Dr Samia Suluhu Hasan - Mama wa Taifa na Mfariji Mkuu wa Taifa
Na Comrade Ally Maftah
Taifa letu limepata bahati kubwa sana kumpata mfita machozi kama Dr Samia Suluhu Hasan katika kipindi hiki...
Baada ya kuligusa suala la Meremeta nilidokeza kuwa ripoti tunayoifanyia kazi sasa ni ile ya kuelezea historia ya ufisadi wa makuwadi wa wizi wa kimataifa ulioanzia Loliondo na kugusa Ikulu yetu...
Na Mwandishi wetu , Ngorongoro
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro Mkoa wa Arusha,wameikataa rasimu ya mpango wa matumizi ya Ardhi ya wilaya hiyo, wakidai si shirikishi na...
Kwa mujibu wa habari iliyonukuliwa na gazeti la The Citizen kutoka kwenye taarifa za Benki Kuu zinazoishia mwezi August zinaonyesha kuoungua kwa deni la Taifa.
Deni la Taifa limepungua Kwa $726...
Wanapishana tuu majukwaani, akitoka waziri Mwigulu kusifia anakuja Kitila Mkumbo. Basi kama sio Mwenyekiti wa CCM mkoa au wilaya ni Waziri Jafo nk nk.
Wote wanaosimama na kuongea kusifia hadi...
Katika kuwaza kwangu, nilijiwa na wazo la kuwapambanisha wapendwa wafuatao ambao kimsingi ni viongozi wetu mashuhuri na wastahika.
Nashauri chama cha maulaji kiwapambanishe wafuatao kwenye...
Nimetafakari kuhusu nafasi za kitaaluma kama Gavana wa Benki kuu, nini madhara zikiruhusiwa kuombwa na mtu yeyote mwenye sifa?
Teua tengua zimekuwa nyingi jambo linaloashiria kuna shida ya wale...
Kuna wimbi limeingia kwenye wizara ya elimu shule binafsi kutoza bima ya afya 300, 000 kila mwanafunzi kwa kila mwaka.
Hizi bima ni halali au wazazi/ walezi tuna upinga mwingi!
Kigwangala anaomba Rais aipe Nzega hadhi ya mkoa baadaye anakuja Bashe anasema mama tunaomba unapoondoka 2030 basi wilaya ya Nzega iwe mkoa.
Anakuja Rais anasema nimepokea maombi ya MBashe kuwa...
Balozi wa Tanzania Nchini Ufaransa Mhe. Ali Jabir Mwadini amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Tume ya UNESCO Prof. Hamis Malebo, ambaye yupo nchini Ufaransa kuhudhuria Mkutano wa...
Zamani Nilikuwa najiuliza Kwa nini miswada ya sheria mbalimbali inapopelekwa Kwa hati ya dharura Wabunge wa upinzani wanapinga Sana huku wale wa CCM wakiunga mkono Kwa nguvu zote na kufikia...
Asalam Aleykum.
Leo katika pita pita yangu kwenye taarifa mbalimbali, nimevutiwa sana kumwona Mh. Rais Samia akiwa sokoni, huku akinunua baadhi ya bidhaa na kuahidi kuwapa mitaji baadhi ya...
Salaam,
Kama mtakumbuka eneo la stand ya Mwenge ambapo ni maarufu wakati ule kwa wamachinga palivunjwa kwa lengo la kufanyia maboresho.
Sasa kilichotokea, inasemekana Mnada kwa wale yale mabanda...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro leo Oktoba 18, 2023 Jijini Dar es Salaam ameongoza Kikao cha kawaida cha Wakuu wa Idara na Taasisi za Wizara hiyo.
Kikao hicho...
Salam wana JF popote mlipo, amani ya Mungu na ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Mada yangu ni fupi sana kwako msajili wa vyama vya siasa Tanzania.
Husika na kichwa cha habari tajwa apo...
Kuna watu ni dhahiri, siyo tu wamekosa hekima bali hata ile akili ya kawaida hawana.
Fikiria mtu mzima anajiita kuwa yeye ni chawa. Lakini wanaenda mbali zaidi kiasi cha kumtukana na Rais kuwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea taarifa ya Mradi wa Skimu ya Umwagiliaji wilaya ya Nzega mkoani Tabora leo tarehe 18, Oktoba, 2023...
Awamu ya tano chini ya Rais wa wakati huo, Marehemu Magufulli, ilikuwa kinara wa kukiuka sheria na kuvunja mikataba na matokeo yake leo hii serikali inashitakiwa huko katika mahakama za kimataifa...
KUTOKA KAGERA
- 51% ya wakazi wake wanatumia chini ya TZS 1,644 kwa siku ( mstari wa umasikini Tanzania ni TZS 49,320 kwa Mwezi ).
- Pato la Wastani la Mtu wa Kagera ni TZS 1.2M kwa Mwaka. Mtu...
Zuio la TCRA Matumizi ya VPN linakandamiza uhuru wa habari Nchini.
Chama cha ACT Wazalendo kupitia Wizara Kivuli ya Habari na Mawasiliano tunapinga vikali taarifa ya Mamlaka ya Mawasiliano...