Kila mtu ana haki ya kutoa maoni. Kwanini Makonda aseme kwamba wastaafu hawaruhusiwi kutoa maoni?

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,102
2,717
Unajua ipo verse katika Kitabu cha Ayubu inasema: "Who is this cluttering the airwaves with unsound doctrine?"

Wastaafu wanatoa maoni yao kama watu wengine wanavyotoa maoni yao; wastaafu wanatoa maoni yao kama senior citizens, yaani, watu wa makamu wanatoa maoni,watu wenye umri wa miaka 70, miaka 80, wanazungumza maneno ya ushauri kwa vijana,wakati mwingine useful advice, wakati mwingine just the worries of old people which the young men have no time for.

Utaona yupo afande mmoja,anaitwa McGregor, nadhani, ana maneno mengi sana ya kusema kuhusu Russia-Ukraine war. Sasa, kwa nini mtu yoyote agombane na wastaafu.

Wastaafu wanatoa maoni yao. Of course, kama Kamanda amestaafu, askari wanapaswa kumtii yule ambaye ndie kamanda wao wa sasa.

Hatubishani juu ya jambo hilo.
Makonda, matatizo yake ya kuwa persona non grata Marekani hayajasababishwa na wastaafu.

Nchi inaongozwa na wake wanaoiongoza, ambao wamekuwa wakiiongoza kwa miaka mia moja, mia mbili, iliyopita,wenye uzoefu.
 
Hii nchi inawahitaji watu kama Makonda, Waafrika bila VIBOKO, NGEU, NGUMI, MIKWAJU na MANENO MAKALI hawawezi kwenda! Ni kama Kenge tu, bila kumtoa damu hawezi kusikia!
 
Hii nchi inawahitaji watu kama Makonda,Waafrika bila VIBOKO,NGEU,NGUMI,MIKWAJU na MANENO MAKALI hawawezi kwenda!.
Ni kama Kenge tu,bila kumtoa damu hawezi kusikia!

Unaweza ku enforce mambo kama hayo at the same time ukawa na kauli za kistaarabu
Hata kama una point ukiwa na mdomo mchafu utaonekana huna maana
 
Makonda ndiye anayefaa kuwa rais wa nchi hii iliyojaa watu wenye vichwa vigumu!
 
Unaweza ku enforce mambo kama hayo at the same time ukawa na kauli za kistaarabu
Hata kama una point ukiwa na mdomo mchafu utaonekana huna maana
Tulipofikia, vyote vinahitajika.

Wastaafu hawatoi maoni, wana-influence
 
Tunasema Chadema ni Watoa Taarifa
Unajua ipo verse katika Kitabu cha Ayubu inasema: "Who is this cluttering the airwaves with unsound doctrine?"

Wastaafu wanatoa maoni yao kama watu wengine wanavyotoa maoni yao; wastaafu wanatoa maoni yao kama senior citizens, yaani, watu wa makamu wanatoa maoni,watu wenye umri wa miaka 70, miaka 80, wanazungumza maneno ya ushauri kwa vijana,wakati mwingine useful advice, wakati mwingine just the worries of old people which the young men have no time for.

Utaona yupo afande mmoja,anaitwa McGregor, nadhani, ana maneno mengi sana ya kusema kuhusu Russia-Ukraine war. Sasa, kwa nini mtu yoyote agombane na wastaafu.

Wastaafu wanatoa maoni yao. Of course, kama Kamanda amestaafu, askari wanapaswa kumtii yule ambaye ndie kamanda wao wa sasa.

Hatubishani juu ya jambo hilo.
Makonda, matatizo yake ya kuwa persona non grata Marekani hayajasababishwa na wastaafu.

Nchi inaongozwa na wake wanaoiongoza, ambao wamekuwa wakiiongoza kwa miaka mia moja, mia mbili, iliyopita,wenye uzoefu.
Kaja na kasumba za mwendazake kwamba ukiwa madarakani basi walioko nje ya system hawana haki ya kuongea. Kustaafu siyo kuuvua utanzania na wala ukomo wa kuwa mwanachama wa CCM. Unayo haki sawa ya kutoa maoni kama mwanachi na mwachama yoyote. Uelewa ni kitu muhimu sana kabla ya kupewa madaraka.
 
Back
Top Bottom