Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,329
- 4,203
In short namtafuta mbunge wangu Sijawai muona na miezi sasa. Hata vikao vya Jimbo hayupo. Chawa wake siwaoni. Huko kwenu vipi?
waje tuwazomeeIn short namtafuta mbunge wangu Sijawai muona na miezi sasa . ATA Vikao vya Jimbo hayupo . Chawa wake siwaoni . Huko kwenu vipi ?
Tangu waraka wa TEC uwapige na kitu kizito hawana hamu tena.