna ufanisi zaidi ya uchawa na kujikomba.
HATUFIKI POPOTE
 
Kuna kitu nataka niseme ila nitaonekana wa ajabu hivi.....

Nianze na hili:-

Tunapenda ushirikina....mtu akipata cheo ama nafasi "anajilinda" haswa.....ili kisiondoke....

Hii ni tofauti na nchi za ulaya tunapotaka tuwafikie.....

Afrika vyeo /nafasi hulindwa kwa njia 3:-

1)Kujikomba/uchawa uliopitiliza huku ukiharibia wengine kwa "kuwachoma" na kuwasingizia....

2) Ushirikina/Uchawi.....hapa wengi hupinga HADHARANI ila "in closets" kila mtu anajijua "hurstlings" zake.

Uchunguzi wangu ni kuwa USHIRIKINA huo hufanyika si tu "kulinda nafasi" walizopo bali kubwa kuwaharibia "washindani wa nafasi zao...."

Nina ushahidi wa hili....katika mizunguko ya maisha nishawahi kufanya kazi...."kusaidia kazi" za uganga VILINGENI.....nimeona mengi na kushuhudia mengi....sitoweza kuwataja watu hata niwekewe kisu shingoni

Mathalani iko "scenario" moja kijana mwenzangui (master's holder) in his early thirties once came to "our kilinge" with the intention of eliminating his "compatriot at the working place"...kazi yenye UGALI MWINGIIII....".

He committed himself to give us 3 millions cash in case of the deal done....

Anataka kumpeleka kijana mwenzake futi 6 chini ya ardhi ili abaki yeye pekee katika nafasi hiyo.....

Hapa ndipo mitazamo inapotofautiana....

3)Utendaji bora wa kazi....huu una mitihani ila ukiwa mzalendo na usipokuwa na tamaa iliyopitiza utadumu ulipo kwa kumtanguliza Mungu na "kujilinda" mwenyewe.....na kujiandaa kwa lolote LITAKALOKUKUMBA....

Tuache unafiki HUMU NDANI...

Kwanini tunataka nafasi za kisiasa na uamuzi wa kisiasa usiwe na UCHAWA?!!!

DUNIANI kote....Siasa ni UCHAWA....UCHAWA TU....Siasa si taaluma nyinginezo....Sasa Kama kwenye taaluma(nyinginezo) uchawa pia upo tunataka usiwe kwenye nafasi za KISIASA?!!!

RIDICULOUS
 
Nitajue bas! Mi binafsi naamin magufuli aliteua kulingana na itikadi ha mtu na PHD kibao katika baraza lake
Komredi Paulo Makonda alikuwa chawa?!!!

Kwangu mimi hapana bali alikuwa "too loyal"...na ni sahihi kwa nchi za kiafrika....

Usipoweka watu "loyal" basi ujue kesho tu...kesho tu...haupo hapo ULIPO
 
Back
Top Bottom