Nchi za wenye akili, muovu hutengwa; kwa punguani, muovu huonekana shujaa

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
16,559
41,078
Hivi karibuni, huko Canada, Spika wa Bunge alilazimika kujiuzulu baada ya kulaumiwa na watu mbalimbali kwa kosa la kumkaribisha mzee mmoja (jina silikumbuki) ambaye alikuwa miongoni mwa wafuasi wa chama cha manazi cha Hitler.

Huyu mzee, hakuna taarifa yoyote au ushahidi kuwa akiwa kwenye chama cha manazi cha Adolf Hitler, kama aliwahi kuua au kutesa au kuteka mtu yeyote, lakini ile kuwepo tu kwenye chama kilichoendesha mauaji, imetosha kwa yeye kuwa mhalifu, kwa kiwango cha kutostahili heshima mahali popote kwenye taasisi za umma na Serikali. Spika wa bunge alikiri kufanya kosa, na kisha akajiuzulu.

Hapa kwetu tuna mtu ambaye kuna ushahidi wote kuwa ni mwovu mkubwa, kuanzia kuwa jambazi la kutumia silaha (alioneshwa na CCTV camera akiwa anavamia kituo cha Clouds), jambazi la kutishia watu kwa silaha (alionekana akitoa maelekezo kwa watu waliomtishia Nape kwa pisto) , mtesaji, muuaji (US wakasema asikanyage nchini mwao kwa sababu anawanyima watu haki ya kuishi), ana tuhuma za kusimamia zoezi la kutaka kumwua Tundu Lisu, na pia kusimamia zoezi la kumpoteza Ben Sanane, na kumteka mwanamuziki Roma. Maajabu makubwa ni kuwa CCM wamemzawadia cheo kikubwa. Bila shaka ni namna ya kuutambua utumishi wake uliotukuka kwenye maovu aliyokuwa akiyafanya na kuyasimamia.

Nadhani ujumbe kwa wananchi upo wazi, yale aliyokuwa akiyafanya yalikuwa ya CCM. Yale ndiyo mambo ambayo CCM inayapenda na kuyasimamia, na hivyo wamemteua ili ayasimamie vizuri.

Watanzania walio wema, jitafakarini, msije siku moja mkawa kama yule aliyekaribishwa bungeni Canada, na baadaye akasababisha hata spika ajiuzulu kwa sababu ya kumkaribisha mtu mwovu kwenye taasisi ya umma.

Watu wema tujitenge na waovu, tujitenge pia na vyama vinavyofurahia na kusimamia uovu. Basi, na laana ya Mungu ikakae na hawa waovu na wazao wao hata kizazi na kizazi

Mungu wa rehema azijalie pumziko jema Roho ya Azory, Ben, Kanguye na wengine wote walionyimwa haki ya kuishi na yule mwovu. Wote walioteswa na kutekwa wajaliwe nguvu mpya, na ushindi uwe juu yao.
 
Mama Abdul kabugi big time
 
Pigo za umbea leta ushahidi Makonda katesa watu ....Wengi wenu mnamuogopa msela na hamjielewi mtakoma huu mwaka jamaa hapendi shobo na wapinzani ndio maana mshaanza kuhara.
Muuaji siku zake zinahesabika. Tunajua katika ule ushetani hakuwa pekee yake, wewe ulikuwa miongoni mwa washirika wake?

Job 15: 20-22

[20] The wicked man travaileth with pain all his days, and the number of years is hidden to the oppressor.
[21] A dreadful sound is in his ears: in prosperity the destroyer shall come upon him.
[22] He believeth not that he shall return out of darkness, and he is waited for of the sword.
 
Apostle Mungu ni wa wote
 
Hivi karibuni, huko Canada, Spika wa Bunge alilazimika kujiuzulu baada ya kulaumiwa na watu mbalimbali kwa kosa la kumkaribisha mzee mmoja (jina silikumbuki) ambaye alikuwa miongoni mwa wafuasi wa chama cha manazi cha Hitler.

Huyu mzee, hakuna taarifa yoyote au ushahidi kuwa akiwa kwenye chama cha manazi cha Adolf Hitler, kama aliwahi kuua au kutesa au kuteka mtu yeyote, lakini ile kuwepo tu kwenye chama kilichoendesha mauaji, imetosha kwa yeye kuwa mhalifu, kwa kiwango cha kutostahili heshima mahali popote kwenye taasisi za umma na Serikali. Spika wa bunge alikiri kufanya kosa, na kisha akajiuzulu.

Hapa kwetu tuna mtu ambaye kuna ushahidi wote kuwa ni mwovu mkubwa, kuanzia kuwa jambazi la kutumia silaha (alioneshwa na CCTV camera akiwa anavamia kituo cha Clouds), jambazi la kutishia watu kwa silaha (alionekana akitoa maelekezo kwa watu waliomtishia Nape kwa pisto) , mtesaji, muuaji (US wakasema asikanyage nchini mwao kwa sababu anawanyima watu haki ya kuishi), ana tuhuma za kusimamia zoezi la kutaka kumwua Tundu Lisu, na pia kusimamia zoezi la kumpoteza Ben Sanane, na kumteka mwanamuziki Roma. Maajabu makubwa ni kuwa CCM wamemzawadia cheo kikubwa. Bila shaka ni namna ya kuutambua utumishi wake uliotukuka kwenye maovu aliyokuwa akiyafanya na kuyasimamia.

Nadhani ujumbe kwa wananchi upo wazi, yale aliyokuwa akiyafanya yalikuwa ya CCM. Yale ndiyo mambo ambayo CCM inayapenda na kuyasimamia, na hivyo wamemteua ili ayasimamie vizuri.

Watanzania walio wema, jitafakarini, msije siku moja mkawa kama yule aliyekaribishwa bungeni Canada, na baadaye akasababisha hata spika ajiuzulu kwa sababu ya kumkaribisha mtu mwovu kwenye taasisi ya umma.

Watu wema tujitenge na waovu, tujitenge pia na vyama vinavyofurahia na kusimamia uovu. Basi, na laana ya Mungu ikakae na hawa waovu na wazao wao hata kizazi na kizazi

Mungu wa rehema azijalie pumziko jema Roho ya Azory, Ben, Kanguye na wengine wote walionyimwa haki ya kuishi na yule mwovu. Wote walioteswa na kutekwa wajaliwe nguvu mpya, na ushindi uwe juu yao.
mbona mwakereka sana na mtakereka sana .........
 
Muuaji siku zake zinahesabika. Tunajua katika ule ushetani hakuwa pekee yake, wewe ulikuwa miongoni mwa washirika wake?

Job 15: 20-22

[20] The wicked man travaileth with pain all his days, and the number of years is hidden to the oppressor.
[21] A dreadful sound is in his ears: in prosperity the destroyer shall come upon him.
[22] He believeth not that he shall return out of darkness, and he is waited for of the sword.
Na yupo kweny system ,wanaume wazima mnamuogoa Makonda pumbafyu.!!
 
Hivi karibuni, huko Canada, Spika wa Bunge alilazimika kujiuzulu baada ya kulaumiwa na watu mbalimbali kwa kosa la kumkaribisha mzee mmoja (jina silikumbuki) ambaye alikuwa miongoni mwa wafuasi wa chama cha manazi cha Hitler.

Huyu mzee, hakuna taarifa yoyote au ushahidi kuwa akiwa kwenye chama cha manazi cha Adolf Hitler, kama aliwahi kuua au kutesa au kuteka mtu yeyote, lakini ile kuwepo tu kwenye chama kilichoendesha mauaji, imetosha kwa yeye kuwa mhalifu, kwa kiwango cha kutostahili heshima mahali popote kwenye taasisi za umma na Serikali. Spika wa bunge alikiri kufanya kosa, na kisha akajiuzulu.

Hapa kwetu tuna mtu ambaye kuna ushahidi wote kuwa ni mwovu mkubwa, kuanzia kuwa jambazi la kutumia silaha (alioneshwa na CCTV camera akiwa anavamia kituo cha Clouds), jambazi la kutishia watu kwa silaha (alionekana akitoa maelekezo kwa watu waliomtishia Nape kwa pisto) , mtesaji, muuaji (US wakasema asikanyage nchini mwao kwa sababu anawanyima watu haki ya kuishi), ana tuhuma za kusimamia zoezi la kutaka kumwua Tundu Lisu, na pia kusimamia zoezi la kumpoteza Ben Sanane, na kumteka mwanamuziki Roma. Maajabu makubwa ni kuwa CCM wamemzawadia cheo kikubwa. Bila shaka ni namna ya kuutambua utumishi wake uliotukuka kwenye maovu aliyokuwa akiyafanya na kuyasimamia.

Nadhani ujumbe kwa wananchi upo wazi, yale aliyokuwa akiyafanya yalikuwa ya CCM. Yale ndiyo mambo ambayo CCM inayapenda na kuyasimamia, na hivyo wamemteua ili ayasimamie vizuri.

Watanzania walio wema, jitafakarini, msije siku moja mkawa kama yule aliyekaribishwa bungeni Canada, na baadaye akasababisha hata spika ajiuzulu kwa sababu ya kumkaribisha mtu mwovu kwenye taasisi ya umma.

Watu wema tujitenge na waovu, tujitenge pia na vyama vinavyofurahia na kusimamia uovu. Basi, na laana ya Mungu ikakae na hawa waovu na wazao wao hata kizazi na kizazi

Mungu wa rehema azijalie pumziko jema Roho ya Azory, Ben, Kanguye na wengine wote walionyimwa haki ya kuishi na yule mwovu. Wote walioteswa na kutekwa wajaliwe nguvu mpya, na ushindi uwe juu yao.
Tanzania ipo upande gani mkuu,ipo upande wa wenye akili au punguani.
 
Why tunapenda hisia jamani. Watz nani katuloga siasa zinakuwa kweli mbona JK aliwahi itwa fisadi na mpaka leo anadunda sembuse katibu mpya?
 
IMG-20231023-WA0046.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu akubariki sana.
 
Back
Top Bottom