Marekani yatangaza ufadhili mpya Tanzania

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
83,858
Reaction score
90,369
"Beberu Marekani Aridhika na Demokrasia ya Tanzania,Amwaga Mabilioni ya Dola" Chadema Hoi.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Beberu Marekani bwana Anthony Blinken ametangaza ufadhili waamilioni ya Dola Kwa Nchi kadhaa ambazo zimefanya vizuri katika masuala ya Demokrasia na Haki za binadamu ikiwemo Tanzania 'Democracy Delivers'

Ufadhili huo umetangazwa wakati Blinken akihutubia Baraza la Umoja wa Mataifa. Marekani itatoa pesa na miradi ya uwekezaji kama motosha kwa Nchi za Tanzania, Zambia, Ecuador, Malawi, Nepal, Maldives, Moldova, Armenia na Jamhuri ya Moldova Kupitia Shirika lake la USAID.

Hii ni kazi nzuri ya 4R za Rais Samia na Demokrasia ya Uchumi na kuifungua Nchi Kimataifa.

My Take
Hizi ni habari mbaya sana kwa CHADEMA na washirika wao Sukuma Gang bila kusahau wapotoshaji wenzao wa kule X (Twitter) na space 😂😂😂😂

Sasa hivi mtaenda kuchongelea wapi maana Beberu Marekani ameshaukubali mziki wa Mama. Nyie subirieni kupewa Viti vya Ubunge vya kukadiriwa.

Nipashe
 
Ufadhili huo umetangazwa wakati Blinken akihutubia Baraza la Umoja wa Mataifa.Marekani itatoa pesa na miradi ya uwekezaji kama motosha Kwa Nchi za Tanzania,Zambia,Ecuador,Malawi, Nepal,Maldives,Moldova,Armenia na Jamhuri ya Moldova Kupitia Shirika lake la US AID.

View: https://twitter.com/Nipashetz/status/1705859418842071522?t=YQiCWE6W_ikR-txvuyNnGw&s=19

My Take
Hizi ni habari mbaya sana Kwa Chadema na wapotoshaji wenzao wa kule Twitter na space 😂😂😂😂

Saizi mtaenda kuchongelea wapi maana Beberu Marekani ameshaukubali mziki wa mama.Nyie subirieni kupewa viti vya ubunge vya kukadiriwa.

mjinga weewe unatambia na kushabikia uomba omba yaani kuwa ombaomba unaona dili Sana
 
Hapo ataitwa mfadhili, subiri ashauri kuhusu democracy ataambiwa aache kuingilia mambo ya ndani
Hajaitwa amejileta mwenyewe na uzuri alisema sio lazima Demokrasia Yao ifanane na ya Afrika.
 
Waziri wa Mambo ya Nje wa Beberu Marekani bwana Anthony Blinken ametangaza ufadhili waamilioni ya Dola Kwa Nchi kadhaa ambazo zimefanya vizuri katika masuala ya Demokrasia na Haki za binadamu ikiwemo Tanzania 'Democracy Delivers'

Ufadhili huo umetangazwa wakati Blinken akihutubia Baraza la Umoja wa Mataifa.Marekani itatoa pesa na miradi ya uwekezaji kama motosha Kwa Nchi za Tanzania,Zambia,Ecuador,Malawi, Nepal,Maldives,Moldova,Armenia na Jamhuri ya Moldova Kupitia Shirika lake la US AID.

Hii ni kazi nzuri ya 4R za Rais Samia na Demokrasia ya Uchumi na kuifungua Nchi Kimataifa.

View: https://twitter.com/Nipashetz/status/1705859418842071522?t=YQiCWE6W_ikR-txvuyNnGw&s=19

My Take
Hizi ni habari mbaya sana Kwa Chadema na Washirika wao Sukuma Gang bila kusahau wapotoshaji wenzao wa kule Twitter na space 😂😂😂😂

Saizi mtaenda kuchongelea wapi maana Beberu Marekani ameshaukubali mziki wa mama.Nyie subirieni kupewa viti vya ubunge vya kukadiriwa.

Mods Washenzi sana nyie,mnabadili heading bila ridhaa yangu Kwa nini? Mnakera sana , anzisheni mada mnazotaka wenyewe na kijukwaa chenu Cha Wapinzani Ili mhadithiane mnayoyapenda.
 
Ukiona adui yako anakusifia kwenye jambo fulani achana nalo kabisa. Ukiona anakukataza kufanya jambo, lifanye jambo hilo kwa nguvu litakuwa na manufaa makubwa kwako. Kwa nini Uganda haimo? Kwa nini Kenya na SA hawamo? Nakupa jawabu. Kila Dola moja inayowekezwa na USA Kwa namna yoyote huondosha Dola 3. Lkn pia kwa kauli hiyo ni ushahi kwamba Tanzania tumeridhia ndoa za jinsia moja hata kama ni kimya kimya.
 
Waziri wa Mambo ya Nje wa Beberu Marekani bwana Anthony Blinken ametangaza ufadhili waamilioni ya Dola Kwa Nchi kadhaa ambazo zimefanya vizuri katika masuala ya Demokrasia na Haki za binadamu ikiwemo Tanzania 'Democracy Delivers'

Ufadhili huo umetangazwa wakati Blinken akihutubia Baraza la Umoja wa Mataifa. Marekani itatoa pesa na miradi ya uwekezaji kama motosha kwa Nchi za Tanzania, Zambia, Ecuador, Malawi, Nepal, Maldives, Moldova, Armenia na Jamhuri ya Moldova Kupitia Shirika lake la USAID.

Hii ni kazi nzuri ya 4R za Rais Samia na Demokrasia ya Uchumi na kuifungua Nchi Kimataifa.

My Take
Hizi ni habari mbaya sana kwa CHADEMA na washirika wao Sukuma Gang bila kusahau wapotoshaji wenzao wa kule X (Twitter) na space 😂😂😂😂

Sasa hivi mtaenda kuchongelea wapi maana Beberu Marekani ameshaukubali mziki wa Mama. Nyie subirieni kupewa Viti vya Ubunge vya kukadiriwa.

Nipashe
sio mbaya kwa chadema pekeyae bali ni mbaya zaid kwa upinzani katika ujumla wake.

na kwakweli inaweza kua fursa pia kwa upinzani sasa kuelekeza jitihada zao za kutafuta uungwaji mkono na mataifa mbalimbali sehemu nyingine duniani na sio marekani pekee. Na ikiwa wanapendelea uungwaji mkono wa marekani basi wautafute kutoka upinzani pia maana serikalini ni ngumu.
 
Hawana hiyo akili
 
Waziri wa Mambo ya Nje wa Beberu Marekani bwana Anthony Blinken ametangaza ufadhili waamilioni ya Dola Kwa Nchi kadhaa ambazo zimefanya vizuri katika masuala ya Demokrasia na Haki za binadamu ikiwemo Tanzania 'Democracy Delivers'

Ufadhili huo umetangazwa wakati Blinken akihutubia Baraza la Umoja wa Mataifa. Marekani itatoa pesa na miradi ya uwekezaji kama motosha kwa Nchi za Tanzania, Zambia, Ecuador, Malawi, Nepal, Maldives, Moldova, Armenia na Jamhuri ya Moldova Kupitia Shirika lake la USAID.

Hii ni kazi nzuri ya 4R za Rais Samia na Demokrasia ya Uchumi na kuifungua Nchi Kimataifa.

My Take
Hizi ni habari mbaya sana kwa CHADEMA na washirika wao Sukuma Gang bila kusahau wapotoshaji wenzao wa kule X (Twitter) na space 😂😂😂😂

Sasa hivi mtaenda kuchongelea wapi maana Beberu Marekani ameshaukubali mziki wa Mama. Nyie subirieni kupewa Viti vya Ubunge vya kukadiriwa.

Nipashe
Wakifadhil serikali ni MABEBERU wazuuuuriiii ila wakifadhil CDM ni MABEBERU wa hovyoooo!!!
 
Waziri wa Mambo ya Nje wa Beberu Marekani bwana Anthony Blinken ametangaza ufadhili waamilioni ya Dola Kwa Nchi kadhaa ambazo zimefanya vizuri katika masuala ya Demokrasia na Haki za binadamu ikiwemo Tanzania 'Democracy Delivers'

Ufadhili huo umetangazwa wakati Blinken akihutubia Baraza la Umoja wa Mataifa. Marekani itatoa pesa na miradi ya uwekezaji kama motosha kwa Nchi za Tanzania, Zambia, Ecuador, Malawi, Nepal, Maldives, Moldova, Armenia na Jamhuri ya Moldova Kupitia Shirika lake la USAID.

Hii ni kazi nzuri ya 4R za Rais Samia na Demokrasia ya Uchumi na kuifungua Nchi Kimataifa.

My Take
Hizi ni habari mbaya sana kwa CHADEMA na washirika wao Sukuma Gang bila kusahau wapotoshaji wenzao wa kule X (Twitter) na space 😂😂😂😂

Sasa hivi mtaenda kuchongelea wapi maana Beberu Marekani ameshaukubali mziki wa Mama. Nyie subirieni kupewa Viti vya Ubunge vya kukadiriwa.

Nipashe
Mkianza kudaiwa haki za binadamu za 🌈🌈msije kwetu kulalamika!
Pesa mlipokea wenyewe!🤣😂🤣😂
 
Sema ni kwa zilizo fanikiwa kuto kukemea ushoga.
 
Back
Top Bottom