Ni kiherere wasio wana CCM kukerwa na uteuzi wa Makonda chamani kwake

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,634
46,276
Nimeona wapinzani wengi na wasio wana CCM wakikosoa, kuzodoa na kulaani uteuzi wa Paul Makondoa kuwa Katibu mwenezi wa CCM.

Hili ni jambo lisilo na mashiko kwa sababu CCM kama chama kina utaratibu wake na uhuru wa kumteua yeyote kinayeona anafaa kwa nafasi yoyote chamani kwao.

Kama sio mwanachama wa chama hiki, Kupiga mayowe kwa sababu wamemteua Makonda inaweza kuwa kiherere, ujuha na kutojua maana ya chama cha siasa na maamuzi yake.

Mtu anayepaswa kukosoa uteuzi wa Makonda na ikawa na mashiko ni mwana CCM mwenzake tu.
 
Bashite anafaa kuwa Rais Wa Tanzania ili kuingoza hii miafrika yenye Vichwa Ngumu!.

Miafrika hii yenye visirani bila Damu,Ngeu,kutekwa,mijeredi na Majebu heavy huwa hayaelewi!

Muafrika hasa Mtanzania ni kama Punda,bila mijeredi haiendi!
 
Back
Top Bottom