OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,073
- 114,571
Gazeti la Mtanzania limeandika kuwa Bishop Dr.Josephat Gwajima atajibu leo kuhusu kuhusishwa kwake na issue za madawa ya kulevya
Jana RC wa Dar alimtaja Gwajima na kumtaka kuripoti polisi kutoa maelezo juu ya tuhuma za madawa ya kulevya
Tunasaka taarifa zaidi juu ya tukio la Gwajima ili tukuletee mambo hata hapa JF pale yatakapojiri
OMBI:
Tunamuomba Gwajima aje na videos zake ambazo huwa anarekodi kama ushahidi