Hongera Rais Magufuli kwa kukomesha mgao wa umeme

Michosho

JF-Expert Member
Mar 17, 2012
662
649
Kwa hili la kukomesha mgao wa umeme ulio kuwa ukinufaisha baadhi ya watu kweli nakupongeza sana.

Nilikuwa napata shida sana kuelewa kuwa mvua inanyesha lakini tunakuwa na mgao kila siku.

Kweli wewe ni mwanaume wa shoka!

KURA YANGU 2020 UNAYO.

Wakuu, ongezeni hapo chini jambo lingine linalokupa sababu ya kumpongeza Rais Magufuli.
 
Kwa hili la kukomesha mgao wa umeme ulio kuwa ukinufaisha baadhi ya watu..kweli nakupongeza sana...nilikuwa napata shida sana kuelewa kuwa mvua inanyesha lakini tunakuwa na mgao kila siku....kweli wewe ni mwanaume wa shoka!! KURA YANGU 2020 UNAYO....
Wakuu!!
..ongezeni hapo chini jambo lingine linalokupa sababu ya kumpongeza Rais
MSHUKURU JK KWA KUVUTA GESI KUTOKA MTWARA NA KULETA WAWEKEZAJI WA KUFUA UMEME KULE KINYEREZI; AU UNADHANI TUNAPATA UMEME WA MAJI? ASILIMIA SITINI PLUS WA UMEME WOTE WA GRIDI YA TAIFA KWA SASA NI WA GESI; KAWADANGANYE WANAKWIMBA WENZAKO
 
Uchumi binafsi unakua kwa mtu binafsi kifanya kazi kwa bidii...muda wa madili madili umeisha..sasa ni kazi
Hapo ndipo Watanzania wanapotoshwa. Yaani stahiki za watumishi zinaminywa waziwazi pamoja na kufanya kazi kwao kwa bidii, halafu mnakuja na mwamvuli wa madili madili, kutofuata sheria za nchi kwa Viongozi na ubabe kwa raia ndio sera za awamu hii
 
Pongezi hizi ziende kwa Kikwete aliyesimamia uanzishwaji na utekelezaji wa mradi wa kuzalisha umeme wa Kinyerezi kwa kutumia nishati ya gesi...
 
Duh! Watu wengine buana sijui akili mnaziweka wapi? Yaani hizi pumba kuziposti humu bila ya kufanya utafiti mnaturudisha nyuma huo mgao labda ungesema umeisha kwenye nyumba uliyopanga ningekuelewa lakini kwa Tanzania nzima umechemka zaidi ya Bashite!
 
Kwa hili la kukomesha mgao wa umeme ulio kuwa ukinufaisha baadhi ya watu kweli nakupongeza sana.

Nilikuwa napata shida sana kuelewa kuwa mvua inanyesha lakini tunakuwa na mgao kila siku.

Kweli wewe ni mwanaume wa shoka!

KURA YANGU 2020 UNAYO.

Wakuu, ongezeni hapo chini jambo lingine linalokupa sababu ya kumpongeza Rais Magufuli.
Heeee!!! Wewe unaishi wapi? Usije kuwa unaishi bukoba ndio unatuletea uhalo huo!!? Wewe uliza wanaoishi dsm kama kuna siku inapita bila umeme kukatika?
 
Kwa hili la kukomesha mgao wa umeme ulio kuwa ukinufaisha baadhi ya watu kweli nakupongeza sana.

Nilikuwa napata shida sana kuelewa kuwa mvua inanyesha lakini tunakuwa na mgao kila siku.

Kweli wewe ni mwanaume wa shoka!

KURA YANGU 2020 UNAYO.
.


Nimeipenda hiyo, chadema kuna Wanaume waoga na wapika majungu!
 
Stahiki km zipo za mgawo kutokuwepo basi ni matunda ya awamu ya nne na hongera ziende kwa JK.....huyu tutampa hongera xa panga boy bombardiers na airport ya chato na Tra....Na hongera za kipekee kwakuandaa time bomb la Ajira
 
Sijui mwenzetu anaishi wapi, labda ungetujuza kwanza ndo tuendelee, usije kuta unakaa hospital ambako umeme hautakiwi kukatika
 
Kwa bahati mbaya hata umeme uwake 24 hours ni bure kama kuna ugumu wa kiuchumi wa wanajamii. Ningepefurahi iwapo ningesikia kuwa watu wanapata Milo mitatu kila siku.
Hata mletewe chakula mezani hamtashukuru
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom