Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanzania hususan Bara kuna eneo kubwa tu ambalo halitumiki hasa mikoani Tanga na Lindi. Je, katika kuenzi Urafiki wa baba wa taifa Mwalimu Nyerere na mpigania Haki za Palestine Yasser Arafat...
12 Reactions
133 Replies
6K Views
Msomi Tundu Lissu anatarajiwa kurejea nchi wakati wowote ili aweze kuendelea na ziara zake mikoani ambazo ndio amekuwa akizutumia kama chanzo kikuu cha mapato yanayotokana na michango ya wananchi...
5 Reactions
24 Replies
4K Views
CHADEMA wanategemewa kuanza yale makongamano ya kukusanya michango toka kwa wananchi wa mikoa ya Mbeya, Iringa na Songwe kuanzia tarehee 13/10/23. Kigogo wa chama Mrema ambae ni mkurugenzi wa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kumekuwa na Uzi mbalimbali humu JF zinazoonesha malalamiko mbalimbali ya jinsi bodi ya mikopo Elimu ya juu (HESLB) Kwa kushirikiana na maafisa utumishi kuingiza makato kwenye mishahara ya...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Bungeni Dododma amewasilisha Bungeni taarifa ya Hali ya Uchumi wa Kitaifa kwa Mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo ya Taifa wa Mwaka 2023/2024 ambapo moja ya...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameilekeza Bodi ya Filamu nchini ishirikiane na Sekta binafsi katika kuhakikisha filamu za Tanzania zinakua bora zaidi na zinapata...
0 Reactions
0 Replies
409 Views
KARIBU SINGIDA "IYUU" SAMIA. Rais Dkt Samia ana ziara ya siku 3 Mkoa niliyozaliwa wa Singida. Hii ni ziara yake ya kwanza Singida tangu awe Rais ambapo pamoja na mambo mengine ataadhimisha...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Waziri January Makamba alivyoteuliwa pale Nishati alipasafisha na kuweka Watendaji wapya kuanzia Tanesco na kwingineko. Sasa amepelekwa Mambo ya Nje tayari ameanza kuisafisha na Rais Samia...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
John Malecela Salim Ahmed Salim Mrisho Kikwete Balozi Mahiga Liberata Mulamula Balozi Asha Rose Migiro( kunradhi balozi) Prof Anna Tibaijuka( kunradhi Prof) Kuna wakati Tanzania tulikuwa...
16 Reactions
106 Replies
8K Views
Watu wanauliza, kwanini awamu ya JPM ya Kalemani haikuwa na mgao? Jibu hilo hapo anatupa mwamba yeye mwenyewe... https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==...
16 Reactions
83 Replies
7K Views
Kama siyo wote baadhi ya mawaziri na hata wakuu wa mikoa na WA wilaya utawasikia wanapotekeleza majukumu Yao hujinasibu kwamba mheshimiwa Rais amewapa agizo la kutekeleza jambo Fulani. Waziri wa...
10 Reactions
30 Replies
3K Views
Akiongea Leo wakati akipokea Ripoti kuhusu utendaji wa Wizara ya mambo ya nje kwenye Ikulu ya Dar, Rais Samiah amedai kwamba suala la branding sio suluhisho, kwani tumefanya branding nyingi na...
18 Reactions
81 Replies
6K Views
Kauli ya Waziri wa Afya kuwaeleza Watanzana kuacha kula matunda mchanganyiko si ya kitaalamu bali imejaa hisia yenye lengo la kuharibu soko la matunda ambalo linashamiri Tanga ni wakulima wazuri...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
BONDE la Bugwema na Bonde la Suguti yaliyopo katika Jimbo la Musoma Vijijini mkoani Mara yako kwenye bajeti ya Wizara ya Kilimo ya mwaka 2023/2024 iliyopitishwa na Bunge siku ya Mei 9, 2023 ili...
1 Reactions
4 Replies
797 Views
Mungu huwa anatufunulia wale ambao tusingeweza kuwatambua kwa macho na fahamu zetu,Mungu uwa analeta dhoruba kwenye kujiokoa watu wanavua ngozi zao za kondoo na kuwa mbwa mwitu. Huwezi amini...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Zito Kabwe, Kiongozi wa chama cha ACT amekuwa kimya kwa masuala makubwa yanayoikumba Tanzania, Tanganyika in particular. Kwa tunaomfahamu Zitto Kabwe na umahili wake wa kuchambua mambo ya kisiasa...
24 Reactions
60 Replies
4K Views
Unapokea dege la.bil 800+ alafu unachukua ujumbe wa watu 100 na zaidi kwenda nao Qatar na India kwa sababu gani za msingi? Kuangalia namna green house zinazalisha mbogamboga ? Huko India kuna...
8 Reactions
47 Replies
2K Views
Yafuatayo ni muhimu kuzingatia na yanahitaji majibu ya kimkakati; 1. Tanzania imejipangaje kuondoa Watanzania walioko kwenye nchi hizo za vita? 2. Kwa kisasi cha malipizi yatayovunja rekodi kama...
1 Reactions
4 Replies
811 Views
Kuna viongozi wengi muhimu wameachwa kwenye hiyo ziara ya Rais ambao wangeleta tija kwenye Taifa letu, lakini amepelekwa mpiga porojo hata kwenye movie, basi angepelekwa Rais wa filamu labda ana...
6 Reactions
84 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…