2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 2,982
- 4,458
Moja kati marais ambao wanakumbukwa kwa miradi na kulinda maslahi ya wanyonge wa Tanzania ni hayati John Magufuli, huyu jamaa itachukua muda sana kuja kupata Rais kama huyu mchapa kazi.
Nikiangalia jinsi nchi inavyotafunwa na wachache namkumbuka sana huyu mwamba, kwa sasa uzembe serikali umekuwa ni too much hata zaidi ya utawala wa Kikwete.
Nilichopenda kwake akisimama jukwaani basi hakuna ahadi bali ni maagizo, kama unavyojua huwezi kukubalika na jamii yote. Tanzania wanyonge wengi kuliko wababe, lakini wababe wana nguvu na nguvu yao ilidhibitiwa na Rais huyu.
Kwa sababu ya kuwa juu ya kila kitu akaogopwa, ukimkosoa kesho unapotea. Leo milango ipo wazi kipindi cha utawala wake waliofunga midomo ndio wanafungua sasa.
Kwanini baadhi ya wanyonge hawataki akosolewe kwa makosa yake? Ni Rais gani Tanzania hajakosea? Jibu ni hakuna.
Wanaarakati walimwogopa kipindi kile acheni wafunguke sasa. Kuna watu watasema ooh kumkosoa sasa hakuna faida faida ipo kubwa saba. Na hii watu walisema hata yeye akiwepo miradi mikubwa unapeleka kwenye kijiji chako ukifa itaendelea? Amekufa kweli hanatia taifa hasara pamoja na mazuri yake?
Lazima vitabu viandikwe ili iwe fundisho kwa viongozi wengine wasije jikwaa alipojikwaa yeye.