Hivi karibuni, huko Canada, Spika wa Bunge alilazimika kujiuzulu baada ya kulaumiwa na watu mbalimbali kwa kosa la kumkaribisha mzee mmoja (jina silikumbuki) ambaye alikuwa miongoni mwa wafuasi wa...
Kijana wa Mbowe ambaye ni maaarufu mtandao wa twitter kwa kumlinda Mbowe kwa gharama yoyote. Ameonekana akimsifu Makonda kuwa ni mwanasiasa mahiri anaeziweza siasa za hoja kwa hoja na sio za...
Sina budi kumshukuru sana mwenyenzi Mungu kwa kunitendea mema na zaidi ya yote kunipa uhai na afya hadi sasa. Wanasema “shukuruni katika yote” na mimi nalazimika kushukuru kwa yale yote...
Ni maandalizi kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao ambapo tetesi zinadai baada ya uteuzi wa Makonda Chadema wanafikiria kutia mpira kwapani yaani KUSUSIA
Jumaa Mubarak 😄🔥
Kama alishindwa miaka ile nini atakachoweza sasa hivi?
Ule ujio wa Undertaker Kamanda RC wa zamani DSM Paul Makonda mapkezi yake ya leo ni warning sign.
Yalikuwa Kiduchu sana hayaendani na...
Uchaguzi mkuu wa CCM ulifanyika Oktoba 2022, ambapo makatibu wenezi wa CCM mkoa hawakuchaguliwa kipindi hicho na mwenyekiti amesahau kuwa alisema wenezi wa CCM mkoa watateuliwa.
Hadi leo...
Katika upokezi wake wa Ukatibu Mwenezi Makonda amesema ataenda kwa Chongolo, Dr Mwinyi na pamoja na viongozi wa bunge la Tanzania kuomba mawazo yao wamwambie wanataka Mwenezi wa namna gani...
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Tabia Mwita Maulid amezindua Mradi wa UNESCO - ALWALEED PHILANTHROPIES unaolenga kukuza Maendeleo ya...
Uteuzi wa Makonda na mustakabali wa wahanga wake.
Baada ya uteuzi wa Paul Makonda, nilitumia saa 48 nikisoma upya maelezo ya wafanyabishara takribani 200 niliofanya nao mazungumzo kabla ya kwenda...
Bado naona watu wanapambana humu kuhusiana na shule ya Makonda, ni wangapi wana makaratasi kibao vyeti vya vyuo wameshindwa kujimanage siasa ni karama ni uwezo binafsi wa kujaaliwa na Mwenyezi...
Kazi kwenu,
Zanzibar; mjane wa Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Karume, Fatma Karume amesema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar haujawaathiri Wazanzibari.
Alisema hayo nyumbani kwake Maisara...
Ila jamani nyie ! usiombee watu wakupuuze aiseee! yaani Makonda ameshiriki msiba utadhani kaingia Dar jana kutoka Kolomije , yaani watu hata kumpa salamu hakuna kabisa! hii si sawa kabisa, Ama...
Akipokelewa mkoani Dar es Salaam kama Katibu Mwenezi na Itikadi wa CC, Paul Makonda amesema kazi ya CCM ni kusikiliza kuwa sikio la Serikali na kusema kuwa Sauti ya Wananchi
Amesema "Naomba...
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na sasa Katibu Mwenezi na Itikadi wa CCM wakati akipokelewa mkoani Dar es Salaam amesema;
"Tangu niteuliwe nimepata nafasi ya kupita kwenye mitandao...
Hawa watu wanaheshimika sana na watanzania kwa sasa. Hawa ndio wanaonekana chief in comfort kwa sasa. Wanampa airtime yule mstaafu lkn watanzania hawamtilii maanani.
Pita mtaani kwako ongea...
Watu wengi wamekuwa na ushabiki sana wakati huu Makonda kupewa usemaji wa CCM. Ukianza kuuliza maswali muhimu Je Makonda kafanya nini cha maana kimaendeleo wakati wake? Hakuna majibu ya maana...
Badala ya Wanasiasa wa Tanzania kubinafsisha vitu vya hovyo kama hivi, wanabinafsisha Bandari.
Hebu angalia foleni ya wanunuzi wa Mafuta Kyela kama ilivyofumwa na Team ya Chadema inayoratibu...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema lengo la Serikali ni kuhakikisha kuwa sekta ya madini inaendelea kuongeza mchango wake katika ukuaji wa uchumi wa nchi.
Dkt...
Kwamba Katiba(IGA) ndio Ina shida sio kanuni(HGA) hivyo Serikali imedanganya Wananchi,asisitiza Maandamano.
--
"Sasa Juzi (Oktoba 22.2023) Serikali inasema imesikia maoni ya Wananchi na...