Kwenye Siasa chochote kinaweza kutokea RC Paul Makonda anaweza kutumika kwenye Uchaguzi na baadae akaachwa

Bush Dokta

JF-Expert Member
Apr 11, 2023
12,138
20,297
Wakati tunaendelea kumpongeza aliyekuwa RC wa Mkoa wa Dar Es salaam kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu NEC CCM itikadi na Uenezi ni vema pia tukafikiria pande zote mbili.

Bila kuanza kukumbushia kilichofanya atengwe kwenye utawala wa awamu ya tano naomba tujikite kwenye fikra hizi.

Mwaka 2014/2015 kulikuwa na vijana waliokuwa na nguvu sana ndani ya Team za CCM. Vijana hao mmoja wao alishika nafasi ya Nne au ya tano kwenye Uwaniaji wa kugombea Urais. Hii kwake ilikuwa ni mafanikio makubwa sana kufikiriwa kuwa ndani ya team ya wawania Urais.

Vijana hao walikuwa wanaogopwa sana kwa influence zao na makundi yao.

January Makamba alivuma sana kila kona mitandaoni na mitaani. Ilifika mahali watu wakamwita he ia very Bright and Inteligent( mimi sikuwahi ona sifa hizo kwake).

Wakqti huo huo Mh Nape Nauye alikuwa hoti sana kwenye siasa za majukwani. Yaani ilikuwa huwezi kufanikiwa ndani ya ccm kama huna linki ya Nape na Januari.....hilo wanalijua.

Vijana hawa wakiwa na wengine kibao walipambana kuhakikisha Uchaguzi wa 2015 Ccm haiondoki madaraka. Kuna serekasi nyingi zinatajwa zilitekelezwa na hwa jamaa ambazo wanaamini ndizo ziliokoa Mgombea wao akashinda uchaguzi.

Baada ya pale mnajua kilichofata?
Matarajio yao kama wapambanaji yalienda kombo. Wakaanza kususa. Kwa kuwa Mkuu wa Nchi alikuwa haangalii mtu usoni akawaacha kama walivyo. Akawatupia japo makombo kidogo.

Wakatulia, na bado wakataka kujiona wao ndio wao. Akawwacha mazima. Sote ni mashahidi.

Sisi tunaompongeza RC Makonda tunamkumbusha pia ajitafakari kwa nini kipindi hichi. Yakimtokea ya akina Nape na Makamba jr asiseme hatukumkumbusha.

Dpw.
 
Sana tu inawezekana akatumika kama toroli ili afurahishe wafuasi wa Magufuli kisha wamtupe benchi au wamuue kabisa baada ya uchaguzi au wampeleke jela ngoja tusubiri
 
Ni Katibu Mkuu wa Itikadi na Uenezi sababu kwa Sasa Kuna Makatibu wa Itikadi na Uenezi ambao wameajiriwa huko Mikoani , kwa hiyo Makonda ndio Katibu muenezi mkuu
Katibu wa Itikadi na Uenezi ni mmoja tu ndio huyo aliyeteuliwa. Wengine wote ni Makatibu Waenezi period, hakuna Itikadi. Namna ya pili ya kumtofautisha na wengine mwisho unaweka -Taifa.
 
Sana tu inawezekana akatumika kama toroli ili afurahishe wafuasi wa Magufuli kisha wamtupe benchi au wamuue kabisa baada ya uchaguzi au wampeleke jela ngoja tusubiri
Hayo mabaya Mungu atuepushe....ibaki kuwa siasa tu ila mambo ya kuuana hayafai na tutayakemea siku zote.
 
Ni Katibu Mkuu wa Itikadi na Uenezi sababu kwa Sasa Kuna Makatibu wa Itikadi na Uenezi ambao wameajiriwa huko Mikoani , kwa hiyo Makonda ndio Katibu muenezi mkuu
Hahaha sasa tusemeje?
 
Wakati tunaendelea kumpongeza aliyekuwa RC wa Mkoa wa Dar Es salaam kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu NEC CCM itikadi na Uenezi ni vema pia tukafikiria pande zote mbili.

Bila kuanza kukumbushia kilichofanya atengwe kwenye utawala wa awamu ya tano naomba tujikite kwenye fikra hizi.

Mwaka 2014/2015 kulikuwa na vijana waliokuwa na nguvu sana ndani ya Team za CCM. Vijana hao mmoja wao alishika nafasi ya Nne au ya tano kwenye Uwaniaji wa kugombea Urais. Hii kwake ilikuwa ni mafanikio makubwa sana kufikiriwa kuwa ndani ya team ya wawania Urais.

Vijana hao walikuwa wanaogopwa sana kwa influence zao na makundi yao.

January Makamba alivuma sana kila kona mitandaoni na mitaani. Ilifika mahali watu wakamwita he ia very Bright and Inteligent( mimi sikuwahi ona sifa hizo kwake).

Wakqti huo huo Mh Nape Nauye alikuwa hoti sana kwenye siasa za majukwani. Yaani ilikuwa huwezi kufanikiwa ndani ya ccm kama huna linki ya Nape na Januari.....hilo wanalijua.

Vijana hawa wakiwa na wengine kibao walipambana kuhakikisha Uchaguzi wa 2015 Ccm haiondoki madaraka. Kuna serekasi nyingi zinatajwa zilitekelezwa na hwa jamaa ambazo wanaamini ndizo ziliokoa Mgombea wao akashinda uchaguzi.

Baada ya pale mnajua kilichofata?
Matarajio yao kama wapambanaji yalienda kombo. Wakaanza kususa. Kwa kuwa Mkuu wa Nchi alikuwa haangalii mtu usoni akawaacha kama walivyo. Akawatupia japo makombo kidogo.

Wakatulia, na bado wakataka kujiona wao ndio wao. Akawwacha mazima. Sote ni mashahidi.

Sisi tunaompongeza RC Makonda tunamkumbusha pia ajitafakari kwa nini kipindi hichi. Yakimtokea ya akina Nape na Makamba jr asiseme hatukumkumbusha.

Dpw.
Hapa nimekuelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom