Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama, amesema mradi wa Ujenzi wa Mji wa Serikali Mtumba, pamoja na Miradi mingine ya kimkakati...
KWANI CHADEMA WAMEITA KONGAMANO LA INJILI?
Na Thadei Ole Mushi.
Kosa la Kifuufundi hili Chadema wamelifanya.
1. Sakata la Bandari toka awali lilianza kuhusishwa na imani za Kidini.
2. Mkutano...
Wanatumia jina la sheria wakijitungia wenyewe.
Wanawapora watu mali zao kwa kuhalalisha uporaji wao kwa neno sheria na kanuni, wanaita kodi.
Sasa hivi ni rasmi KUTOKA SH 1000/- MPAKA 1500/- Kwa...
"Uchochezi", hili ni neno pana sana ambalo hutumika kwenye nchi za kidikiteta, madhumuni yake ni kuwabana wapenda haki ili wananchi waweze kukandamizwa kwa kunyimwa haki zao! Kinachotokea ni kuwa...
Upepo wa kisiasa umeikataa kabisa CCM, hawafurukuti, hawahemi
Tangu kuruhusiwa kwa mikutano ya kisiasa na mengine yote yaliyofuatia ni kama vile sasa CHADEMA ndio chama tawala na CCM ndio chama...
Kiongozi hupimwa kwa uwepo wa kuvumilia mishale kipindi cha shida na kipindi cha hoja za kitaifa. Rais ameona upepo wa kisiasa, ametambua uwepo wa tafsiri mbaya dhidi ya nia yake ya kutafuta...
Serikali ya Tanzania imezindua rasmi ubalozi wake jijini Algiers, Algeria.
Ufunguzi huo umefanywa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax na kuhudhuriwa...
Katibu mkuu wa Chadema kupitia ukurasa wake wa twitter amewaasa Wanachadema kujadili Mkataba wa Bandari, Katiba Mpya sambamba na Ongezeko la gharama za Maisha na hasa sintofahamu ya Ongezeko la...
Ukitaka kujua uchanga wa CHADEMA soma hii;
Kamanda Maro
Amesema uchunguzi wa awali umebaini kuwa wakati moto huo unagundulika, viongozi na maofisa wa CHADEMA hawakuwepo hotelini hapo kwa sababu...
Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Dar es Salaam, Ali Bananga amesema “Tupo na Rais Samia hadi Mwaka 2030, ukipenda ndio hivyo, kama hupendi ndio hivyo, maana yake tuna miaka 7 ya kuendelea kuufaidi...
Friends and our enemies,
Nichukue nafasi hii kumpongeza Sheikh Mwaipopo kwa uthubutu wake wa kusimama na kuwakemea CHADEMA na baadhi ya maaskofu kwa kile tunachoweza kukiita ni choko choko za...
Bila kupotezeana muda Tundu LISSU anasema hivi Magufuli alikataa kusaini mkataba mmoja tuu wa wachina ambao waliomba kujenga bandari kwa pesa zao lakini wakaweka sharti waimiliki kwa miaka 99...
Ndugu zangu Watanzania,
Kitendo na hatua ya Rais Samia kuamua kukaa kimya pasipo kuwajibu chochote wapinzani hasa CHADEMA na kuamua kuendelea na kazi ya kuwatumikia Watanzania kinawatesa sana...
Nimeshangaa kuona na kusikia Kinana akiwaambia bodaboda kuwa ataiambia mamlaka ya usimamizi usalama barabarani waondie zuio la mishkaki yaani kubeba hadi abiria 3.
Sababu kuu anasema hii...
Yaani watu wamefariki kwa ajali ya mitumbwi Ziwa Victoria huko Bunda Mkoani Mara wakienda Kanisani kumuabudu Mwenyezi Mungu, Mkuu wa Wilaya ya Bunda kaamuru Mchungaji wa Kanisa akamatwe haraka...
Mbunge Martha Mariki Aipa Tano Serikali Mradi wa Bwawa la Nsekwa - Mlele
MBUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ameipongeza Serikali Kwa Kuleta fedha Shilingi Bilioni 2.4 kwaajili...
Wabunge viti Maalumu Katavi watoa Milion 6 Maendeleo ya Chama na UWT.
WABUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi wametoa shilingi Milioni 6 Kwaajili ya kusaidia Maendeleo ya Chama na Jumuiya ya UWT...
Serikali ina kula matapishi mabaya ya uchaguzi mbovu, kununua wabunge na kunyamyasa wapinzani. Lakini bunge nalo linakuwa matapishi ya Ndugai ya hawa Covid 19 ambao wanaharibu heshima ya bunge...
Mbunge Lupembe atoa pikipiki 12 za thamani ya Mil 30 kwa Makatibu Kata CCM.
MAKATIBU Kata kumi na mbili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Nsimbo Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi wamefanikiwa...
Pamoja na Wabunge wa CCM kuuza bandari zetu zote bwerere na kutukejeli sisi ni vilaza tunaohitaji darasa kutoka kwao huku wakijipandishia mishahara na posho kimya kimya wakati ya wengine...