Tanzania mjumbe wa Bodi Tendaji UNESCO

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
740
479
Balozi wa Tanzania Nchini Ufaransa Mhe. Ali Jabir Mwadini amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mtendaji wa Tume ya UNESCO Prof. Hamis Malebo, ambaye yupo nchini Ufaransa kuhudhuria Mkutano wa Bodi Tendaji ya UNESCO ambapo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Mjumbe.

Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi za Ubalozi Jijini Paris, Oktoba 18, 2023.

20231018_205841.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom