Nimeona wapinzani wengi na wasio wana CCM wakikosoa, kuzodoa na kulaani uteuzi wa Paul Makondoa kuwa Katibu mwenezi wa CCM.
Hili ni jambo lisilo na mashiko kwa sababu CCM kama chama kina...
Bado hajaacha tabia haina dawa, mazoea hujenga tabia.
Yupo vile vile wa juzi wa jana hajabadilika anataka sifa ana majigambo anatumia migongo ya watu kutaka umaarufu.
Kama vile alipoanzia kwenye...
Maamuzi mengi ya serikali yanapitia kwenye Baraza la Mawaziri chini ya Rais ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM Taifa.
Uwajibikaji wa serikali unamlenga waziri mkuu kwa kuwa ndiye msimamizi mkuu wa...
Wanabodi
Leo ni Alhamisi, nakuletea Live kutoka Bunge TV kupitia TBC, Kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Leo, ambaye jana amefanywa ni Bwana mdogo, kwa kupewa amri na Bwana...
Unajua ipo verse katika Kitabu cha Ayubu inasema: "Who is this cluttering the airwaves with unsound doctrine?"
Wastaafu wanatoa maoni yao kama watu wengine wanavyotoa maoni yao; wastaafu wanatoa...
Ujinga mkubwa kabisa, ni kuendelea kuwasikiliza hao wanasiasa walioishiwa sera dhidi ya Paul Makonda
Watu ukishawajua bhana, haikusumbui!
Asante Mh Rais Samia kwa kuwajua hawa wanafiki wa siasa...
Gazeti la Mtanzania limeandika kuwa Bishop Dr.Josephat Gwajima atajibu leo kuhusu kuhusishwa kwake na issue za madawa ya kulevya
Jana RC wa Dar alimtaja Gwajima na kumtaka kuripoti polisi kutoa...
Mwenezi mpya wa CCM komredi Makonda amesema Kiongozi mzembe atamsema hadharani kwa sababu hajateuliwa kwenda kuwapamba Watu.
Makonda amesema haiwezekani Wananchi wapeleke matatizo yao kwa Vyama...
Ni katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere.
Karibu!
Kardinali Pengo na Sheikh wa mkoa kwa niaba ya Mufti wanauombea mkutano huo.
Sasa viongozi wa dini wanaangalia mkanda wa video...
SWALI aliloulizwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kuhusu tuhuma zilizosambaa mitandaoni, kwamba anatumia cheti cha kidato cha nne cha mtu, zimeibua jambo jipya kuhusu tuhuma hizo...
Wanabodi,
Declaration of Interest.
Paskali ni raia mwema wa nchi hii, na kila raia mwema wa nchi yake, atahitaji kuona sheria, taratibu na kanuni zikifuatwa ikiwemo ulipwaji kodi ambazo ndizo...
Watu waliomjua Pascal Kupitia JF pekee poleni sana. Huyu jamaa hanijui lakini Mimi namjua sana.
Watanzania wengi twamjua sana, EAC wengi wanamjua sana ingawa yeye anawajua kwa kuwaona watu...
Life is too short to hate, sina tatizo na Makonda lakini naanza kupatwa na mashaka what is the secret behind?
Nimesikiliza clouds leo mchana yule jamaa aliyesababishiwa ulemavu wa macho alikuwa...
Wanabodi,
Bandiko hili ni kufuatia watu fulani humu wenye viherehere na vimbelembele kutaka kuhoji kila kitu sasa wameingilia kuhoji uwezo wa serikali ya JPM kufanya vetting kabla ya teuzi fulani...
Kitendo cha Makonda kutoa hotuba yeye vitisho dhidi ya mawaziri maRC, maDC na maDED leo hii ktk mapokezi yake ni sawa na kuifunga milago ya ufanisi ktk kazi ya uenezi.
Vitisho hivi vimetafsiriwa...
Kuna jamaa nimekutana nae ambaye ni mpiga picha binafsi wa bwana Makonda ndio ameninyetisha kuwa jamaa anataka nayeye 2025 agombee urais,anachokifanya sasa ni kusaka sifa kuwapiku kina Makamba na...
Asalaam ndugu wana jukwaa.
Ukitazama kwa makini siasa zinazo endeshwa ndani ya CHADEMA kwa sasa, unaona kutokuelewana fulani hivi kati ya Mwenyekiti Freeman Aikaeli Mbowe na Makamu wake,nguli wa...
Katibu wa NEC Itikadi na uenezi Taifa, Paul Makonda kwa hakika anaisisimua CCM vilivyo na ana wasanua wananchi hali halisi ya upinzani nchini. Ni kama vile hawapo tu, watoa taarrifa hawa nchini...
Takribani wiki tano hivi story iliyoko kwenye mitandao na vyombo vyingine vya habari hapa nchini vinaendelea kutaka ufafanuzi wa hasa nini kilichopo kwenye nyuma ya pazia kuhusu elimu nzima ya...