The lost
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 2,695
- 8,209
Kwa muda mrefu vijana wamekuwa wakiwa, matatizo yao hakuna taasisi wala kiongozi anayaadress kwa namna ya kuwakomboa. Wazee wa mkoa wa Dar Es Salaam wamekuwa na desturi ya kukutana na rais lakini hawajawahi kulisemea suala la ajira kwa vijana.
TEC katika waraka wao mbali na kuishauri serikali juu ya uwekezaji wa bandari wameishauri pia kuona umuhimu wa kutoa ajira za kutosha kwa vijana. Katika mambo watanzania hasa wanasiasa na wenye elimu ndogo ni kutokuona mambo ambayo viongozi hawa kanisa wameishauri serikali.
Kwa maoni yangu waraka wa TEC ni sauti ya MUNGU kwa watawala kusoma nyakati na kushughurikia kero za wananchi hasa suala la uwekezaji bandarini na tatizo la ajira kwa vijana kwani kuyafumbia macho masuala hayo kunaweza kutuletea balaa hapo baadaye.