Rais Samia anaamini kila tatizo linatatuliwa kwa pesa

sheiza

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2010
Posts
7,634
Reaction score
11,696
Toka aingie madarakani ameidhinisha pesa nyingi mno katika miradi na masuala mbalimbali ya kijamii..

Utasikia Serikali ya mama imetoa bilioni kadhaa kwa ajili ya mradi fulani, mara kwa ajili ya kuboresha kile.

Tuliona namna January alivyokuwa anatumia pesa katika idara yake lakini mpaka sasa hakuna tija yoyote. Mara ya mwisho alihitaji tirioni 4 na mama akasema amempa sehemu ya pesa.

Tuliona anuani ya makazi ilivyopiga hela na hakukuwa na output yoyote. Kina Bashe wanapiga hela ila ukiingia field hakuna kitu. Na wizara zinazopiga hela zaidi ni zile za wanaume tena walio karibu na huyu mama.

Hatumsikii mama Ndalichako, wala Jaffo, wala Gwajima wala Ummy Mwalimu..hata enzi za Biteko kule madini hatukusikia uidhinishaji wa mabilioni kila mara.

Ikumbukwe hizi pesa ambazo nyingi ni mikopo tunazilipa sisi watanzania.

Lakini mama anaonekana ni mtu anaeamini zaidi katika pesa na anaamini kila tatizo ni pesa. Akisema anaunda timu ya ufuatiliaji ujue watapiga pesa na hutosikia matokeo.

Kibaya akitoa pesa anasahau,yaani anadhani akishatoa pesa automatically tatizo limeisha. Baadhi ya watumishi wake wamekuwa wakitengeneza matatizo kisha wanampelekea mezani sababu wanajua atatoa pesa..ataidhinisha tu. Ndio maana hata ishu ya ndege ya ATC walimuongezea cha juu, nadhani akatonywa ila baadae kabisa akiwa ameshatoa pesa.

Mama ajaribu kutumia watu makini hata kama sio chawa wake kujaribu kutatua matatizo ya nchi na pengine ni akili tu inahitajika bila hata kutumia pesa kukodi wataalam kutoka nje. Hizo pesa anazotoa ni chache mno zinazopelekwa huko anakoambiwa. Nyingi zinaishia kwenye mifuko ya watu. Ndio maana akishtuka huwa anapaniki..lakini ni mazingira ambayo ameyatengeneza mwenyewe.
 
Haya mambo dawa yake ni muda tu.......kwa sasa tutapiga sana kelele na kushauri lakini waaapi......ila muda ukifika kila kitu kitakuwa in place automatically
 
Toka aingie madarakani ameidhinisha pesa nyingi mno katika miradi na masuala mbalimbali ya kijamii..

Utasikia serikali ya mama imetoa bilioni kadhaa kwa ajili ya mradi fulani, mara kwa ajili ya kuboresha kile.

Tuliona namna January alivyokuwa anatumia pesa katika idara yake lakini mpaka sasa hakuna tija yoyote. Mara ya mwisho alihitaji tirioni 4 na mama akasema amempa sehemu ya pesa.

Tuliona anuani ya makazi ilivyopiga hela na hakukuwa na output yoyote. Kina Bashe wanapiga hela ila ukiingia field hakuna kitu. Na wizara zinazopiga hela zaidi ni zile za wanaume tena walio karibu na huyu mama.

Hatumsikii mama ndalichako, wala Jaffo, wala Gwajima wala Ummy mwalimu..hata enzi za biteko kule madini hatukusikia uidhinishaji wa mabilioni kila mara.

Ikumbukwe hizi pesa ambazo nyingi ni mikopo tunazilipa sisi watanzania.

Lakini mama anaonekana ni mtu anaeamini zaidi katika pesa na anaamini kila tatizo ni pesa. Akisema anaunda timu ya ufuatiliaji ujue watapiga pesa na hutosikia matokeo.

Kibaya akitoa pesa anasahau,yaani anadhani akishatoa pesa automatically tatizo limeisha. Baadhi ya watumishi wake wamekuwa wakitengeneza matatizo kisha wanampelekea mezani sababu wanajua atatoa pesa..ataidhinisha tu. Ndio maana hata ishu ya ndege ya ATC walimuongezea cha juu, nadhani akatonywa ila baadae kabisa akiwa ameshatoa pesa.

Mama ajaribu kutumia watu makini hata kama sio chawa wake kujaribu kutatua matatizo ya nchi na pengine ni akili tu inahitajika bila hata kutumia pesa kukodi wataalam kutoka nje. Hizo pesa anazotoa ni chache mno zinazopelekwa huko anakoambiwa. Nyingi zinaishia kwenye mifuko ya watu. Ndio maana akishtuka huwa anapaniki..lakini ni mazingira ambayo ameyatengeneza mwenyewe.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Wivu tu
 
Nothing can go without money!
Barabara
Mwendokasi
Madaraja
Ndege
-vitafanyikaje bila fedha.
Mengine ni ya watendaji wengine kufuatilia utekelezaji wake.
Hujaelewa au hutaki kuelewa..kama Fedha ni Kila kitu Leo Kilimo.chetu kingekuwa ..Kila mwaka Bajeti imeongezwa asilimia .100 tunashangioia ...lakini bado hali ni ileile! Pesa zinatakiwa ziende kwenye Taasisi Imara zenye Tija. Tunataka
KATIBA MPYA!
 
Ukishakua na pesa unaweza kutatua matatizo kwa zaidi ya 99% . Financial security inakupa uwezo wa kufanya maendeleo.
Only kukiwa n mipango Imara na uenye Tija...Meandishi katolea mfano wa zoezi la Ramani za Makazi lilikuwa na tija kulingana na fedha iliyotumika!
Unawawekea anuani watu hawana maji?! Leo vile vibao vingine vimeshaliwa na mchwa!
 
Hujaelewa au hutaki kuelewa..kama Fedha ni Kila kitu Leo Kilimo.chetu kingekuwa ..Kila mwaka Bajeti imeongezwa asilimia .100 tunashangioia ...lakini bado hali ni ileile! Pesa zinatakiwa ziende kwenye Taasisi Imara zenye Tija. Tunataka
KATIBA MPYA!
Unaielewa katiba iliyopo kwa kina kabla ya kuhitaji mpya?, kama unaielewa nitajie kifungu cha 18,ibara 22 inasemaje? Ishushe hapa chini fasta kama katiba ipo kichwani.
 
Toka aingie madarakani ameidhinisha pesa nyingi mno katika miradi na masuala mbalimbali ya kijamii..

Utasikia Serikali ya mama imetoa bilioni kadhaa kwa ajili ya mradi fulani, mara kwa ajili ya kuboresha kile.

Tuliona namna January alivyokuwa anatumia pesa katika idara yake lakini mpaka sasa hakuna tija yoyote. Mara ya mwisho alihitaji tirioni 4 na mama akasema amempa sehemu ya pesa.

Tuliona anuani ya makazi ilivyopiga hela na hakukuwa na output yoyote. Kina Bashe wanapiga hela ila ukiingia field hakuna kitu. Na wizara zinazopiga hela zaidi ni zile za wanaume tena walio karibu na huyu mama.

Hatumsikii mama Ndalichako, wala Jaffo, wala Gwajima wala Ummy Mwalimu..hata enzi za Biteko kule madini hatukusikia uidhinishaji wa mabilioni kila mara.

Ikumbukwe hizi pesa ambazo nyingi ni mikopo tunazilipa sisi watanzania.

Lakini mama anaonekana ni mtu anaeamini zaidi katika pesa na anaamini kila tatizo ni pesa. Akisema anaunda timu ya ufuatiliaji ujue watapiga pesa na hutosikia matokeo.

Kibaya akitoa pesa anasahau,yaani anadhani akishatoa pesa automatically tatizo limeisha. Baadhi ya watumishi wake wamekuwa wakitengeneza matatizo kisha wanampelekea mezani sababu wanajua atatoa pesa..ataidhinisha tu. Ndio maana hata ishu ya ndege ya ATC walimuongezea cha juu, nadhani akatonywa ila baadae kabisa akiwa ameshatoa pesa.

Mama ajaribu kutumia watu makini hata kama sio chawa wake kujaribu kutatua matatizo ya nchi na pengine ni akili tu inahitajika bila hata kutumia pesa kukodi wataalam kutoka nje. Hizo pesa anazotoa ni chache mno zinazopelekwa huko anakoambiwa. Nyingi zinaishia kwenye mifuko ya watu. Ndio maana akishtuka huwa anapaniki..lakini ni mazingira ambayo ameyatengeneza mwenyewe.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Watu wa Pwani toka lini wakawa serious!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Only kukiwa n mipango Imara na uenye Tija...Meandishi katolea mfano wa zoezi la Ramani za Makazi lilikuwa na tija kulingana na fedha iliyotumika!
Unawawekea anuani watu hawana maji?! Leo vile vibao vingine vimeshaliwa na mchwa!
Hakika kabisa mpka leo sikujua maaana ya tija ya hiko kitu nimeona ni upigaji tu
 
Toka aingie madarakani ameidhinisha pesa nyingi mno katika miradi na masuala mbalimbali ya kijamii..

Utasikia Serikali ya mama imetoa bilioni kadhaa kwa ajili ya mradi fulani, mara kwa ajili ya kuboresha kile.

Tuliona namna January alivyokuwa anatumia pesa katika idara yake lakini mpaka sasa hakuna tija yoyote. Mara ya mwisho alihitaji tirioni 4 na mama akasema amempa sehemu ya pesa.

Tuliona anuani ya makazi ilivyopiga hela na hakukuwa na output yoyote. Kina Bashe wanapiga hela ila ukiingia field hakuna kitu. Na wizara zinazopiga hela zaidi ni zile za wanaume tena walio karibu na huyu mama.

Hatumsikii mama Ndalichako, wala Jaffo, wala Gwajima wala Ummy Mwalimu..hata enzi za Biteko kule madini hatukusikia uidhinishaji wa mabilioni kila mara.

Ikumbukwe hizi pesa ambazo nyingi ni mikopo tunazilipa sisi watanzania.

Lakini mama anaonekana ni mtu anaeamini zaidi katika pesa na anaamini kila tatizo ni pesa. Akisema anaunda timu ya ufuatiliaji ujue watapiga pesa na hutosikia matokeo.

Kibaya akitoa pesa anasahau,yaani anadhani akishatoa pesa automatically tatizo limeisha. Baadhi ya watumishi wake wamekuwa wakitengeneza matatizo kisha wanampelekea mezani sababu wanajua atatoa pesa..ataidhinisha tu. Ndio maana hata ishu ya ndege ya ATC walimuongezea cha juu, nadhani akatonywa ila baadae kabisa akiwa ameshatoa pesa.

Mama ajaribu kutumia watu makini hata kama sio chawa wake kujaribu kutatua matatizo ya nchi na pengine ni akili tu inahitajika bila hata kutumia pesa kukodi wataalam kutoka nje. Hizo pesa anazotoa ni chache mno zinazopelekwa huko anakoambiwa. Nyingi zinaishia kwenye mifuko ya watu. Ndio maana akishtuka huwa anapaniki..lakini ni mazingira ambayo ameyatengeneza mwenyewe.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
Attachments

  • 4088DCEA-C466-4F67-9247-3D9C9E525466.jpeg
    4088DCEA-C466-4F67-9247-3D9C9E525466.jpeg
    31.4 KB · Views: 1
Unaielewa katiba iliyopo kwa kina kabla ya kuhitaji mpya?, kama unaielewa nitajie kifungu cha 18,ibara 22 inasemaje? Ishushe hapa chini fasta kama katiba ipo kichwani.
Watu wanataka kufaidika na mazuri yaliyo kwenye katiba na sio kukariri vifungu vya katiba kichwani kama wote ni wanasheria.
 
Kuna kichwa cha chini na kichwa cha Juu Kwa kila binadamu.

Huyu alitumia kichwa cha chini kupitia JK akafika hapo alipo.
 
Toka aingie madarakani ameidhinisha pesa nyingi mno katika miradi na masuala mbalimbali ya kijamii..

Utasikia Serikali ya mama imetoa bilioni kadhaa kwa ajili ya mradi fulani, mara kwa ajili ya kuboresha kile.

Tuliona namna January alivyokuwa anatumia pesa katika idara yake lakini mpaka sasa hakuna tija yoyote. Mara ya mwisho alihitaji tirioni 4 na mama akasema amempa sehemu ya pesa.

Tuliona anuani ya makazi ilivyopiga hela na hakukuwa na output yoyote. Kina Bashe wanapiga hela ila ukiingia field hakuna kitu. Na wizara zinazopiga hela zaidi ni zile za wanaume tena walio karibu na huyu mama.

Hatumsikii mama Ndalichako, wala Jaffo, wala Gwajima wala Ummy Mwalimu..hata enzi za Biteko kule madini hatukusikia uidhinishaji wa mabilioni kila mara.

Ikumbukwe hizi pesa ambazo nyingi ni mikopo tunazilipa sisi watanzania.

Lakini mama anaonekana ni mtu anaeamini zaidi katika pesa na anaamini kila tatizo ni pesa. Akisema anaunda timu ya ufuatiliaji ujue watapiga pesa na hutosikia matokeo.

Kibaya akitoa pesa anasahau,yaani anadhani akishatoa pesa automatically tatizo limeisha. Baadhi ya watumishi wake wamekuwa wakitengeneza matatizo kisha wanampelekea mezani sababu wanajua atatoa pesa..ataidhinisha tu. Ndio maana hata ishu ya ndege ya ATC walimuongezea cha juu, nadhani akatonywa ila baadae kabisa akiwa ameshatoa pesa.

Mama ajaribu kutumia watu makini hata kama sio chawa wake kujaribu kutatua matatizo ya nchi na pengine ni akili tu inahitajika bila hata kutumia pesa kukodi wataalam kutoka nje. Hizo pesa anazotoa ni chache mno zinazopelekwa huko anakoambiwa. Nyingi zinaishia kwenye mifuko ya watu. Ndio maana akishtuka huwa anapaniki..lakini ni mazingira ambayo ameyatengeneza mwenyewe.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Ni vyema akapumzike kizimkazi jaramba limemshinda!
 
Unaielewa katiba iliyopo kwa kina kabla ya kuhitaji mpya?, kama unaielewa nitajie kifungu cha 18,ibara 22 inasemaje? Ishushe hapa chini fasta kama katiba ipo kichwani.
Wapumbavu tu ndiyo huongea kama wewe

Akishaijua hiyo katiba alafu ndiyo inakuwaje sasa?

Tunakuomba wewe utuelekeze kwanza kuhusu sheria za nchi zinafanyaje kazi kwa wananchi?

Unachokisema ni sawasawa na kusema kila mwananchi ni lazima awe mwanasheria yaani azijue sheria za nchi ili awajibike kisheria pale wanapovunja sheria?

Haujui kwamba katiba na sheria ni miongozo ya namna ya kuendesha nchi na ni taaluma zinazohitaji watu wenye taaluma hiyo na vyombo vinavyosimamia maswala hayo vipo kuhakikisha hayo mambo yanazingatiwa?
 
Back
Top Bottom