Askofu Dkt. Fredrick Shoo: Tusiwagawe watu kwa misingi ya dini

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,978
32,387
Wanaukumbi.

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Fredrick Shoo ameiomba Serikali kukataa na kukemea kwa nguvu yote wale wote wanaoonesha dalili za kuwagawa watu kwa utofauti wa Dini na kusema hata pale Mtu anaposema jambo la kuipendeza Serikali iwapo amejenga hoja yake katika msingi wa kuwagawa Watu kidini au kwasababu nyingine yoyote akemewe kwakuwa hana nia njema.

Dkt. Shoo amesema hayo mbele ya Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa Maadhimisho ya
Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika

Chuo cha Tumaini Makumira, Arusha leo August 21,2023.

Dkt. Shoo amenukuliwa akisema
"Umoja wa Taifa letu la Tanzania, mshikamano ni muhimu kuliko Mtu au kundi lolote, niwaombe Viongozi wenzangu wa Dini zote, niwaombe Wanasiasa, kuacha kabisa kujaribu kuwagawa Watu kwa misingi ya Dini au kwa misingi ya itikadi iwayo yoyote ya kisiasa na kwa misingi ya maslahi binafsi"

"Niombe Serikali yako kukataa na kukemea kwa nguvu yote wale wote wanaoonesha dalili za kutugawa kwa utofauti wa Dini zetu, hata pale Mtu anaposema jambo la kuipendeza

Serikali iwapo amejenga hoja yake katika msingi wa kutugawa kidini au kwasababu nyingine yoyote huyo akemewe, tumkatae hana nia njema"

Chanzo: Millard Ayo.
 
"Niombe Serikali yako kukataa na kukemea kwa nguvu yote wale wote wanaoonesha dalili za kutugawa kwa utofauti wa Dini zetu,

hata pale Mtu anaposema jambo la kuipendeza
Serikali iwapo amejenga hoja yake katika msingi wa kutugawa kidini au kwasababu nyingine yoyote huyo akemewe,

tumkatae hana nia njema"
NAKAZIA HAPO HAPO
KUNA Mashekh wanajifanya kusifu kwa hoja hii
 
Wanaukumbi.

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Fredrick Shoo ameiomba Serikali kukataa na kukemea kwa nguvu yote wale wote wanaoonesha dalili za kuwagawa watu kwa utofauti wa Dini na kusema hata pale Mtu anaposema jambo la kuipendeza Serikali iwapo amejenga hoja yake katika msingi wa kuwagawa Watu kidini au kwasababu nyingine yoyote akemewe kwakuwa hana nia njema.
Dkt. Shoo amesema hayo mbele ya Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa Maadhimisho ya
Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika

Chuo cha Tumaini Makumira, Arusha leo August 21,2023.

Dkt. Shoo amenukuliwa akisema
"Umoja wa Taifa letu la Tanzania, mshikamano ni muhimu kuliko Mtu au kundi lolote, niwaombe Viongozi wenzangu wa Dini zote, niwaombe Wanasiasa, kuacha kabisa kujaribu kuwagawa Watu kwa misingi ya Dini au kwa misingi ya itikadi iwayo yoyote ya kisiasa na kwa misingi ya maslahi binafsi"

"Niombe Serikali yako kukataa na kukemea kwa nguvu yote wale wote wanaoonesha dalili za kutugawa kwa utofauti wa Dini zetu, hata pale Mtu anaposema jambo la kuipendeza

Serikali iwapo amejenga hoja yake katika msingi wa kutugawa kidini au kwasababu nyingine yoyote huyo akemewe, tumkatae hana nia njema"

Chanzo: Millard Ayo.
Hii habari utaisambaza nchi nzima au siyo mkulungwa
 
"Niombe Serikali yako kukataa na kukemea kwa nguvu yote wale wote wanaoonesha dalili za kutugawa kwa utofauti wa Dini zetu, hata pale Mtu anaposema jambo la kuipendeza
Serikali iwapo amejenga hoja yake katika msingi wa kutugawa kidini au kwasababua nyingine yoyote huyo akemewe, tumkatae hana nia njema"
NAKAZIA HAPO HAPO
KUNA Mashekh wanajifanya kusifu kwa hoja hii
Askofu Shoo anajitambua tofauti na wachumia tumbo.
 
Wanaukumbi.

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Fredrick Shoo ameiomba Serikali kukataa na kukemea kwa nguvu yote wale wote wanaoonesha dalili za kuwagawa watu kwa utofauti wa Dini na kusema hata pale Mtu anaposema jambo la kuipendeza Serikali iwapo amejenga hoja yake katika msingi wa kuwagawa Watu kidini au kwasababu nyingine yoyote akemewe kwakuwa hana nia njema.

Dkt. Shoo amesema hayo mbele ya Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa Maadhimisho ya
Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika

Chuo cha Tumaini Makumira, Arusha leo August 21,2023.

Dkt. Shoo amenukuliwa akisema
"Umoja wa Taifa letu la Tanzania, mshikamano ni muhimu kuliko Mtu au kundi lolote, niwaombe Viongozi wenzangu wa Dini zote, niwaombe Wanasiasa, kuacha kabisa kujaribu kuwagawa Watu kwa misingi ya Dini au kwa misingi ya itikadi iwayo yoyote ya kisiasa na kwa misingi ya maslahi binafsi"

"Niombe Serikali yako kukataa na kukemea kwa nguvu yote wale wote wanaoonesha dalili za kutugawa kwa utofauti wa Dini zetu, hata pale Mtu anaposema jambo la kuipendeza

Serikali iwapo amejenga hoja yake katika msingi wa kutugawa kidini au kwasababu nyingine yoyote huyo akemewe, tumkatae hana nia njema"

Chanzo: Millard Ayo.
Safi sana Askofu. Kuna baadhi ya masheikh wanataka kutuletea mambo ya dini kwenye huu mkataba.
 
IBARA ya 4(2) ya mkataba huu wa Kimangungo inasema, iwapo Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari, inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini, ndio basi. Yaani nchi huru ikaombe ridhaa Dubai? Tena kwa Mali zake? Huu ujinga ubaki CCM na Dubai.
 
Viongozi wao ndio wa kwanza kuliweka taifa katika udini. Wanashindwa kuwa waamini au wahumini wanataka na kwenye makanisa au misikiti wapewe maiki.
 
Back
Top Bottom