Ingekuwa ni jambo la kimataifa, serikali ingeshindwa mahakamani na pengine kutakiwa kuwalipa fidia Wanufaika wa Bodi ya Mikopo

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,017
144,373
Awamu ya tano chini ya Rais wa wakati huo, Marehemu Magufulli, ilikuwa kinara wa kukiuka sheria na kuvunja mikataba na matokeo yake leo hii serikali inashitakiwa huko katika mahakama za kimataifa na nchi kushindwa kesi na kulazimika kulipa mabilioni ya shilingi kama fidia.

Walichokifanya katika kuvunja mikataba ya kimataifa, ndicho walichokifanya katika kubadili sheria/taratibu inayotumika kuamua kiwango cha kukata mshahara kwa ajili ya kulipia deni la Bodi ya Mikopo.

Kwa wasiolewa, miaka ya 2016 kurudi nyuma, mkataba kati ya Bodi ya Mikopo na Wanafunzi ambao ni Wanufaika wa mikopo hii, ulielekeza Mnufaika kukatwa asilimia 8 ya mshashara wake ghafi(basic salary) ili kulipia mkopo wake kila mwezi na siku zote mambo yalienda hivyo kama mkataba unavyosema.

Serikali ya awamu ya tano chini ya Magafuli, wakabadilli sheria/taratibu na kuongeza kiwango cha makato kutoka asilimia 8 mpaka asilimia 15 ya sasa na makato yamekuwa yakifanyika bila kujali mkataba baina ya mkopeshaji na mkopeshwaji.

Hivyo, jambo hili lingekuwa ni jambo la kimataifa, serikali ingeshitakiwa na wangeshindwa kesi na wangelazimika kuwalipa fidia wanufasika wote wa Bodi wanaokatwa/waliokatwa viwango tofauti na jinsi mkataba unavyoeleza unless mkataba ulikuwa unaruhusu mkopeshaji kubadili asilimia ya makato wakati wowote bila ridhaa ya mkopeshewaji jambo ambalo sidhani kama lipo kwenye mkataba.

Humu ndani hata mkiishitaki serikali na ikashindwa kesi, bado wanaweza tu wasitekeleza hukumu ya mahakama na watu mkaishia kulalamika tu.

Hii ni sababu nyingine kwanini watanzania tunahitaji katiba mpya.
 
Bodi ya Mikopo ni takataka tu kama zilivyo takataka nyingine za kutupa jalalani.

Kama mzazi/mlezi unajimudu, ni bora kumsomesha tu mtoto/watoto wako kwa hela zako za mfukoni, ili kuwaepusha na mateso/manyanyaso yatokanayo na hiyo Bodi.
 
Uko sahihi kwa asilimia 200. Kama una uwezo, ni bora tu umsomeshe mwanao na sio kukimbilia HESLB kwanii ni sawa na kumuandalia mwanao umasikini maishani mwake.
 
Kuna mambo mengi mnayo sifia Serikali ya Rais SSH kuyafanya, miongoni ya hayo ni "Kufunguliwa kwa nchi", Diplomasia ya Uchumi and so on, yaani kana kwamba Nchi ilifungiwa,na palikuwa hakuna "Diplomasia" which is bogus, kwani mpaka sasa hakuna anyejua maana halisi ya "Diplomasia ya Uchumi" hakuna anyejua inafanya nini na wala anayejua wanafikiaje hiyo "Diplomasia ya Uchumi" Kwa kifupi ni kelele tupu. Kelele za Chura. Ni propaganda tu.

Kudai kwamba Serikali ya Hayat Rais Magufuli iliongeza percentage bila ya kuzingatia sheria ni Bogus! Kama ni kweli aliyayafanya yalikuwa na makosa kama mnavyodai alifungia nchi na sasa imefunguliwa, nibkitu gani hasa kinachomshinda au kinachowashinda Serikali hii kutengua au kufanyia marekebisho Sheria unayodai ilibadilishwa?

Ni Sheria gani hiyo Iliyobadilishwa?

Nini haswa kilichobadilika, Sheria au Mkataba?

Kuongezeka kwa percentage ni badiliko la Sheria?

Tuwekee huo mkataba hapa na hiyo Sheria unayodai ilibadilishwa, zaidi ya hapo mada hii itabakia kuwa kati ya mada nyingi zinazojengwa kuchafua Serikali ya Hayat Magufuli kwasababu ya vinyongo na visasi binafsi vya Mafisadi, Mamluki, Mawakala na Vibaraka wa Majambazi na Mabeberu.

Bogus!

"Serikali ya awamu ya tano chini ya Magafuli, wakabadilli sheria na kuongeza kiwango cha makato kutoka asilimia 8 mpaka asilimia 15 ya sasa na sheria imekuwea ikitekelezwa bila kujali mkataba baina ya mkopeshaji na mkopeshwaji."
 
Kibaraka wa Bwana Yule akitetea ujinga wa aliekuwa akimpa ugali wa siku!!
 
Awamu ya tano chini ya Rais wa wakati huo, Marehemu Magufulli, ilikuwa kinara wa kukiuka sheria na kuvunja mikataba na matokeo yake leo hii serikali inashitakiwa huko katika mahakama za kimataifa na nchi kushindwa kesi na kulazimika kulipa mabilioni ya shilingi kama fidia.

Walichokifanya katika kuvunja mikataba ya kimataifa, ndicho walichokifanya katika kubadili sheria inayotumika kuamua kiwango cha kukata mshahara kwa ajili ya kulipia deni la Bodi ya Mikopo.

Kwa wasiolewa, miaka ya 2016 kurudi nyuma, mkataba kati ya Bodi ya Mikopo na Wanafunzi ambao ni Wanufaika wa mikopo hii, ulielekeza Mnufaika kukatwa asilimia 8 ya mshashara wake ghafi(basic salary) ili kulipia mkopo wake kila mwezi na siku zote mambo yalienda hivyo kama mkataba unavyosema.

Serikali ya awamu ya tano chini ya Magafuli, wakabadilli sheria/taratibu na kuongeza kiwango cha makato kutoka asilimia 8 mpaka asilimia 15 ya sasa na sheria imekuwea ikitekelezwa bila kujali mkataba baina ya mkopeshaji na mkopeshwaji.

Hivyo, jambo hili lingekuwa ni jambo la kimataifa, serikali ingeshitakiwa na wangeshindwa kesi na wangelazimika kuwalipa fidia wanufasika wote wa Bodi wanaokatwa/waliokatwa viwango tofauti na jinsi mkataba unavyoeleza unless mkataba ulikuwa unaruhusu mkopeshaji kubadili asilimia ya makato wakati wowote bila ridhaa ya mkopeshewaji jambo ambalo sidhani kama lipo kwenye mkataba.

Humu ndani hata mkiishitaki serikali na ikashindwa kesi, bado wanaweza tu wasitekeleza hukumu ya mahakama na watu mkaishia kulalamika tu.

Hii ni sababu nyingine kwanini watanzania tunahitaji katiba mpya.
Kipindi cha hawamu ya tano nacho ilikuwa ni unyonyaji sana, kutoka asilimia 8% adi 15% na bado wakaweka rentetion fees kila mwaka deni likawa linaongezeka, kama mama aliweza kutoa rentetion fees basi makato yarudi kama zamani 8%
 
Tukisema labda watatusikia.
 
Kuna mambo mengi mnayo sifia Serikali ya Rais SSH kuyafanya, miongoni ya hayo ni "Kufunguliwa kwa nchi", Diplomasia ya Uchumi and so on, yaani kana kwamba Nchi ilifungiwa,na palikuwa hakuna "Diplomasia" which is bogus, kwani mpaka sasa hakuna anyejua maana halisi ya "Diplomasia ya Uchumi" hakuna anyejua inafanya nini na wala anayejua wanafikiaje hiyo "Diplomasia ya Uchumi" Kwa kifupi ni kelele tupu. Kelele za Chura. Ni propaganda tu.

Kudai kwamba Serikali ya Hayat Rais Magufuli iliongeza percentage bila ya kuzingatia sheria ni Bogus! Kama ni kweli aliyayafanya yalikuwa na makosa kama mnavyodai alifungia nchi na sasa imefunguliwa, nibkitu gani hasa kinachomshinda au kinachowashinda Serikali hii kutengua au kufanyia marekebisho Sheria unayodai ilibadilishwa?

Ni Sheria gani hiyo Iliyobadilishwa?

Nini haswa kilichobadilika, Sheria au Mkataba?

Kuongezeka kwa percentage ni badiliko la Sheria?

Tuwekee huo mkataba hapa na hiyo Sheria unayodai ilibadilishwa, zaidi ya hapo mada hii itabakia kuwa kati ya mada nyingi zinazojengwa kuchafua Serikali ya Hayat Magufuli kwasababu ya vinyongo na visasi binafsi vya Mafisadi, Mamluki, Mawakala na Vibaraka wa Majambazi na Mabeberu.

Bogus!

"Serikali ya awamu ya tano chini ya Magafuli, wakabadilli sheria na kuongeza kiwango cha makato kutoka asilimia 8 mpaka asilimia 15 ya sasa na sheria imekuwea ikitekelezwa bila kujali mkataba baina ya mkopeshaji na mkopeshwaji."
Mbona hueleweki, unapinga au unaunga mkono mada. Unasema siyo kweli serikali haikubadiri mkataba wa HESLB ambao ulipokuwa unasainiwa ilikuwa walipe asilimia 8 na baadae ukabadirishwa na kuanza kukatwa asilimia 15 bila makubaliano na wanufaika?
 
Hatari sana wafanye jambo watu wakatwe 8% kama zamani maisha magumu haya🤐
 
Mbona hueleweki, unapinga au unaunga mkono mada. Unasema siyo kweli serikali haikubadiri mkataba wa HESLB ambao ulipokuwa unasainiwa ilikuwa walipe asilimia 8 na baadae ukabadirishwa na kuanza kukatwa asilimia 15 bila makubaliano na wanufaika?
Mada ni BOGUS.
 
Mada ni BOGUS.
Mkuu punguza makasiriko, kwanini makato yalipanda kuanzia 2016 na pia wakaweka rentation kila mwaka deni likawa linapanda huwe umeajiriwa au hujaajiriwa, mfano mimi deni lilipanda mpaka milion 32 mwaka 2020, lakini baada yakuondolewa hizo rentation fees deni lilifika 17 milion kwanini nisishukuru.
 
Huyo jamaa atakuwa anakula na kulala kwa shemeji. Ni kibaraka wa Jiwe.
 
Hata mimi ni mfuasi wa Magufuli lakini kuna mambo kwenye awamu yake yalikuwa kama dhulma na unyonyaji wa bila huruma, mama atuonee huruma tena arudishe ile 8% kama enzi za JK.
 
Mbona hueleweki, unapinga au unaunga mkono mada. Unasema siyo kweli serikali haikubadiri

mkataba wa HESLB ambao ulipokuwa unasainiwa ilikuwa walipe asilimia 8 na baadae ukabadirishwa na kuanza kukatwa asilimia 15 bila makubaliano na wanufaika?
Mbali na hayo ya HESLB Umeshaona wapi hayo?? Kuwa wanufaika wa mikopo wanajadiliana na Mkopeshaji, umeona wapi?
 
Kuna mambo mengi mnayo sifia Serikali ya Rais SSH kuyafanya, miongoni ya hayo ni "Kufunguliwa kwa nchi", Diplomasia ya Uchumi and so on, yaani kana kwamba Nchi ilifungiwa,na palikuwa hakuna "Diplomasia" which is bogus, kwani mpaka sasa hakuna anyejua maana halisi ya "Diplomasia ya Uchumi" hakuna anyejua inafanya nini na wala anayejua wanafikiaje hiyo "Diplomasia ya Uchumi" Kwa kifupi ni kelele tupu. Kelele za Chura. Ni propaganda tu.

Kudai kwamba Serikali ya Hayat Rais Magufuli iliongeza percentage bila ya kuzingatia sheria ni Bogus! Kama ni kweli aliyayafanya yalikuwa na makosa kama mnavyodai alifungia nchi na sasa imefunguliwa, nibkitu gani hasa kinachomshinda au kinachowashinda Serikali hii kutengua au kufanyia marekebisho Sheria unayodai ilibadilishwa?

Ni Sheria gani hiyo Iliyobadilishwa?

Nini haswa kilichobadilika, Sheria au Mkataba?

Kuongezeka kwa percentage ni badiliko la Sheria?

Tuwekee huo mkataba hapa na hiyo Sheria unayodai ilibadilishwa, zaidi ya hapo mada hii itabakia kuwa kati ya mada nyingi zinazojengwa kuchafua Serikali ya Hayat Magufuli kwasababu ya vinyongo na visasi binafsi vya Mafisadi, Mamluki, Mawakala na Vibaraka wa Majambazi na Mabeberu.

Bogus!

"Serikali ya awamu ya tano chini ya Magafuli, wakabadilli sheria na kuongeza kiwango cha makato kutoka asilimia 8 mpaka asilimia 15 ya sasa na sheria imekuwea ikitekelezwa bila kujali mkataba baina ya mkopeshaji na mkopeshwaji."
Wewe jamaa ni mbwa koko,tafuta mkia wako ili ukamilike!
 
Back
Top Bottom