Uhaba wa dollar duniani, huu ndio ukweli mchungu tusiotaka kuukubali

Nkerejiwa

Senior Member
Feb 25, 2014
146
214
Na: Charlie Bihemo.

"Nations excluded from the 'imperial preference' trading system cannot reasonably be expected to relinquish control over the Bretton Woods institution"

Mara chache sana huwa nalazimika kushika kalamu yangu kuandika hapa, na leo ni moja ya hizo siku chache maana wakati mwingine tuna wajibu wa ziada wa kutoa elimu kwa watu wetu kuhusu mambo mtambuka yakiwemo haya yahusuyo uchumi.Katika mengi nitayoyaandika kuna kadhaa ambayo tutakubaliana kwa pamoja.

1. Kuna upungufu wa dollar duniani kama ambavyo kila mtu anakiri na hata jarida maarufu la Forbes linakiri katika andiko lao "Africa Becomes A Casualty In The War Against Inflation As Dollars Dry Up." kwamba tatizo lipo na Africa ni mhanga mkuu.

Na kwa upande wetu kama nchi kuna mazingira tunakiri kwamba katika mzunguko wetu na reserve yetu kama nchi tuna makadirio yanayonyesha by November tunahitaji usaidizi wa Dollar hadi Milioni miatano kufuatia athari za maboresho katika sera za fedha za Marekani na sababu zingine za nje (External Factors) ambazo ndo zimetufikisha katika hii hatua ya uhitaji.

2. Kitu cha pili tutakubalina ni kwamba; kama ilivyo katika nukuu mwanzoni mwa hili andiko, nafasi yetu kama nchi kuamua dolar ipatikane vipi na kiaje iko limited kwa sababu kadhaa. a) Sababu za ukosefu wa dollar kwa sasa hazitokani na sababu zetu za ndani bali ni zile za nje ambazo kimsingi hatuna uwezo nazo at all. b) Sababu nyingine kama mabadiliko ya sera za kifedha za US (Changes in US Monetary Policies) pia hatuna nguvu ya kidiplomasia kuzikabiri etc.

Na muhimu ijulikane kwamba; Dollar hatengenezi Mwigulu, Samia wala Bihemo. Dollar ni bidhaa kama bidhaa zingine na muundo wa upatikanaji wake hutegemea dhana ile ile ya kiuchumi ya Demands and Supply ambayo again uwezo wetu wa kui dictate hii dhana uko very limited kama nchi.

3. Tutakubaliana kwamba zile top dollar earning schemes za nchi kama vile uwekezaji, Exports na utalii bado zipo katika hatua za kufufuka baada ya kupigwa na matukio makubwa mawili vita na janga la covid ambavyo kwa ujumla wake viliathiri our earnig schemes na zaidi viliathiri hadi muundo wa uchumi wa Dunia ambao kimsingi tunaoumia ni sie nyasi maana wanaogombana ni tembo.

Katika mazingira hayo, ambapo hatu export, tuna tension katika uchumi wa Dunia etc, the easiest resort tunabaki nayo kama nchi ni kurudi kwa Taasisi za Kidunia za kifedha (Bretton Woods Institutions) kuomba nafuu ya kiuchumi ili kunusuru Forex reserve yetu. The truth is, kila wakati tunatakiwa kufany uaguzaji wa vitu/huduma na bidhaa za lazima kama mafuta, vifaa etc ambavyo vyote vinahitaji dollar na kama hakuna supply wala reserve nzuri ya dollar tunaeza kaukiwa.

Now WHAT IS THE ESSENCE FOR ENGAGING BRETTON WOODS FELLAZ KAMA IMF & WB ?

Sababu kubwa ya kuomba msaada kwa hawa wakubwa wawili IMF na World Bank ni mbili tu na si kwamba tunaomba Mkopo mpya wala nini NO, tunawaomba haya mawili pekee.

1. Sehemu kubwa ya Dollar Reserve yetu hupotea kwa kuhudumia deni la taifa, maana deni hulipwa kwa Dollar, na katika hili,.Benki ya Dunia na IMF ndo wadeni wetu wakuu na kwamba ukiweza kuwa win unaeza okoa fedha nyingi ambazo huwa tunawalipa kupitia akaunti zetu za EPA na fungu No.01 la bajeti yetu katika wakati huu wa uhaba wa dollar.

2. Sababu ya pili why tunawataka sana ni kwamba; Wao ndo wabia wakubwa wa mikopo ya kifedha Duniani na kwamba kupitia wao ni likely tunaeza pata hata credit reliefs kwa wadeni wetu wengine toka kila kona ya Dunia.

Sasa kwa bahati mbaya kidogo tumekua wepesi wa kulaumu wakati mwingine hata kwa vitu ambavyo kimsingi hatupaswi kulaumu. Tutamlaumu Dr. Samia, Mwigulu na kila mtu kuhusu ukosefu wa Dollar BUT ukweli ni kwamba hatua za kisera ambazo hadi sasa zimeshachukuliwa ni worthy cherishing na we can all trust the process maana hatupo peke yetu, Africa yote inapambana na Insha'Allah tutavuka.

Bihemo
 
Acha kupotosha watu, hakuna uhaba wa Dola Duniani, kuna uhaba wa Dola "TANZANIA" nani kakwambia China kuna uhaba wa Dola? Kwanza hawazihitaji, ndugu, uchumi wetu UMEKUFA hakuna tunachouza nje na hata kile kdg tunachouza ndo hizo hazionekani.... Subiri Bunge lijadili ripoti ya CAG Novemba 2040.
 
Una kichaa
20230906_100812.jpg
 
Shughulikeni na mambo yenu. Acheni kutafuta justification za kijinga. Kwa hivyo mnataka mjilinganishe na Saudi Arabia.
Tunakuonesha wewe mpumbavu kwamba this is a global phenomenon na Serikali inachukua hatua ikiwemo kutafuta Mkopo ambapo nyie ndezi pinga pinga mindless mnapinga kama kawaida yenu
 
Roving Journalist said:
31/8/2023 Waziri Mwigulu: Dola sio hela yetu kwani hatuizalishi wala Hatuprint. Tuna akiba ya Dola Bilioni 5.2

Nkerejiwa said:
6/9/2023 12:17 pm... Dola hatengenezi Mwigulu wala Rais Samia, ni Udumavu wa akili kuendelea kujadili jambo lililoko wazi na linaloelewaka

Nkerejiwa said:
Uhaba wa dollar duniani, huu ndio ukweli mchungu tusiotaka kuukubali

Oh my, please come back down to earth man! Hukupewa mabawa kuruka kama ndege na kwa hiyo ili uruke unahitaji kutumia akili ya ziada na uwe na uwezo.

Kuna wakati binadamu wote tulikuwa na uwezo sawa, huo ni ukweli. Hata hivyo hivi sasa binadamu wote hatuna uwezo sawa na huo nao ni ukweli mtupu.

Je kulitokea nini mpaka hali ikawa hivyo? Naanza kujiuliza maswali mengi sana moja kuu likiwa...kwa nini CCM iliamua kung'ang'ania madaraka hata kwa mtutu?

Sidhani kama kuna siku mnyama wa mwituni naye atawaza kujiendeleza na kuboresha maisha yake kama sisi binadamu! Ikitokea hivo Watanzania tutahamia wapi?
 
hamuwezi kumpa mtu mmoja kazi ya kuchapisha pesa za dunia halafu mkabaki salama. Kinachotakiwa ni kufumua mfumo mzima wa kifedha. Tukikomaa tutakufa tunajiona.
 
Na: Charlie Bihemo.

"....Nations excluded from the 'imperial preference' trading system cannot reasonably be expected to relinquish control over the Bretton Woods institution.."

Mara chache sana huwa nalazimika kushika kalamu yangu kuandika hapa, na leo ni moja ya hizo siku chache maana wakati mwingine tuna wajibu wa ziada wa kutoa elimu kwa watu wetu kuhusu mambo mtambuka yakiwemo haya yahusuyo uchumi.Katika mengi nitayoyaandika kuna kadhaa ambayo tutakubaliana kwa pamoja.

1. Kuna upungufu wa dollar duniani kama ambavyo kila mtu anakiri na hata jarida maarufu la Forbes linakiri katika andiko lao "Africa Becomes A Casualty In The War Against Inflation As Dollars Dry Up." kwamba tatizo lipo na Africa ni mhanga mkuu.

Na kwa upande wetu kama nchi kuna mazingira tunakiri kwamba katika mzunguko wetu na reserve yetu kama nchi tuna makadirio yanayonyesha by November tunahitaji usaidizi wa Dollar hadi Milioni miatano kufuatia athari za maboresho katika sera za fedha za Marekani na sababu zingine za nje (External Factors) ambazo ndo zimetufikisha katika hii hatua ya uhitaji.

2. Kitu cha pili tutakubalina ni kwamba; kama ilivyo katika nukuu mwanzoni mwa hili andiko, nafasi yetu kama nchi kuamua dolar ipatikane vipi na kiaje iko limited kwa sababu kadhaa. a) Sababu za ukosefu wa dollar kwa sasa hazitokani na sababu zetu za ndani bali ni zile za nje ambazo kimsingi hatuna uwezo nazo at all. b) Sababu nyingine kama mabadiliko ya sera za kifedha za US (Changes in US Monetary Policies) pia hatuna nguvu ya kidiplomasia kuzikabiri etc.

Na muhimu ijulikane kwamba; Dollar hatengenezi Mwigulu, Samia wala Bihemo. Dollar ni bidhaa kama bidhaa zingine na muundo wa upatikanaji wake hutegemea dhana ile ile ya kiuchumi ya Demands and Supply ambayo again uwezo wetu wa kui dictate hii dhana uko very limited kama nchi.

3. Tutakubaliana kwamba zile top dollar earning schemes za nchi kama vile uwekezaji, Exports na utalii bado zipo katika hatua za kufufuka baada ya kupigwa na matukio makubwa mawili vita na janga la covid ambavyo kwa ujumla wake viliathiri our earnig schemes na zaidi viliathiri hadi muundo wa uchumi wa Dunia ambao kimsingi tunaoumia ni sie nyasi maana wanaogombana ni tembo.

Katika mazingira hayo, ambapo hatu export, tuna tension katika uchumi wa Dunia etc, the easiest resort tunabaki nayo kama nchi ni kurudi kwa Taasisi za Kidunia za kifedha (Bretton Woods Institutions) kuomba nafuu ya kiuchumi ili kunusuru Forex reserve yetu. The truth is, kila wakati tunatakiwa kufany uaguzaji wa vitu/huduma na bidhaa za lazima kama mafuta, vifaa etc ambavyo vyote vinahitaji dollar na kama hakuna supply wala reserve nzuri ya dollar tunaeza kaukiwa.

Now WHAT IS THE ESSENCE FOR ENGAGING BRETTON WOODS FELLAZ KAMA IMF & WB ?

Sababu kubwa ya kuomba msaada kwa hawa wakubwa wawili IMF na World Bank ni mbili tu na si kwamba tunaomba Mkopo mpya wala nini NO, tunawaomba haya mawili pekee.

1. Sehemu kubwa ya Dollar Reserve yetu hupotea kwa kuhudumia deni la taifa, maana deni hulipwa kwa Dollar, na katika hili,.Benki ya Dunia na IMF ndo wadeni wetu wakuu na kwamba ukiweza kuwa win unaeza okoa fedha nyingi ambazo huwa tunawalipa kupitia akaunti zetu za EPA na fungu No.01 la bajeti yetu katika wakati huu wa uhaba wa dollar.

2. Sababu ya pili why tunawataka sana ni kwamba; Wao ndo wabia wakubwa wa mikopo ya kifedha Duniani na kwamba kupitia wao ni likely tunaeza pata hata credit reliefs kwa wadeni wetu wengine toka kila kona ya Dunia.

Sasa kwa bahati mbaya kidogo tumekua wepesi wa kulaumu wakati mwingine hata kwa vitu ambavyo kimsingi hatupaswi kulaumu. Tutamlaumu Dr. Samia, Mwigulu na kila mtu kuhusu ukosefu wa Dollar BUT ukweli ni kwamba hatua za kisera ambazo hadi sasa zimeshachukuliwa ni worthy cherishing na we can all trust the process maana hatupo peke yetu, Africa yote inapambana na Insha'Allah tutavuka.

Bihemo
Bihemo chawa maarufu kule X aka Twitter, kijana wa bahasha za buku saba ili kusukuma agenda!!
 
Back
Top Bottom