Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi pasipo kuwachosha. Rais Dr Samia atajaribu kumuiga Magufuli lakini kamwe hataweza asilani hadi anaondoka madarakani. Wakati Dr Magufuli akiwa Rais...
5 Reactions
58 Replies
4K Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 12, Kikao cha 3, leo Agosti 31, 2023. Ratiba: Dua Hati za kuwasilisha Mezani Maswali Hoja za Serikali...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
TUTAJENGA SHULE KUMKUMBUKA PROF. DAVID MASAMBA" - WANANCHI MUSOMA VIJIJINI "Afrika inamfahamu Prof. David Masamba kwa umahiri wake wa lugha ya Kiswahili ni wakati sasa wakufikiria cha kufanya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Akichangia Bungeni kwenye mjadala wa Kuridhiwa itifaki ya biashara ya Sadc,Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina amehoji sababu za serikali kuleta Bungeni itifaki iliyosaisainiwa miaka 12 Iliyopita...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umeongeza thamani ya mfuko huo kwa kupitia uwekezaji na kufanikiwa kuwalipa wanufaika 262,09 Jumla ya shilingi Trilioni 8.88, katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC) ya Mwaka 2012. Itifaki hiyo imeridhiwa Agosti 31, 2023 Bungeni...
0 Reactions
4 Replies
967 Views
Marekani Kupitia Balozi wake Nchini Tanzania amesema Demokrasia ya Kila Nchi lazima iendane na mazingira na tamaduni za Nchi husika. Balozi alikuwa akizungumza kwenye kikao Cha wadau wa...
6 Reactions
46 Replies
7K Views
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Doto Biteko, amewahakikishia Wananchi wa Mkoa Geita kuwa, miradi yote mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa katika kipindi cha Serikali...
0 Reactions
3 Replies
847 Views
Wananchi wa Gabon wakiwakumbtia na kuwafurahia Wanajeshi, unafikiri raia wanaweza wafurahia wanaojiita Wanajeshi hapa kwetu hivyo? Hata kama tutajaribu kutetea lkn deep down nafsi zinatusuta...
14 Reactions
20 Replies
2K Views
Ni historia iliyo wazi kwamba biashara ya utumwa na ukoloni vilihusika kuleta uharibifu mkubwa sana katika bara hili na nchi yetu. Mamilioni ya nguvu kazi walichukuliwa kupelekwa utumwani...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Uteuzi wa Doto Biteko umeambatana na majukumu yake atakayofanya kama Naibu Waziri Mkuu. Majukumu hayo ni ya Waziri Mkuu kwa mujibu wa katiba na cheo cha Naibu Waziri Mkuu hakipo kwenye katiba hii...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
Pindi mambo yatakamfika shingoni Mh Majaliwa na kuamua kung'atuka kama Ndugai huku naye akiimba wimbo wa NIMEKOSA MIMI NIMEKOSA SANA nafasi hiyo itachukuliwa na Mzanzibar tena huenda atakuwa Ndugu...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lissu amekwenda Kituo cha Polisi cha Mwandoya Jimboni Kisesa na kuwashukuru kwa namna walivyomlinda yeye, Ujumbe wake na Mikutano yao muda wote...
17 Reactions
16 Replies
2K Views
TANTRADE yapokea vizimba vya mabanda ya kisasa kwa ajili ya maonesho ya 47 ya biashara ya kimataifa ya Dar es salaam (sabasaba) Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya maendeleo ya biashara Tanzania...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakati serikali imesema inaingia hatua ya pili ya mkataba katika uwekezaji bandarini Dar kati yake na DP world,ningependa watu wote bila kujali kama mnaunga mkono au kupinga maudhui ya mkataba...
0 Reactions
0 Replies
842 Views
Rais Mstaafu awamu ya nne, Jakaya Kikwete, amesema anajivunia kuwa Mwafrika wa kwanza kuongoza bodi ya wakurugenzi ya taasisi ya Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE), ambalo liilianzishwa miaka 20...
0 Reactions
2 Replies
655 Views
Kwakweli hii ni ardhi ya watu wema sana, vigezo vya uwekezaji kwa wageni ni rafiki sana, kuna muda wa kutosha wa kufanya majaribio ya biashara mpya bila kulipa kodi. Nawaomba mpunguze mlolongo...
0 Reactions
0 Replies
381 Views
Sote tunajua kuwa imani za dini (Ukristo na Uislam) vilikuwepo kabla ya utumwa. Umewahi kujiuliza wakati Waafrica wanauzwa kama Mbuzi kwenye masoko ya Ulaya, Marekani, Uarabuni, viongozi wa dini...
24 Reactions
163 Replies
10K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha siku ya Kizimkazi - Paje tarehe 31 Agosti, 2023 visiwani Zanzibar...
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Ndugu wana JF wenzangu, kulingana na andiko hilo linalopatikana kwenye kitabu kitakatifu cha Biblia, Napenda kuchukua fursa hii kumuomba radhi mtu yeyote ambaye nitakuwa nimemkwaza kwa namna moja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…