Yaani CCM ni hatari kwa taifa hili

joseph2

Senior Member
May 31, 2015
126
251
Pamoja na kudai kuwa CCM ina wanachoma milioni tisa lakini kila teuzi zinazo fanyika majina ni yale yale. Kibaya zaidi wameteuwa mtuhumiwa wa uuwaji kuwa katibu mwenezi wao. Hivi kama hii si zarau kwa wanaCCM na watanzania ni nini. Mtu mwenye tuhuma za kugushi vyeti, mvamizi wa vituo vya tv.. Mtuhumiwa wa kuendesha kikundi cha watu wasio juliana a, anateuliwa kuwa mwenezi wa CCM.

Hivi vyuo vyote vina kazi gani kama na fasi mhim serikalini zina chukuliwa na watu waina ya Bashite. Hivi mtu mwenye akili timamu unaweza je kuwa sehemu ya watu wanao fanya mambo kama CCM. Mtu kama Bashite katibu mwenezi, kweli kweli hizo teuzi za CCM zinaonyesha ubora wa wana chama wake au wameamuwa kukuza vipaji vya ujinga?

Yangu mucho ila mimi najitowa kuto kuwa sehemu ya ujinga. Ni bora ufe ukiwa umesimama kuliko kufa ukiwa unapigia magoti wapumbavu. Tanzania bado hatujapata uhuru. Ili nchi iwe huru lazima uhuru huo ujengwe kwenye sector ya elimu. Kwa Tanzania ukiangalia sector ya elimu ilivyo kuwa chini ya mkoloni na ilivyo sasa. Tafauti ni quantity lakini kwenye quality ni kama ile ya mkoloni au imerudi nyuma zaidi... Wasomi wa leo ndio wanao ongoza kwa kuwa machawa.

Leo hii kupata msome ambaye yuko tayari kujiuzuru kuliko kwenda kinyume na maadili yake ya kitaaluma ni ngum mnoo. Mwisho naomba ni malizie kwa kusema hakuna kilicho na mwazo kikakosa mwisho.
 
Kule kwingine kuna wanachama milioni ngapi sijui lakini mwenyekiti huyohuyo muongo sijui wa tatu au pili huu.
 
Kuna siku tu CCM itaondoka madarakani! Na ili iondoke ni lazima ifanye makosa fulani fulani; makosa yenyewe ni kuteua watu kama akina Makonda kwenye nafasi nyeti za Chama!
Yaani leo CCM ya Nyerere inaenezwa na akina Makonda!
Mtu anatuhuma za mauaji! ( Taarifa ya Mike Pompeo - Waziri wa mambo ya Nje wa Marekani na Mkurugenzi wa zamani wa CIA)!
Mtu anatuhuma za kudhurumu Mali ( Mgogoro na GSM)!
Mtu ana tuhuma za kughushi vyeti!
Mtu ni Kilaza darasani zero!
Mtu mwenye upeo lazima utafakari nafasi yako katika CCM hii ya Samia.
CCM ya Samia ni ya michongo na connection , ukiwa hujuani na watu au hauna fedha teuzi au nafasi ya maana sahau!
Hata ungejitoa ufahamu kama Lucas Mwashambwa sahau! Forget it!
 
Pamoja na kudai kuwa CCM ina wanachoma milioni tisa lakini kila teuzi zinazo fanyika majina ni yale yale. Kibaya zaidi wameteuwa mtuhumiwa wa uuwaji kuwa katibu mwenezi wao. Hivi kama hii si zarau kwa wanaCCM na watanzania ni nini. Mtu mwenye tuhuma za kugushi vyeti, mvamizi wa vituo vya tv.. Mtuhumiwa wa kuendesha kikundi cha watu wasio juliana a, anateuliwa kuwa mwenezi wa CCM.

Hivi vyuo vyote vina kazi gani kama na fasi mhim serikalini zina chukuliwa na watu waina ya Bashite. Hivi mtu mwenye akili timamu unaweza je kuwa sehemu ya watu wanao fanya mambo kama CCM. Mtu kama Bashite katibu mwenezi, kweli kweli hizo teuzi za CCM zinaonyesha ubora wa wana chama wake au wameamuwa kukuza vipaji vya ujinga?

Yangu mucho ila mimi najitowa kuto kuwa sehemu ya ujinga. Ni bora ufe ukiwa umesimama kuliko kufa ukiwa unapigia magoti wapumbavu. Tanzania bado hatujapata uhuru. Ili nchi iwe huru lazima uhuru huo ujengwe kwenye sector ya elimu. Kwa Tanzania ukiangalia sector ya elimu ilivyo kuwa chini ya mkoloni na ilivyo sasa. Tafauti ni quantity lakini kwenye quality ni kama ile ya mkoloni au imerudi nyuma zaidi... Wasomi wa leo ndio wanao ongoza kwa kuwa machawa.

Leo hii kupata msome ambaye yuko tayari kujiuzuru kuliko kwenda kinyume na maadili yake ya kitaaluma ni ngum mnoo. Mwisho naomba ni malizie kwa kusema hakuna kilicho na mwazo kikakosa mwisho.
DAUDI ALBERT BASHITE a.k a Paul Makonda ndiye taswira halisi ya shetani
 
Back
Top Bottom