Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MHE. ABOOD AZUNGUMZA NA WANANCHI KATA YA CHAMWINO MTAA WA MAELEWANO ENEO LA POMBE SHOP . Mnamo Majira ya saa kumi tarehe 24.10.2023, Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mhe. Abdulaziz M. Abood...
0 Reactions
0 Replies
797 Views
usomi ni kitu kinachopendwa sana hasa na wale wasio na ubavu wa kusoma. Viongozi wetu wa kada zote wanapenda kujibebesha au kubebesha kwa kuzawadiwa vyeo hivyo baada ya kuhonga ili waheshimike...
0 Reactions
0 Replies
442 Views
Pamoja na kudai kuwa CCM ina wanachoma milioni tisa lakini kila teuzi zinazo fanyika majina ni yale yale. Kibaya zaidi wameteuwa mtuhumiwa wa uuwaji kuwa katibu mwenezi wao. Hivi kama hii si zarau...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Bashite akiwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam aliandamwa na kashfa nyingi za kuteka watu, kuanzia wanasiasa, wana harakati, wafanyabiashara wakubwa na hata wanamuziki. Ubalozi wa Marekani ulimtaja...
9 Reactions
40 Replies
2K Views
Ni ushauri tu kwa chama pendwa cha CHADEMA. Fanyeni hima Tundu Lissu arudi haraka ajiunge kwenye Operesheni. Kama tatizo ni nauli pitisheni kikapu cha sadaka fasta tuchangie. Ni ushauri tu!
1 Reactions
7 Replies
685 Views
Sasa kwa sababu kuna kundi moja kazi yake ni kuvimbisha matumbo tu linaona umuhimu wa kuleta maendeleo hakuna. Hili kundi la watawala lina ona kuendekeza ufisadi na kuneemesha familia zao ndilo...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Imagine mmekaa pembeni ya uwanja, upo bench. Unaamka unapasha misuli moto. Unapiga jalamba. Kocha anaamka anamnyanyua mchezaji benchi anamwingiza uwanjani. Wewe anakuacha unaendelea kupasha...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Ukisoma vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi hali inaonekana nzuri sana kwa Tanzania chini ya Rais Samia. Wawekezaji wanaonekana kuwa na imani nae sana na hadi wanapohojiwa na makampuni...
0 Reactions
1 Replies
638 Views
Mkataba uliopigiwa kelele na wananchi HGA na DP WORLD umesainiwa upya leo ikulu Chamwino. Je, wahusika wàliopotosha bunge na kukubali ule mkataba wenye madhaifu kupitishwa na kulichafua...
6 Reactions
48 Replies
7K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan amewasili Nchini Zambia kwa Ziara ya Kitaifa ya Siku tatu kuanzia leo tarehe 23-25 October 2023 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri...
4 Reactions
48 Replies
3K Views
Wakati tunaendelea kumpongeza aliyekuwa RC wa Mkoa wa Dar Es salaam kwa kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu NEC CCM itikadi na Uenezi ni vema pia tukafikiria pande zote mbili. Bila kuanza kukumbushia...
9 Reactions
29 Replies
3K Views
Katikati ya mwaka huu yaani 2023 mwezi wa sita nilikwenda hospitali ya Aga Khan iliyopo Sea View Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu, kama taratibu zilivyo niliwasilisha kadi yangu ya bima ya afya...
31 Reactions
136 Replies
8K Views
Kama tulivyoahidi hapo awali , Oparesheni 255 yenye lengo la kuwakumbusha Wananchi umuhimu wa Katiba mpya ikiwa ni pamoja na kuwafungua macho wananchi hao ili wajionee ubovu wa Mkataba wa Bandari...
9 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa wale waliokuwapo wakati wa awamu ya kwanza, pili,na tatu kulikuwa na utaratibu ambao naweza kuuita uwazi. Katika sehemu mojawapo ilikuwa ni kutangaza orodha ya waliokuwa wakiandamana na rais...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Rais Samia Suluhu Hassan Nikiwa mmoja wa members wa JF nilyepinga sana mkataba wa awali kati ya nchi yetu na DP World, nachukua nafasi hii kumpongeza Mama Samia. Pongezi zangu zinazingatia...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Rais Samia Suluhu Hasan, kamwe hawezi kujilaumu kwa kutofanya jitihada, tokea mwanzo wa utawala wake kuona umuhimu wa kushawishi makundi mbalimbali katika jamii kuungana naye katika juhudi zake za...
0 Reactions
2 Replies
671 Views
Uwekezano wa kuingizwa mjini na Samia ni mkubwa sana. Tunahitaji tumpate Rais wazalendo 2025 akauchunguze huu mkataba wa Bandari. CCM Hawaaminiki na hawajawahi kuaminika kamwe. Mpaka 30 iishe...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Tumearifiwa wakubwa walioletwa na watawala bandarini wameanza kusambaa nchini kwa ajili ya kujenga mahusiano mema na Watanganyika. Wao dp world wanajua kuwa watanganyika waliwakataa ila watawala...
8 Reactions
69 Replies
5K Views
Mbunge wa Ukonga akagua daraja lililojengwa kwa Bilioni 17.6 katika kata ya Ulongoni B huko Gongolamboto. Daraja hilo litakuwa na mchango mkubwa kwa wananchi wa Ulongoni katika gurudumu la...
17 Reactions
126 Replies
11K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Zanzibar leo tarehe 24 Oktoba, 2023...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…