Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

kuna kila dalili kwamba mikataba mingi mibovu huwa inaingiwa sio kwa bahati mbaya, bali kwa makusudi kabisa, ili akija Rais mwingine au wananchi wakapiga sana kelele, basi mkataba unavunjwa halafu...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Kati ya wanafunzi waliohitimu Shahada ya Juu ya Elimu ya Sheria kwa Vitendo kutoka Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (LST) waliofaulu (first sitting) ni 23, ambapo wanaopaswa...
9 Reactions
88 Replies
9K Views
Dar es Salaam, Agosti 22, 2023 Abdulrahman Omari Kinana, mwanasiasa maarufu nchini Tanzania ambaye aliwahi kuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki kuanzia mwaka 2001 hadi 2006, ametoa maoni yake...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
“KUNA HATUA TATU WANAWEZA KUCHUKUA” Hatua ya kwanza ni kampuni hiyo kukiri kwamba mkataba wao uliandaliwa vibaya, wakubali kuwa umekosewa na kwahiyo kuna vifungu vinatakiwa kurekebishwa...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Nasikitishwa na dalili za wazi za kupasuka vipande vinne vikubwa pamoja na harakati za mwanzo kujaribu kuipasua kushindikana. Hii ya sasa minawahakikishia asipotokea mtu mwenye hekima...
20 Reactions
66 Replies
4K Views
Kuna umuhimu wa kuhakikisha kwamba Katiba Mpya inapatikana kabla ya Uchaguzi wowote ule , hata kama kutakuwa na gharama nyemelezi . Ujumbe wake huu hapa
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimesikitishwa sana na kitendo cha Jumuiya ya Afrika Mashariki kumteua Rais wa Zamani wa Tanzania, Jakaya Kikwete kuwa Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi kwenye Nchi ya Kidemokrasia ya Kenya, hii ni kwa...
25 Reactions
68 Replies
4K Views
In short namtafuta mbunge wangu Sijawai muona na miezi sasa. Hata vikao vya Jimbo hayupo. Chawa wake siwaoni. Huko kwenu vipi?
0 Reactions
5 Replies
806 Views
Mimi ni muumini wa hili kanisa usharika wa Mbezi Louis, tokea nianze kusali nikiwa sunday school pale ni mwaka wa 18 sasa, katika vitu nlivyogundua ni kwamba haya makanisa hasa Kkkt yanaendeshwa...
5 Reactions
13 Replies
3K Views
Ukombozi wa pili wa taifa la Tanganyika utatokea Mbeya, Singida na Kilimanjaro bila shaka.. Huyu mchungaji anaitwa Mbarikiwa Mwakipesile. Anatoka Mbeya. Hajulikani sana ktk harakati za kupigania...
13 Reactions
41 Replies
7K Views
Hatimae Makamu Mwenyekiti wa CCM kasema sio lazima Tubadili KATIBA ila Tubadili Sheria za Uchaguzi kauli hii ina maana Tuendelee kuwa na Katiba iliyopo Katiba yenye Mapùngufu lukuki Katiba...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Moja kati marais ambao wanakumbukwa kwa miradi na kulinda maslahi ya wanyonge wa Tanzania ni hayati John Magufuli, huyu jamaa itachukua muda sana kuja kupata Rais kama huyu mchapa kazi...
1 Reactions
57 Replies
3K Views
Unapoitaja World Bank, IMF na WTO ni sawa na kuitaja Marekani na Ulaya Magharibi. Kama mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika uliofanyika Tanzania umedhaminiwa na Benki ya dunia maana yake...
10 Reactions
80 Replies
6K Views
Sintofahamu inayoendelea sasa hivi Issue ya Dp World ilitakuwa kuwa solved kidogo tu. Viongozi wa serikali walikutana na viongozi wa dini kuhusu hilo swala Wakaeleza kutoridhikia na wakatoa maoni...
16 Reactions
89 Replies
5K Views
Kwa muda mrefu vijana wamekuwa wakiwa, matatizo yao hakuna taasisi wala kiongozi anayaadress kwa namna ya kuwakomboa. Wazee wa mkoa wa Dar Es Salaam wamekuwa na desturi ya kukutana na rais lakini...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Wanaukumbi. Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Fredrick Shoo ameiomba Serikali kukataa na kukemea kwa nguvu yote wale wote wanaoonesha dalili za kuwagawa watu...
13 Reactions
91 Replies
9K Views
Kwa hili la kukomesha mgao wa umeme ulio kuwa ukinufaisha baadhi ya watu kweli nakupongeza sana. Nilikuwa napata shida sana kuelewa kuwa mvua inanyesha lakini tunakuwa na mgao kila siku. Kweli...
15 Reactions
118 Replies
9K Views
Naangalia maoni ya wasomaji, na maneno ya rais, ufahamu ni tatizo. Kuna dalili za kushabikia maoni ya Askofu Shoo kama ahueni kufuatia Waraka wa Katoliki kumbe ni uzi ule ule! Katoliki hawakupinga...
36 Reactions
106 Replies
15K Views
Baraza la Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (CPCT), limesema mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) utakuwa na manufaa makubwa manne ambayo ni kufua umeme, uvuvi, utalii na ufugaji. Kauli...
1 Reactions
1 Replies
961 Views
Hii panga pangua ya mama kuhusu mashirika ya umma inatia shaka. Kwanza tujiulize ni mashirika gani ya biashara yanaendeshwa na serikali. Mengi yalikwisha binafsishwa zamani kabisa enzi ya mkapa...
6 Reactions
33 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…